CHADEMA wawe makini zaidi na hujuma za CCM

hilo liko wazi. Kama wanaweza hujumiana wenyewe ndio watashindwa kufikiri namna ya kuhujumu upinzani?
 
Hongera zako kwa angalizo lako mdau wetu nafikiri uongozi makini wa CDM wanalifanyia kazi hili kwani hizi mbinu zipo na zimeendelea kukabiliwa na wana CDM kwa dhati kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
"Washenzi hawa wametusumbua sana safari hii, wamemsumbua sana mheshimiwa na nasema hu ndiyo mwisho wao. Hatutawapa fursa nyingine tena ya kutusumbua kama walivyofanya safari hii. Kwani wao CHADEMA ni nani haswa, mbona wenzao NCCR tuliwamaliza kianina? Nakwambia 2015 hakutakuwa na CHADEMA wala huyo mnayemwita Dr. Slaa kwani serikali ina mikono mirefu na tumeshajipanga kuhakikisha kunakuwa hakuna usumbufu tena 2015. Nakwambieni huyo Dr. Slaa na hata Mbowe watausikia ugombea urais kwenye bomba tu na tutahakikisha vyombo vyetu vinawavuruga kabisa na huenda hata wasiwepo ifikapo 2015"

Kazi kwenu ma-great thinkers kutafakari kama mihemko inayoitwa "migogoro" ndani ya CHADEMA ina uhusiano na remarks za kiongozi huyu mwandamizi.

Hapo bold..hao watu wasipuuzie na hasa Dr. Slaa nilichokiona leo usiku kimenistua sana.....But Mungu akionyesha kitu kama hiki maana yake amesha onyesha spiritual victory kuileta kwenye manifestation inabidi maombi na ku walk on faith....

All those who love Dr and mwenyeketi should not cease to pray for them with one acord kuomba ulinzi wa Mungu juu yao....Wao hawata loose kitu kwani its better for them to be with their father than to be hear with us lakini ss ambao tunataka change ndiyo tutakuwa loosers...

We should therefore pray it does not mater we ni mristo ama muislamu maana Mungu anaangalia moyo na siyo dini kama tunavyopotoshana hapa ki-dunia ambapo shetani anatufunga akili na kutufungia kongwa la udini..

Kwa Mungu hakuna dini yeye ni roho na anapima watu kupitia roho zao kama kweli zinamaananisha kumtafuta yy haijalishi unamtafuataje ili sincerely is ur heart after him? Na hapo anajifungua kwako kwa jinsi ya pekee ndiyo maana huwa sishabikii sana udini maana hakuna hata moja ambayo inasaidia mtu..Bali kweli ya Mungu ndiyo inayoongoza roho zimfikie Mungu maana inaongea luga anayoijua Mungu...
 
Back
Top Bottom