Chadema wawasha mwenge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wawasha mwenge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wikiliki, Jan 25, 2011.

 1. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Chadema mkoa wa Mara wamewasha mwenge(taa ya kandili-chemli) itakayozunguka mkoa wote wa mara kumulika ufisadi na kuungamiza. Source ITV news.
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Nani aliyeongoza tukio hilo? Any way good move.
   
 3. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huku tunakoelekea kutamu, kweli tanzania itaokolewa au kuangamizwa na watanzania wenyewe.... na dawa ya ubaya si kuusema tu bali kuukataa kwa vitendo na kwa nguvu zote!!!:)
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wawashe hata matairi yaani mwaka huu hakuna mchezo ...wazmezidi sana usanii hawa CCM
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,791
  Trophy Points: 280
  hii ni bab kubwa
   
 6. peck

  peck JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Safi sana endelezeni mapambano! Tanzania ikombolewe kutoka kwenye wimbi la ufisadi, rushwa, matumizi ya mabavu ktk uongozi, kama mwenge wa Mwalimu Nyerere na wakoloni, wahujumu uchumi, wala rushwa. VERY GOOD CHADEMA, Mwenge wenu usiishie Mara tu na Uzunguke Tanzania nzima kwani mafisadi wapo kote Tanzania.
   
 7. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  patamu hapo, lazima kieleweke mwaka huu.
   
 8. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Limeongozwa na mh. Shibuda mb wa maswa.
   
 9. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  I saw it. Nawapongeza sana.
   
 10. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  safi sana
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tutachangia wese la hiyoo taa imulike mafisadi wote
   
 12. B

  Bake wa Nyegina Member

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nguvu ya umma ni kama maji ya mafuriko, ni vigumu kuzuiliwa na mifuko ya siment iliyojazwa mchanga ndani......!!!
   
 13. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Zianzishwe mbio za mwenge wa kandili/chemli
   
 14. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  AG WEREMA anasemaje juu ya kua na mienge miwili ktk nchi?ule wa ccm upo ktk katiba ya nchi au ya ccm?
   
 15. g

  gnm Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  hiyo kali nafikiri umefika mahali tuwapigane kwa nguvu zote dhidi ya huu ufisadi hapa Tz
   
 16. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,035
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Aluta continua......

  Peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeplez Powere
   
 17. R

  Realist Member

  #17
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 11, 2006
  Messages: 90
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hongera sana CDM maana mmerudi kwenye maana halisi ya mwenge - kumulika.
   
Loading...