CHADEMA wataendelea kutugawa na kutubagua hadi lini?

CHADEMA wataendelea kutugawa na kutubagua hadi lini?

kwenye acc za mitandao ya kijamii za viongozi wenu muone hilo
 
Ubaguzi ulianzia CCM!Kwa kuwabagua wasukuma,wachagga,wahayya,wanyakyusa,wakurrya na kusema hawawezi kutoa rais wa Tanzania!

Huu si ubaguzi?
Katiba ya nchi ya Tanzania si inasema wazi kila mtanzania ana hakhi ya kugombea,kuchagua na kuchaguliwa?

CCM acheni kujitekenya na kucheka wenyewe,nyie ndio WAASISI wa ubaguzi!
 
CHADEMA na ubaguzi ulipitiliza kikomo,walianza na ubaguzi wa ukabila na ukanda ambao kilasiku wanasema ni propaganda za ccm,wakatufundisha watanzania tuvibague vyombo vya habari TBC,UHURU,RAIA MWEMA,MWANANCHI,MTANZANIA,JAMBO LEO NA STARTV.

Wakaendelea tena tumbague ZITTO KABWE tusishiriki na Zitto wala mikutano yake,huko nyuma walitufundisha tuibague nchi yetu na Rais wetu wakati tunaishi Tanzania sijui walitaka tuhamie Rwanda sijui? walitufundisha tuwabague wapinzan bungeni CUF,TLP,UDP NA NCCR.

Leo hii wanatuhamasisha tuwabague wasanii waliojiunga CCM Kweli ni sawa?kesho mtatuambia tusiende Zanzibar sababu kiembesamaki mmepata kura 34,je hamuoni Sudan kusini leo wanabaguana wao kwa wao tena?

Acheni dhambi ya ubaguzi sisi ni watanzania tushindane kwa hoja,

Mpuuzi,mvivu unahongwa kama demu useme pumba,utaliwa wewe,fanyakazi.
 
Wanawagawa kwani ninyi mmekuwa bidhaa? Embu kwendeni zenu huko.
 
Wanawagawa kwani ninyi mmekuwa GAWIWO? Embu kwendeni zenu huko.
 
Ubaguzi ulianzia CCM!Kwa kuwabagua wasukuma,wachagga,wahayya,wanyakyusa,wakurrya na kusema hawawezi kutoa rais wa Tanzania!

Huu si ubaguzi?
Katiba ya nchi ya Tanzania si inasema wazi kila mtanzania ana hakhi ya kugombea,kuchagua na kuchaguliwa?

CCM acheni kujitekenya na kucheka wenyewe,nyie ndio WAASISI wa ubaguzi!

Mkuu,hapo umenena. Wao wanayaona ya wenzao madogo na hali ya kwao makubwa wameyakalia na makalio.
 
Ucha upumbavu weka tamko rasmi la Chadema kususia kazi za wasanii,sio unatoa blabla hapa.

Hizo shutuma zimeibuka mitandaoni na mmemezeshwa mkameza nzimanzima bila kuhoji ni nani hasa alietoa tamko hilo.

Hao akina JB na wenzie walimalizwa na kifo Cha Kanumba ndio maana mpaka leo wanawayawaya tu.

Ni kipi walichokifanaya kuinua uigazaji Tanzania toka kifo cha Kanumba?

Wenye akili tulishaona kifo cha bongo Movie, hivyo leo akina JB kuibukia kwenye majukwaa ya kisiasa hatushangai

R.I.P. Kanumba Umetuachia waganga njaa tu hawana mbele wala nyuma wala hawajitambui na ndio kwanza wanaua juhudi zako ulizofanya kuinua sanaa ya Tanzania.
[

Wakiitwa wenye akili naww utajitokeza? Mbuzi mtaga mayai ww
 
je siri ya serikali tatu chadema wanataka nn?wao wanaitaji Tanganyika tu ndio shida yao halafu wavunje muungano hakuna lolote zaidi ya hilo
 
Wewe unaisema CHADEMA CCM wenyewe hawabagui wanaua kabisa
1. Yuko wapi Kolimba
2. Yuko wapi Imran Kombe
3. Yuko wapi Edward Moringe Sokoine

