CHADEMA wataendelea kutugawa na kutubagua hadi lini?

CHADEMA wataendelea kutugawa na kutubagua hadi lini?

hataji watu anajitahidi kukupa ufafanuzi uwajue malimbukeni wa siasa
 
zuzu mkubwa wewe usiojuwa ukweli kwa mahaba ya slaa yasyokuwa na tija kwa watanzania anawadangaya watanzania na nyie mnaamin
 
Hao wasaniii maslahi, kwanza wamenifurahisha kujiunga chama chakavu kwani yale madai yao kuwa wanaibiwa kazi zao watakuwa hawalalamiki tena, watayamaliza huko huko kwani hata hao wanao waibia hizo kazi wengi wao ni makada chama chao.

Ni lini CHADEMA kilitangaza kuwa hawa wasanii wabaguliwe?Wana haki ya kujiunga na chama chochote.Wanunuzi wa kazi za wasanii hawa wakisusia bidhaa zao hata kama ni wanachama wa CHADEMA utasemaje ni tamko la CHADEMA?

1:Wasanii wana haki ya kidemokrasia kujiunga na chama chochote

2:Mashabiki/wateja wao wana haki ya kidemokrasia kupitia soko huria kuchagua bidhaa au huduma zao kwa kusapoti au kususia

3:Wasanii wanalalamika kuwa serikali ya CCM inaminya haki zao

4:Kambi ya upinzani waliwasikikiza na kupitia hotuba ya mwaka 2011/12 walifanikiwa kushinikiza sticker za TRA zikawekwa kwenye kazi zao

5:Wasanii bado wapo kwenye mapambano na wengi wameshindwa kwa kudhululumiwa hadi wengine kwa frustration wameishia kuwa wasafirishaji wa madawa.CCM kimewatumia jinsi mazungu ya unga yanavyowatumia wasanii.Kitendo cha kulaaniwa hiki

6:Usaliti wa wasanii hawa kwa wasanii wenzao ni kikwazo kwa mapambano ya wasanii katika kulinda haki zao kwa kuwa wasanii wengi waliwahi kujiunga na CCM lakini sasa wanajuta na mapambano yalizidi kuwa magumu katika harakati za mapinduzi ndani ya tasnia hii

Haki yao kidemokrasia ilindwe,haki ya wateja a mashabiki ilindwe pia kupitia demokrasia ya soko huria.Wana uhuru wa kuchagua/kususa kufikisha hisia zao juu ya wazalishaji na wasambazaji wa bidha pamoja na bidhaa zenyewe.
 
Tatizo lako wewe mleta hoja hii hujui maana ya UBAGUZI, ubaguzi ni ule aliofanya baba yako baada ya kuona viwanawake kibao na kuwazaa nyie vitoto luluki mkaaza kubaguana kuendana na mama. Huo ndio ubaguzi na sio huu wa CDM wa kuondoa 'uozo. ndani ya Chama.
 
Washageuza eti hakuna tamko la chama!

Kama lipo si utaje! Lilitamkwa lini na wapi! Na ni nani alitamka. Usiandeke ----- -----! Dhambi ya propaganda za ubaguzi itawatafuna!
 
je siri ya serikali tatu chadema wanataka nn?wao wanaitaji Tanganyika tu ndio shida yao halafu wavunje muungano hakuna lolote zaidi ya hilo[/QUOT
Bado unahoji serikali tatu,muulize Jaji Warioba ndii ataweza kukujibu
 
Ni lini CHADEMA kilitangaza kuwa hawa wasanii wabaguliwe?Wana haki ya kujiunga na chama chochote.Wanunuzi wa kazi za wasanii hawa wakisusia bidhaa zao hata kama ni wanachama wa CHADEMA utasemaje ni tamko la CHADEMA?

