CHADEMA watoka nje Profesa Chiza akiapishwa

Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wametoka ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza (CCM), akiapa.
walikwenda kunywa chai wasanii hao
 
Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wametoka ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza (CCM), akiapa.

Tukio hilo lilitokea mapema asubuhi leo wakati baadhi ya wabunge hao wakiwa tayari ukumbini tayari kwa kuanza kwa kikao cha bunge lakini walitoka kabla Spika Job Ndugai, hajaingia na kisha kuingia baada ya Ciza kula kiapo cha uaminifu.

Hali hiyo ilisababisha viti vua upande wanaokaa wabunge hao kuonekana vitupu huku wakonekana baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF).

Chiza ameapa leo baada ya kushinda ubunge wa Jimbo la Buyungu baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Kasuku Bilago kufariki dunia.

Chanzo: Mtanzania
Ushindi wa punyeto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walitoka nje alipohutubia Rais mwaka 2015 sembuse mbunge Chiza!!.

Hizo ni siasa za vyama vingi duniani kote, Malema na wenzake huwa wanatoka nje kila siku kule South Africa, lakini ni Malema hyo huyo anayetoa maoni ya kuiimarisha nchi yake.
 
Kwa unafiki huu bila ya kupewa Uhuru wa makaratasi...tusingeweza kumpiga mkoloni pengine hadi Leo tungekuwa koloni...
 
Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wametoka ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza (CCM), akiapa.

Tukio hilo lilitokea mapema asubuhi leo wakati baadhi ya wabunge hao wakiwa tayari ukumbini tayari kwa kuanza kwa kikao cha bunge lakini walitoka kabla Spika Job Ndugai, hajaingia na kisha kuingia baada ya Ciza kula kiapo cha uaminifu.

Hali hiyo ilisababisha viti vua upande wanaokaa wabunge hao kuonekana vitupu huku wakonekana baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF).

Chiza ameapa leo baada ya kushinda ubunge wa Jimbo la Buyungu baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Kasuku Bilago kufariki dunia.

Chanzo: Mtanzania
Rais kikwete walitoka,

Baadae wakatuambia Dr.mihogo hakuwa na pumzi ya kushinda urais,

Tumewazoea
 
Back
Top Bottom