CHADEMA wateka desemba 9, CCM washindwa kujinadi maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika

Unaujua uhuru wewe? nani ameshayapata matunda ya uhuru kama sio mafisadi wachache wa ccm? unadhani hizo buku 7 mnazopewa hapo lumumba ndio matunda ya uhuru yaliyopiganiwa na wazee wetu? pambafu mara mia!

Naomba ifahamike kuwa pamoja na kuzaliwa kwenye familia ya wanasiasa na viongozi, SIJAWAHI KUWA MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA.
Hivyo basi ninakushangaa unaponiita wa lumumba.
 
Ukitaka kuelewa maana ya uhuru tulio nao tafuta mzee aliyeishi kipindi cha mkoloni akusimulie aina ya maisha waliyokuwa nayo ulinganishe na sasa utakua umejijibu maswali yako yote.
Nyumba yako inapokua na uchafu si busara kuikana ama kuitia kibiriti bali kuisafisha na kuiweka katika hali utakayoridhika nayo.
Ongozwa na hekima na busara daima.

Ukoloni unaousemea wewe kwa upeo wako mdogo, ni heri ungekuwepo hata sasa kwa sababu wakati ule hakukuwa na tindikali za mwigulu, hakukuwa na mauaji ya waandishi wa habari kama ya Daudi Mwangosi, hakukuwa na milipuko ya mabomu makanisani wala kwenye mikutano ya siasa.
Ni heri ya ukoloni ule kuliko huu wa sasa.

Tutaendelea kupigania ukombozi wa nchi hii mpaka upatikane
 
Technically hatujawa huru bado na ni afadhali wakoloni weupe walitujengea hata reli kuliko hawa weusi CCM wanaojilimbikizia tu mabilion Uswis!

Uhuru sio kuondoka kwa wakoloni bali Uhuru ni kitendo cha wenye rasilimali zao(Tanzanians)kufaidika nazo!Je wewe unafaidika na rasilimali za TZ?

Uhuru wa TZ unawafaidisha kakikundi kadogo mno ka watawala wanaojipangia mshahara wa Milion 36 kwa mwezi na kukwepa kodi!

Mapungufu yaliyopo katika mfumo si sababu ya kutufanya tuukane uhuru.
Ndio tunanufaika na rasilimali zetu ila si kwa kiwango stahiki na hii inatokana na sisi wenyewe kutokuwajibika.
Hivi unadhani kila mmoja wetu angetimiza wajibu wake kwa dhati nchi ingekuwa hapa?
Tujitafakari na kujifungua kutoka kwenye utumwa wa kifikra ama tutaendelea kuwa na mawazo haya haya ya kulaumu na kujikana daima.
 
Technically hatujawa huru bado na ni afadhali wakoloni weupe walitujengea hata reli kuliko hawa weusi CCM wanaojilimbikizia tu mabilion Uswis!

Uhuru sio kuondoka kwa wakoloni bali Uhuru ni kitendo cha wenye rasilimali zao(Tanzanians)kufaidika nazo!Je wewe unafaidika na rasilimali za TZ?

Uhuru wa TZ unawafaidisha kakikundi kadogo mno ka watawala wanaojipangia mshahara wa Milion 36 kwa mwezi na kukwepa kodi!

Mkoloni alifanya chochote kile kwa manufaa yake lakini baada ya uhuru inajengwa miundombinu kwa manufaa yetu.
Ni kweli baadhi ya wakubwa wanajilimbikizia mali isivyostahili, lakini hiyo sio sababu ya kusema hatupo huru.
Dawa ni kusubiri chaguzi na kuwaondoa wale wote wanaothibitika kutunyonya bila kufuata ushabiki wa vyama kwani ushabiki wa bila kufikiria ni utumwa.
 
Ukoloni unaousemea wewe kwa upeo wako mdogo, ni heri ungekuwepo hata sasa kwa sababu wakati ule hakukuwa na tindikali za mwigulu, hakukuwa na mauaji ya waandishi wa habari kama ya Daudi Mwangosi, hakukuwa na milipuko ya mabomu makanisani wala kwenye mikutano ya siasa.
Ni heri ya ukoloni ule kuliko huu wa sasa.

