Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,791
- 34,792
- Thread starter
- #21
Wenyewe ndio sisiMambo yao waachie wenyewe
Wenyewe ndio sisiMambo yao waachie wenyewe
Ngoja tucheki uwezo wako wa akili na kufikiri........VAR Loading......👇👇👇👇Hali si shwari kwa upande wa wenzetu huko mitaa ya ufipa. Kundi la mwenye chama linasema Lissu ana nguvu sana na anatishia kiti.
Kundi la Lissu nalo halipo nyuma Ila wanaogopa kuitwa wasaliti. Hata Lissu alipoondoka walishindwa kumsindikiza pale airport Kama ilivyo kawaida yao.
Chama kilishindwa kutoa hata taarifa kwa umma kuhusiana na safari hiyo ya makamu mwenyekiti. Ni vyombo vya habari ndio vilikuja kuujulisha umma. Hii imemuweka pabaya sana Lissu na asijue cha kufanya.
Kuna viongozi wengine wanasema amesusa sababu ya kukosa ushirikiano kipindi amerudi nchini.
Sasa kuna kila dalili inaonyesha anaandaliwa zengwe. Swali la Msingi je Wataweza kumfukuza??
Hali si shwari kwa upande wa wenzetu huko mitaa ya ufipa. Kundi la mwenye chama linasema Lissu ana nguvu sana na anatishia kiti.
Kundi la Lissu nalo halipo nyuma Ila wanaogopa kuitwa wasaliti. Hata Lissu alipoondoka walishindwa kumsindikiza pale airport Kama ilivyo kawaida yao.
Chama kilishindwa kutoa hata taarifa kwa umma kuhusiana na safari hiyo ya makamu mwenyekiti. Ni vyombo vya habari ndio vilikuja kuujulisha umma. Hii imemuweka pabaya sana Lissu na asijue cha kufanya.
Kuna viongozi wengine wanasema amesusa sababu ya kukosa ushirikiano kipindi amerudi nchini.
Sasa kuna kila dalili inaonyesha anaandaliwa zengwe. Swali la Msingi je Wataweza kumfukuza??
Umeamua kwa makusudi kuwa shogaInawezekana Kumfukuza ,kama Joan aliweza kumfukuza msomi wa pili why chadema washindwe?
Hayo ya CUF siyajui waulize wao
Hayo ya CUF siyajui waulize wao
Umeamua kwa makusudi kuwa shoga
Garbage !!!!Hali si shwari kwa upande wa wenzetu huko mitaa ya ufipa. Kundi la mwenye chama linasema Lissu ana nguvu sana na anatishia kiti.
Kundi la Lissu nalo halipo nyuma Ila wanaogopa kuitwa wasaliti. Hata Lissu alipoondoka walishindwa kumsindikiza pale airport Kama ilivyo kawaida yao.
Chama kilishindwa kutoa hata taarifa kwa umma kuhusiana na safari hiyo ya makamu mwenyekiti. Ni vyombo vya habari ndio vilikuja kuujulisha umma. Hii imemuweka pabaya sana Lissu na asijue cha kufanya.
Kuna viongozi wengine wanasema amesusa sababu ya kukosa ushirikiano kipindi amerudi nchini.
Sasa kuna kila dalili inaonyesha anaandaliwa zengwe. Swali la Msingi je Wataweza kumfukuza??
Huko lumumba na serikali yako ndio wanaofanya hayo.
Lete ushahidi wa maneno yako.View attachment 2529463View attachment 2529464
Mchawi hudhani watu wote ni wachawi. Vivyo hivyo kwa mwizi na mashoga pia.
Ndugu hupoi, unaye disii kila kona tuRelax mkuu usije kuwehuka tu maana mambo mengi yanakuchanganya,chadema achana nayo baki na hilo la kuchapiwa tu.
Ndugu hupoi, unaye disii kila kona tu
Mapenzi ya jinsia Moja kwani Kesha kushikisha ukuta? Vijana mbona mnapenda kuropoka na kuvunkia watu heshima?Lisu-mapenzi ya jinsia moja
Sasa hayo yaliyolumumba ya ushoga ambayo mnayafanya na ushahid upo hamyaoni??Lisu- alitamka yeye mwenyewe Kwa mdomo wako bila ushahidi wowote hilo linajulikana
Wewe kweli ni kenge. Mama alivyokwenda kwenye sherehe binafsi zanzibar uliona press au kusindikizwa au kupokelewa Airport na kutangazwa kwenye TV? Si tulikuja kumuona baadae kwenye clip mtandaoni akisasambua taarabu? Acha kutumia makalio kufikiriHuyo ni public figure!! Hakuna wakati utamtenganisha na kazi za Chama!! Tatueni migogoro kabla moto haujawaka
Mapenzi ya jinsia Moja kwani Kesha kushikisha ukuta? Vijana mbona mnapenda kuropoka na kuvunkia watu heshima?
Lissu ni kiongozi anayeheshimika na kutegemewa katika nchi, kumzulia uongo au kumtukana ni kuwatukana wengi wasio husika
Sasa hayo yaliyolumumba ya ushoga ambayo mnayafanya na ushahid upo hamyaoni??
Basi tokeni hadharani mtangaze kwemye vyombo vya habar ili watu waone kama kweli mnatakakuyakomesha.Hatutaki yaendelee kwani tunayakomesha yaishe