CHADEMA Wataweza Kumfukuza Lissu

CHADEMA Wataweza Kumfukuza Lissu

Chadema waungane, watekeleze kandarasi waliyopewa ili wapate mtaji wa '25. Mengineyo ni agenda za kibinafsi.
Hakuna utengano chadema, hizi ni propaganda za kushambulia. Ccm hawana nyenzo za kushambulia cdm, wamebaki kutumia ujanja kama huu, kwa ufupi wamefikisika kisiasa
 
Niliwaambia kwamba Kwa Sasa Mikutano ya Chadema ni Kwa Ajili ya Kumpamba Mbowe aendelee kugombei ila Sasa baadhi ya wanachama hawataki wao wanataka harakati za Lisu nk
Kwani Mbowe aligombea nini ambacho anataka kuendelea Kugombea ?
 
Hali si shwari kwa upande wa wenzetu huko mitaa ya ufipa. Kundi la mwenye chama linasema Lissu ana nguvu sana na anatishia kiti.

Kundi la Lissu nalo halipo nyuma Ila wanaogopa kuitwa wasaliti. Hata Lissu alipoondoka walishindwa kumsindikiza pale airport Kama ilivyo kawaida yao.

Chama kilishindwa kutoa hata taarifa kwa umma kuhusiana na safari hiyo ya makamu mwenyekiti. Ni vyombo vya habari ndio vilikuja kuujulisha umma. Hii imemuweka pabaya sana Lissu na asijue cha kufanya.

Kuna viongozi wengine wanasema amesusa sababu ya kukosa ushirikiano kipindi amerudi nchini.

Sasa kuna kila dalili inaonyesha anaandaliwa zengwe. Swali la Msingi je Wataweza kumfukuza??
Jifunzeni Kwa Ibilisi Jiwe Mwendakuzimu, huyu alijaribu kuiua CHADEMA akaishia Kufa yeye
 
Naona Lissu anaanza kufunguka kiakili. Kuna siku atalia machozi ya damu kwa kumuomba msamaha JPM.
Hizo porojo zimeanza siku nyingi, waambie polisi waachie footages za CCTV cameras ili sura za wahusika tuzibaini na pia tufahamishwe polisi wa zamu walikuwa wapi na makamanda wao waliopanga ratiba za ulinzi wanasemaje.
 
Hali si shwari kwa upande wa wenzetu huko mitaa ya ufipa. Kundi la mwenye chama linasema Lissu ana nguvu sana na anatishia kiti.

Kundi la Lissu nalo halipo nyuma Ila wanaogopa kuitwa wasaliti. Hata Lissu alipoondoka walishindwa kumsindikiza pale airport Kama ilivyo kawaida yao.

Chama kilishindwa kutoa hata taarifa kwa umma kuhusiana na safari hiyo ya makamu mwenyekiti. Ni vyombo vya habari ndio vilikuja kuujulisha umma. Hii imemuweka pabaya sana Lissu na asijue cha kufanya.

Kuna viongozi wengine wanasema amesusa sababu ya kukosa ushirikiano kipindi amerudi nchini.

Sasa kuna kila dalili inaonyesha anaandaliwa zengwe. Swali la Msingi je Wataweza kumfukuza??
Mnarukaruka tu kama maharage ya Njombe yasiyoiva haraka. Mliibuka na hoja ya Mikutano ya CHADEMA kudoda sababu Lissu hayupo, kawatelekeza wenzake. Mmeona Mikutano inafanyika Kwa ufanisi mpaka ya saa 4 asubuhi mnakuja na upupu mwingine.
 
Labda ndani ya chama kuna "wasiojulikana". Aliwakimbia mapema.
Kwa hiyo ile siri kubwa ya polisi ya kuficha footages za CCTV cameras wameamua kumuonyesha Lissu ndiyo maana waziwazi anasema muhusika ni Mwendawazimu/Mwendakuzimu?
Zile footages zikiwekwa wazi zitatengua kitendawili hiki kwa urahisi sana, hivi kwa nini Jiwe aliamuru zifichwe na kuwanyamizisha polisi wasiwe at least wanafanya hata press conference za kuzuga kuhusu upelelezi ulipofika. Ok walikataa vyombo vya nje credible visije kusaidia wakidai wana utaalam, experience na vifaa hasa vya forensic kuwawezesha lakini kigugumizi mpaka leo huku miuaji uchwara ikiwa ipo tu inarandaranda mitaani. Ni kwamba zile footages Jiwe alizikwanazo? Zitoeni kama hakuzikwa nazo nasi tuzione.
 
Wachawi washachokonolewa mashimoni tayari, kuna wiki 2 mbele hapa za threads mpya za kutosha kila siku na kama kawaida ya wabongo na akili za kuku wa kienyeji (za kusahau likija tukio jipya) baada ya hapo watasahau na maisha yataendelea!
 
Back
Top Bottom