Tutaendelea kupigania ukombozi wa nchi hii mpaka upatikane

Kama nilivyokuambia ENDELEA KUSIMAMIA KILE UNACHOKIAMINI bila kuingilia uhuru wa wengine kuamini wanachokiamini.
Kama wewe unadhani kufanyishwa kazi za shuruti bila ujira unaokaribiana na kazi yenyewe, kufungwa ama kuuwawa kabisa pale unapothubutu kupingana na wakoloni, kulipia kodi karibu kila kitu kwa mkoloni, kuzalisha vitu vya kupeleka kwa malkia na udhalimu mwingine uliokua ukifanyika ni bora kuliko hali iliyopo sasa endelea kufikiria hivyo.
Tindikali za Mwigulu, Umafia wa Mbowe, Ufisadi wa Lowasa, Udini, Ukanda, Ukabila na kila takataka(kama vyote ni vya kweli) vinaweza sahihishwa.
Fikiri kwa mapana
 
Sawa, kwa unavyoi define, but the bottom line remain watanzania lazima tuutafute uhuru wa kweli. Uhuru siyo kupigishwa gwaride, kutembea kifua mbele hata usiku wa manane kama tunavyoaminishwa na serikali ya kishenzi ya ccm.

Uhuru ni pamoja na jamii husika kufaidika na rasilimali za nchi yao, kutoa fursa sawa kwa wananchi wa nchi husika nk.

We udanganywe tu na uhuru wa kupeperusha bendera
 
Kama nilivyokuambia ENDELEA KUSIMAMIA KILE UNACHOKIAMINI bila kuingilia uhuru wa wengine kuamini wanachokiamini.
Kama wewe unadhani kufanyishwa kazi za shuruti bila ujira unaokaribiana na kazi yenyewe, kufungwa ama kuuwawa kabisa pale unapothubutu kupingana na wakoloni, kulipia kodi karibu kila kitu kwa mkoloni, kuzalisha vitu vya kupeleka kwa malkia na udhalimu mwingine uliokua ukifanyika ni bora kuliko hali iliyopo sasa endelea kufikiria hivyo.
Tindikali za Mwigulu, Umafia wa Mbowe, Ufisadi wa Lowasa, Udini, Ukanda, Ukabila na kila takataka(kama vyote ni vya kweli) vinaweza sahihishwa.
Fikiri kwa mapana

Utasahihisha nini wakati madini yooote umeshagawa!! utasahihisha nini wakati na gesi umegawa hata bila wazawa kuwapa japo elimu!!!! Utasahihisha nini huna hata umeme wa uhakika kwa sababu ya dili za kijinga!!! utasahihisha nini wakati hata Twiga ambao ni alama ya taifa wamekwidwa kwenye ndege za jeshi??? Ndugu usifikiri hata sisi hatuhitaji kufaidika na rasilimali za nchi kwa njia halali!! Usitufanye wapumbafu kwa vihisitoria vyapo vya kutufariji!!

VIwanda viko wapi alivyovianzisha Nyerere??? Vijana wanakufa na mabodaboda kwa sababu ya uroho wa Maccm!! Vyama vya ushirika vile vilivyokuwa imara enzi hizo viko wapi??? Acha kabisa ndugu!!
 
CHADEMA wanalikuwa wanapunguza machungu na ukali kama mwiba wa Kongamano la raslimali pale UDSM maana porojo na uzandiki wao umeonekana wazi
 
of course adhimisheni uhuru wa gwaride pale uwanja wa taifa.
Kuhusu akama nis sera ya CDM, ITAKUWA kwenye kitabu cha akili cha sera.