1:Wasanii wana haki ya kidemokrasia kujiunga na chama chochote

2:Mashabiki/wateja wao wana haki ya kidemokrasia kupitia soko huria kuchagua bidhaa au huduma zao kwa kusapoti au kususia

3:Wasanii wanalalamika kuwa serikali ya CCM inaminya haki zao

4:Kambi ya upinzani waliwasikikiza na kupitia hotuba ya mwaka 2011/12 walifanikiwa kushinikiza sticker za TRA zikawekwa kwenye kazi zao

5:Wasanii bado wapo kwenye mapambano na wengi wameshindwa kwa kudhululumiwa hadi wengine kwa frustration wameishia kuwa wasafirishaji wa madawa.CCM kimewatumia jinsi mazungu ya unga yanavyowatumia wasanii.Kitendo cha kulaaniwa hiki

6:Usaliti wa wasanii hawa kwa wasanii wenzao ni kikwazo kwa mapambano ya wasanii katika kulinda haki zao kwa kuwa wasanii wengi waliwahi kujiunga na CCM lakini sasa wanajuta na mapambano yalizidi kuwa magumu katika harakati za mapinduzi ndani ya tasnia hii

Haki yao kidemokrasia ilindwe,haki ya wateja a mashabiki ilindwe pia kupitia demokrasia ya soko huria.Wana uhuru wa kuchagua/kususa kufikisha hisia zao juu ya wazalishaji na wasambazaji wa bidha pamoja na bidhaa zenyewe.

Kwa Chadema kila mtu ni msemaji, wewe,Yeriko,Mungi,Arushaone,Lema nk...........kila mtu husemea chama.......na kwasababu Dr.Slaa kwa sasa ni Mbunge wa JF amekuwa aki-like post zenu
 
Mbaguzi ni jk na tamko la uvccm mkoa wa pwani walilolitoa kuwa rais ajae hawezi toka kaskazini na tamko lilitolewa na Ridhiwani shigella na Akiwemo shukuru kawambwa hapo mbaguzi ni nani kama si Jk na ccm yenu
 
Chama kina cho endeshwa na chuki hakiwezi shika dola kamwe.

Chadema kwao siasa ni chuki. Sugu na afande walipo jiunga chadema hakuna aliye tangaza kususia kazi zao lakini leo hii Henry Kilewo ana hamasisha watu wasinunue kazi za wasanii walio jiunga na ccm!

Hakuna kiongozi mjinga kama Henry Kilewo.

Kwa Chadema kila mtu ni msemaji, Ben,Yeriko,Mungi,Arushaone,Lema,na vifaranga wengine ...........kila mtu husemea chama.......na kwasababu Dr.Slaa kwa sasa ni Mbunge wa JF amekuwa aki-like post zao
 
Ubaguzi kama kula nyama ya watu,ndio maana inawtafuna sasa kudadadadeki!!!
 
sema Zitto ndio kaleta hoja sio kambi ya upinzan mbona mabilioni ya uswisi hamsemi kambi ya upinzan mnasema Zitto ndio kakataa kutoa majina
 
safi sana umemuambia ukweli maana wao ndio wasemaji wa chama tunaowafahamu,unajua chama kikosa dira kila mtu anakuwa na mamlaka ndio hicho chama cha kibaguzi
 
onyo
usirudie kuleta mada ukiwa umevuta na kubwia bwimbwi!
 
Bora Chadema wanaogea tu unao uhuru wa kufuata au kutofuata wanayoongea mana mtu hulazimishwi. Lakini kitu walichotufanyia CCM Kata ya Kikunde Jimbo la Kilindi hatutakisahau hadi siku ya kuweka kura kwenye box 2015. Wakishirikiana na nyanja zote za uongozi wa kijiji na kata wameamua kugawa pembejeo za kilimo kwa wana ccm bila kusahau kuwa kuna watu tuliwapigia kura 2010 na si wanachama wao.

HII INASIKITISHA
 
Kelele nyiiiiingiiii majibu kamili tukutane 2015 O.P.D
 
mbunge wa jf mbona haji kulike?

Yani we ndo lofa kweli kweli umeanzisha uzi ili watu wakupe like? halaf thread nzima umeja comment zako tu,we ni "junya" na wote walio kusapoti ni "majunya"...do you wanna know what junya is? go ask your sister!
 
Back
Top Bottom