CHADEMA wateua wakala wa CCM kuwa mbunge

CHADEMA wateua wakala wa CCM kuwa mbunge

kwa hili la sumbawanga chadema mjisahishe. nendeni mkamalize mgogoro. kumbukeni chama ni watu...mkifanya uzembe mtaikosa halmashauri kizembe....

Kwa taratibu zinazoongoza ukawa na hata chadema Mbowe hana mamlaka ya kumteua m-bunge wa viti maalum. Kazi hii hufanywa na kamati kuu ya chama baada ya kupokea majina na mapendekezo ya mikoa na wilaya. Siamini kama yupo mgombea mwenye nguvu na uwezo wa Tlp kumshawishi kwa umaarufu au nguvu ya fedha huyo mama hadi amsaidie kampeni na kumwacha wa ukawa.Ikiundwa tume na ukawa kwenda kufanyia uchunguzi suala hilo watakuja na taarifa tofauti kabisa. Kwa huyu wa Segerea nasema halipo kosa kumpa huo ubunge kwani ugombea wake ulikuwa halali hakuvamia. Hilo jimbo katika mgao liliangukia chadema. Hata hivyo huyo mama alikuwa na michango yake ya nyuma chadema iliyowaridhisha wajumbe kumpa hiyo nafasi.
 
MBUNGE WA VITI MAALUMU CDM MBULU BI ANNA. Mpaka tarehe 25/10 /2015... Alikuwa CCM... Baada ya matokeo kahamia chadema kapewa na viti maalum.... 😂😂😂😂. Hii ni zaidi ya mfumo


Kwan mgombea uraisi alikua na mda gani ndani ya chama?
 
Hao watu wanaohusika na uteuzi wa na mapungufu makubwa ndo hao miezi miwili iliyopita walimteua said nkumba kugombea ubunge siku mbili akarud ccm

Chadema ni mali ya ukoo wa Mbowe na akina Mtei, kwenye uteuzi hakuna cha kamati wala nini, ni maelekezo yanatoka kwake tu!
 
kwani jina la huyo mwanamke lililetwa na mbowe au na wao wenyewe wameamua kushirikisha hasira zao kwenye mambo ya chama kama mulishapendekeza jina yakaenda tume akina mbowe wafanyaje kila mtu anajuwa majina yanapendekezwa toka eneo husika
tell them.
 
ni baadhi tu ya watendaji wetu tuliokuwa tumewapa kazi maalumu huko.sasa karudi kuendelea na majukumu yake ya kawaida.
 
Kwa iyo huyo alieteuliwa na ni wa kaskazini?
Mnasafari ndefu sana kwenye haya maisha

Unasafari ndefu wewe unayepiga kelele ukizani Chadema ni chama cha wananchi kumbe ni chama cha familia.
 
mnafukuza kwan chama ni chenu? Chadema ni ya mbowe na babamkwe wake nyinyi wengne kujiita wanachadema ni kiherehere chenu tu.

Mbowe na Mzee Mtei ndio wasemaji wa mwisho kwani wao ndio wenye chama chao.
 
Kiongozi wa CHADEMA mkoani Rukwa na katibu wake wamejiuzulu kupinga uteuzi wa mbunge viti maalum ambae alimpigia kampein mgombea wa TLP, pia wanadai mawakala hawajalipwa na makao makuu wamejikausha licha ya kupewa taarifa, hivo bora tujiuzulu.

Chanzo: ITV

jimbo la kinondoni napo MAWAKALA HAWAJALIPWA PESA ZAO MPAKA LEO source mie mwenyewe nathibitisha kuwa CHADEMA VIONGOZI MATAPELI
 
chadema sio chama cha wananchi sio?

si unawatoto mkuu na uwafundishe hivyo wakawe wajinga kama wewe mzazi wao ambae unatumia nguvu nyingi sana uaminisha uma upuuzi na uzushi.

siwezi bishana na mtu ambae hata hujui wabunge viti maalumu wanapatikanaje badala yake hapa kila kitu mnamtuhumu mbowe

lazima mfike mahali mkubali tu kuwa mbowe amewazidi akili na ndio maana mnamuattack kwa nguvu mkijua kuwa mkimmaliza mbowe mmeimaliza chadema la hasha unajidanganya huyo mbowe hamuwezi mmaliza na chadema pia itabaki kuwa imara kwa sababu taasisi iyo watu wake sio wapumbavu kama wewe na hicho kizazi chako ambacho pia utakirithisha huu upumbavu wako
 
Hatuchukii. Tunakubali kuitwa malofa kwa sababu tunaendelea kuichagua ccm. Siku ulofa wetu utakapotutoka na CCM lazima waondoke madarakani

Hivi mnajua wengine tupo kimya ukweli ni kuwa tunasubiri maelezo kuhusiana na habari na malamiko jaya ya viti maalum. Imekuwaje mwenyekiti wa UVCCM apewe nafasi ya viti maalum, pia kuna suala la Iringa, lingine ni suala la Ruvuma na Tabora kupelekewa wa watu ambao hawakuwapendekeza wao?
 
Hana mahusiano yoyote na ccm amekuwa mwenyekiti wa bavicha mkoa hapa Rukwa na kwa uwezo wake kasaidia kupata mitaa 38 ktk kata za Chanj,msua na Kizwite.Mgombea wa hapa mjn kwa jeur yake ya pesa amekuwa anaabudiwa na hawa viongoz ngaz ya mkoa kwa hio walikuwa wanamsikia kwa lolote analotaka yy.Huyu Ikuwo kwa ubinafs wake wat aliohis wangeweza kumpiku kwny hyo nafas ya ubunge ndan ya chama alikuwa anawapiga vita mwishowe hao wanachama wakaenda kugombea ACT na TLP. Moreover hakupenda ateuliwe vit maalum huyu dada kwa sababu zake binafs.Huyu ikuwo alikuwa anamtaka mgombea mwngne ingawa huyo Aida ktk uchaguz special seats alishinda

Angalau maelezo yako yameondoa ukungu. Namuomba Mungi naye pamoja na Tumaini Makene watupatie maelezo ya hao wengine.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom