CHADEMA watoana macho Bungeni

endelea kutumia tu makalio kufikiri kwani ndiyo yaliyokufikisha hapo ulipo.
Dr slaa alikataa mil 7kama mbunge(jimbo moja)
cdm inamlipa tsh 7.5kama katibu mkuu (tanzania mzima)
gari lake linatembea km * tano ya mbunge,anahudumia watz 40000000=mbunge mwenye watu wengi wa kuhudumia ni 200000=
hapo kwa akili yako ya uha.. Huoni tofauti.
Endelea kutumia hizo sehemu za haja kufikiri siku ukipata tumbo la kuharisha ndio mwisho wako.nyau we.
 

Hii habari ni vizuri ingepelekwa kwenye udaku. Haina source wala haitajihata hao wabunge watatu, kama kuna uhakika si wangetajwa majina yao?
 
CCM imetunyonya na maskini wengi wa nchi ndiyo waipendayo CCM,ila FREEDOM IS COMING.
 
source ya hii habari ni ipi vile? uhuru au mzalendo? mue mnaaandika source sio kuandika tu gazeti la kiswahili magazeti ya kiswahili yako mengi


BTW;craaaaaaap!
 
Haya kichana wa NAPE naona mpo bize IKULU mkiiba twiga na kusafirisha nchi ya nje,dhuruma imewajaa haya sasa endeleeni na wizi wenu dhidi ya maskini watanzania.
 
Demokrasia watu wote hawawezi kukubaliana na wabunge watatu tu kukataa hii inaonyesha kuwa majority kwa asilimia kubwa sana wanakubaliana and who cares chadema wangapi wanakubaliana na hii issue, Point ni kwamba wananchi kama mimi mlipa kodi ninaunga mkono jambo lolote ambalo litanusuru kodi yangu japo kidogo
 
wamewezaje kumtaja Mnyika alafu wakashindwa kuwataja hao wabunge watatu. Wana maslahi gani na hao wabunge? Hii habari bado haijaniingia akilini.
 
wamewezaje kumtaja Mnyika alafu wakashindwa kuwataja hao wabunge watatu. Wana maslahi gani na hao wabunge? Hii habari bado haijaniingia akilini.
Mkuu hata kama ni kweli who cares..., tena wangewataja na hao watatu ili wananchi wao wawajue..., issue ni kwamba je Hili wazo la kukataa Posho ni wazo zuri au baya..., Jibu ni kwamba Ni Brilliant Idea..., na kati ya wabunge wote wa Chadema kama ni watatu tu wamekataa basi zipigwe kura na Kama majority watashinda basi tamko la Chadema litakuwa ni kwamba wamekataa Posho na sio kwamba baadhi wanakataa na baadhi wanakubali
 
Huili ndilo gazeti ambalo juzi lilichapa hotuba ya upinzani rasim?
 
Hiyo ndiyo demokrasia, sio lazima kila kitu wakubaliane wote, na hii siyo kwa upinzani tu bali hata kwa chama tawala hawatakiwi kila kitu kupinga kwa kuwa kimetoka upinzani au kuunga mkono kila kitu kwa kuwa kimetoka chama tawala, no, wote wanatakiwa kupinga au kukubali hoja baada ya kuichambua kama ina maslahi kwa taifa au la.
 
Kwahiyo unanishauri nini maamuma kama mie? Niingie na mie kwenye siasa kwa manufaa yangu au siyo?
 
Hawa wabunge ambao hawajali kasi ya umaskini kwa watanzania walio wengi,imejionyesha wazi kwamba wao wamekwenda bungeni kwa ajili ya mafao na posho kuliko kujali zaidi wananchi ambao wanateseka na ukata,ugumu wa maisha kiasi cha kushindwa hata kulipia gharama za hospitali.sasa hawa nadhani wananchi wa sehemu wanazotoka wawaone na wachukue hatua kutokana na utashi na uchaji wao.hawa ni wanafiki na watayumbisha upinzani,hapo walipofika ni kwa nguvu za wananchi leo hii wana wasaliti?
 

Attachments

  • gal_guinness_eyeballs[1].jpg
    40.3 KB · Views: 33

Niko na wafanyakazi hapa wanalalamika kweli kuhusu Zitto kutaka kuziondoa posho kwa watumishi wa serikali. Ni wakali mno>

Posho zinatugawa.
 
What Chadema show is Democracy, they don't need to agree on everything; Chadema is not a rubber stamp Organization like CCM

They go with the wind even if deep inside they are not happy... so approve bogus and unwanted programs and projects to feed their bosses stomach...
 
In a democracy the poor will have more power than the rich, because there are more of them, and the will of the majority is supreme.

But CCM Democracy... while it lasts for more than 50yrs now is more bloody than either [aristocracy or monarchy]. Remember, democracy never lasts long. It soon wastes, exhausts, and murders itself like now they are rubber stamps....
 

inaonekana unachanganya.....maji na oil!!! posho si mshahara na matumizi ya mhashara ni siri ya mtu hayupo anayeweza kutoa comment kwa mshahara wa mtu!
 
rudia tena......
 
Source is not vivid, pls bring issue un biased, not all in here, we are politicians, we are just here to open up our minds wide!

Personnal interest is a personal failure!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…