**Vipi ile video ya Lipumba inayomuonyesha akiwa Msikitini akihamasisha waislam Wamchague Kikwete?
** Vipi yule Mansour Himid mliyemfukuza na nafasi yake imezibwa jana, je mlichomfanyia ni sawa? je huyu anatofauti gani na ZITTO hadi nyie muonekane kumtetea Zitto huku huyo mkimfukuza.
** Vipi Bomu la Olasiti Bunge lilisitisha shughuli zake lakini Bomu la Soweto Bunge liliendelea?
** Inakuwaje Mauaji ya Mwenyekiti wa CDM Usariver wauaji walitoroshwa na hawajakamatwa hadi sasa huku wale waliohusika kumuua yule Mwenyekiti wa CCM kule Mbeya wamekamatwa na wameishahukumiwa KIFO?
***Akina Masogange walikamatwa na madawa ya Kulevya lakini tulisikia Lukuvi alienda South Africa na akaja na kihoja cha Phenobabitone, mbona Jack Clief kakamatwa na Madawa ya Kulevya hatujasikia wakiangaika kama ile ya akina masogange? Yaani mnabagua hadi wauza Unga wakati zote hizo ni biashara zenu.

**Ndugu Tambua CCM ndio wanaongoza kwa ubaguzi na ubaguzi wanaoufanya unaathiri maisha ya watanzania kwa asilimia kubwa sana

Unaakili fupi hata kwenye ubongo wa sisimiz unapwaya
 
Mmepima upepo mwisho wa siku na nyie hamna chenu,wasanii wanaushawish mkubwa zaid hata ya babu mzinifu na Dj mbaka wabunge,subirin imapct yake jiandaen kususia tena matokeo kama kawaid yenu
 
Leo nilienda kisimani na kuchukua ndoo ya maji..... nilipofika nyumbani, nikachukua CD za hao jamaa na kuziosha.

Nina imani hazitakuja kusomeka kwenye mashine yoyote dunia.

Nimewaambia familia yangu hapa, ni heri nikudake unakunywa Gongo kuliko kukuta unaangalia hao wasanii.

Ni Demokrasia yangu hii, nina haki ya kumpenda na kumchukua yeyote ili muradi simgusi wala kumdhuru moja kwa moja.
 
Ben Saanane na wenzio mmeteleza sana kwakuweka mabandiko yakuhimiza kuwabagua wasanii hawa...mmezidi kuchochea moto wa ubaguzi ndan ya hiki kikundi chenu
 
Ucha upumbavu weka tamko rasmi la Chadema kususia kazi za wasanii,sio unatoa blabla hapa.

Hizo shutuma zimeibuka mitandaoni na mmemezeshwa mkameza nzimanzima bila kuhoji ni nani hasa alietoa tamko hilo.

Hao akina JB na wenzie walimalizwa na kifo Cha Kanumba ndio maana mpaka leo wanawayawaya tu.

Ni kipi walichokifanaya kuinua uigazaji Tanzania toka kifo cha Kanumba?

Wenye akili tulishaona kifo cha bongo Movie, hivyo leo akina JB kuibukia kwenye majukwaa ya kisiasa hatushangai

R.I.P. Kanumba Umetuachia waganga njaa tu hawana mbele wala nyuma wala hawajitambui na ndio kwanza wanaua juhudi zako ulizofanya kuinua sanaa ya Tanzania.
[

Inatakiwa kila mtu akushangae wewe na mleta mada nani -------- sasa wanachofanya chadema ni upuuzi huwezi kutangazia watu eti wasinunue kazi za wasanii fulani kisa wamekuwa wanachama wa chama fulani.
 
je siri ya serikali tatu chadema wanataka nn?wao wanaitaji Tanganyika tu ndio shida yao halafu wavunje muungano hakuna lolote zaidi ya hilo

chadema wabaguzi balaa hawafai hata kuongoza kundi la mifugo
 
Mkuu mbona hiki chama kilishajiamulia tangu awali njia yakuingia ikulu ni kuwabagua watanzania
 
Ok, tuko CCM sasa, hebu mleta mada tuambie huko CCM hakuna ubaguzi??
Tuliambiwa Rais hatatoka kaskazini je atatoka kusini au Magharibi. Huu siyo ubaguzi??
 
na hakuna wa kumkemea huyo gaidi mke wake nae alikuwa akimsaidia kazi kuingilia uhuru wa watu tu
 
Back
Top Bottom