Du!!!! ULEVI NI NOMAAAA!!!, Hiki ulichokiandika kinathibitisha umeandika huku ukiwa umelewa
 
CHADEMA wanalikuwa wanapunguza machungu na ukali kama mwiba wa Kongamano la raslimali pale UDSM maana porojo na uzandiki wao umeonekana wazi

Nikuulize swali, umeishia darasa la ngapi? nakuuliza swali hili kwa kuwa ulichokiandika kinajipima chenyewe juu ya elimu ya mtu aliyeandika.
 
watanzania sasa wameanza kuelewa kwamba ni MHUSIKA PEKEE MWENYE HAKI YA KUSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA , sherehe ya TANGANYIKA wengine wanapewaje PROMO ?
 
Puruma; Wewe unashabikia uhuru wa Tanganyika ipi na ipo kwa katiba ipi?
 
Last edited by a moderator:
this proves beyond no doubt kwamba chadema ni adui wa uhuru na uzalendo wa taifa hili.
bahati ni kwamba hili wengi tunalijua na watu tunaowaaminisha wanelekea kulielewa somo. 2015 ni mwisho wenu japo sipendi kuwaona mkifa
 
Haya ma-ccm bwana ,kumbe tulikuwa na nchi ya tanganyika so why hamtaki tuwe na serikali yetu ya tanganyika,zanzibar na serikali ya muungano?mnatapatapa enheeee wananchi wameshastuka bwana sasa mkae mkao wa kuachia madaraka,peoples.......z
 
Utasahihisha nini wakati madini yooote umeshagawa!! utasahihisha nini wakati na gesi umegawa hata bila wazawa kuwapa japo elimu!!!! Utasahihisha nini huna hata umeme wa uhakika kwa sababu ya dili za kijinga!!! utasahihisha nini wakati hata Twiga ambao ni alama ya taifa wamekwidwa kwenye ndege za jeshi??? Ndugu usifikiri hata sisi hatuhitaji kufaidika na rasilimali za nchi kwa njia halali!! Usitufanye wapumbafu kwa vihisitoria vyapo vya kutufariji!!

VIwanda viko wapi alivyovianzisha Nyerere??? Vijana wanakufa na mabodaboda kwa sababu ya uroho wa Maccm!! Vyama vya ushirika vile vilivyokuwa imara enzi hizo viko wapi??? Acha kabisa ndugu!!

Bado tunao muda wa kurekebisha vyote endapo tutaamua(kama.)
Lakini kama vijana wenyewe ndo wa aina hii unategemea kitu gani?
Vijana wamejaa Tamaa, Unafiki, Kutumiwa na Wakubwa, Uvivu wa kazi na kufikiri pamoja na kila gasia ya uchafu.
Unadhani wataweza kusahihisha kitu?
Sana sana mtaongeza jiko la mkaa kwenye chumba kisichokuwa na hewa.
 
notradamme; Uzalendo ni kusherehekea kumbukumbu ya uhuru wa nchi unayoipinga isiwe na serikali yake kama ilivyo kwa Zanzibar? Uzalendo ni kukumbuka uhuru wa nchi isiyokuwa na viongozi...nani ni kiongozi wa Tanganyika na ni ni nani anayefanya maamuzi ya kimaendeleo kwa upande wa Tanganyika kuhusu mambo yasiyo ya muungano?
 
Last edited by a moderator:
wabara
Unadhani umechagia nini kama wewe unajitambua?

Miaka 50 ya uhuru

-Elimu yahovyo

-Afya ya hovyo

_Ungozi bora hakuna wa siasa safi

-Miundombinu hovyo (Reli zimeuwawa, shirika la ndege limeuwawa, shirika la meli limeuwawa

Hivyo hujuwi unachokiongea na labda ujinga zaidi unakufanya kujifaraguwa na kutoyaona matatizo haya.

Balali
Jaribu kuwa na shukurani hata kidogo,
Kwani nani asiyejua kuwa hata hiyo elimu ya kubwabwaja hapa umeipata katika shule za kata ambazo leo zimekusaidia kunakili maneno kama kasuku na kuyaleta hapa.......?
 
Back
Top Bottom