Chadema watoa rambirambi kwa serikali ya Japani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema watoa rambirambi kwa serikali ya Japani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicas Mtei, Mar 23, 2011.

 1. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Kimetoa rambrambi ya dola kimarekan 2,000 kwa ubalozi wa Japan kutokana na tetemeko la baharini lililoikumba nchi hiyo. Rambirambi hyo imewasilishwa na mwenyekiti wa CHADEMA bwn Mbowe akiwa na mawaziri vivuli Wenje na Lissu.

  Chanzo: Chanel ten
   
 2. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA, wametoa rambirambi zao kwa serikali ya JAPANI, rambirambi hizo ni pamoja na UA , na dola 2000, kama mkono wa pole.Wabunge waliowakilisha CDM, ni MBOWE, WENJE , MNYIKA na TUNDULISU. Rambirambi hizo , pamoja pole zimepokelewa na balozi wa Japan hapa nchini, akipokea rambirambi hizo Balozi wa Japan, alisema anashukuru nchi mbalimbali pamoja na watanzani kwa ushirikiano walionyesha katika kipindi hiki kigumu kwa nchi yao.

  source:CHANEL TEN
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Inapendeza. Ningependa kujua na vyama vingine wameonesha vipi kuguswa na hilo janga.
  Ahsante.
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vyama vingine vya upinzani tanzania kama CUF vipi nao wameguswa na wamesema nini?
   
 5. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  SASA TUSUBIRI MAFISADI CCM LAZIMA WAJIBU KWA KUTOA DOLA 50,000 HALAFU JK ANASAFIRI NEXT TO THAT ANAENDA JAPAN KUOMBA DOLA 30,000

  SANAA IMEZIDI

  ccm inakufa
   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  teh teh....................:juggle:
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kweli kabisaa. Na tunavyopenda mashauzi.
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ni nzuri hii!
   
 9. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  nakushukuru mkuu kwa kuiweka sana. Lakin imeeleweka. Ubarikiwe.
   
 10. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hatua ya CHADEMA kutoa msaada wa dola elfu mbili kwa ubalozi wa Japan kusaidia maafa ya tetemeko la ardhi nchini humo ni jambo la kupongezwa sana katika medani ya siasa za kimataifa (international politics). Kwa njia hii chama hiki kikuu cha upinzani kinajenga marafiki zaidi wa nje, na pia kujitambulisha rasmi kuwa ni chama mbadala katika kushika dola endapo chama tawala kitasambaratika, kama inavyotarajiwa na wanazuoni na wafuatiliaji makini wa siasa za nchi yetu. Big up CHADEMA!
   
 11. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Mpaka sasa sioni kasoro na hatua wanazochukua wapambanaji hawa. Kimsingi wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Hofu yangu ni kwamba wanajua hatari ya kuendelea kuwa na ZK lakini wamaamua ama kutochukua au kuchalewa kuchukua hatua. Kwa mtazamo wangu juhudi nyingi zitapotea bure endapo huyu mwajiriwa mwingine wa RA ataamua kukiporomosha chama.
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  wamewataimu kafu
   
 13. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Umechangia au mlata habari tuuuuuuuuu.ni jambo jema lakini.
   
 14. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  cheap popularity! jipendekezeni.
   
 15. kmwemtsi

  kmwemtsi Senior Member

  #15
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  big up CHADEMA
   
Loading...