CHADEMA wataendelea kutugawa na kutubagua hadi lini?

CHADEMA wataendelea kutugawa na kutubagua hadi lini?

Ubaguzi wa ccm dhidi ya watu wa kaskazini Lowasa,slaa,mbowe,ole medeye,lema mathayo ,chami,ole nangoro ni mbaya sana.
 
Mmeondoa mawaziri kutoka majimbo ya kaskazini mkabakiza mizigo kina kawambwa,Ghasia,chiza,malima n.k.si vizuri hivyo!
 
CHADEMA na ubaguzi ulipitiliza kikomo,walianza na ubaguzi wa ukabila na ukanda ambao kilasiku wanasema ni propaganda za ccm,wakatufundisha watanzania tuvibague vyombo vya habari TBC,UHURU,RAIA MWEMA,MWANANCHI,MTANZANIA,JAMBO LEO NA STARTV.

Wakaendelea tena tumbague ZITTO KABWE tusishiriki na Zitto wala mikutano yake,huko nyuma walitufundisha tuibague nchi yetu na Rais wetu wakati tunaishi Tanzania sijui walitaka tuhamie Rwanda sijui? walitufundisha tuwabague wapinzan bungeni CUF,TLP,UDP NA NCCR.

Leo hii wanatuhamasisha tuwabague wasanii waliojiunga CCM Kweli ni sawa?kesho mtatuambia tusiende Zanzibar sababu kiembesamaki mmepata kura 34,je hamuoni Sudan kusini leo wanabaguana wao kwa wao tena?

Acheni dhambi ya ubaguzi sisi ni watanzania tushindane kwa hoja,

Upo sawa kabisa, kwakweli wanaboa sana, wao kila siku ni chuki tuuu, hata kama ni siasa sio hivyo tena. Na inaonekana hawa tukiwapa nchi ni hatari sana maana inavyoonekana ikitokea ukahitilafiana nao tu basi imekula kwako maana wanataka tuunge mkono kila wanaloona wao linafaa, kwa staili hii hatutafika, chadema mnayoyafanya hayafai jamani hii sio siasa tena.
 
Wewe unaisema CHADEMA CCM wenyewe hawabagui wanaua kabisa
1. Yuko wapi Kolimba
2. Yuko wapi Imran Kombe
3. Yuko wapi Edward Moringe Sokoine

**Vipi ile video ya Lipumba inayomuonyesha akiwa Msikitini akihamasisha waislam Wamchague Kikwete?
** Vipi yule Mansour Himid mliyemfukuza na nafasi yake imezibwa jana, je mlichomfanyia ni sawa? je huyu anatofauti gani na ZITTO hadi nyie muonekane kumtetea Zitto huku huyo mkimfukuza.
** Vipi Bomu la Olasiti Bunge lilisitisha shughuli zake lakini Bomu la Soweto Bunge liliendelea?
** Inakuwaje Mauaji ya Mwenyekiti wa CDM Usariver wauaji walitoroshwa na hawajakamatwa hadi sasa huku wale waliohusika kumuua yule Mwenyekiti wa CCM kule Mbeya wamekamatwa na wameishahukumiwa KIFO?
***Akina Masogange walikamatwa na madawa ya Kulevya lakini tulisikia Lukuvi alienda South Africa na akaja na kihoja cha Phenobabitone, mbona Jack Clief kakamatwa na Madawa ya Kulevya hatujasikia wakiangaika kama ile ya akina masogange? Yaani mnabagua hadi wauza Unga wakati zote hizo ni biashara zenu.

**Ndugu Tambua CCM ndio wanaongoza kwa ubaguzi na ubaguzi wanaoufanya unaathiri maisha ya watanzania kwa asilimia kubwa sana

Yuko wapi Chacha Wangwe???
 
ni lini chadema kilitangaza kuwa hawa wasanii wabaguliwe?wana haki ya kujiunga na chama chochote.wanunuzi wa kazi za wasanii hawa wakisusia bidhaa zao hata kama ni wanachama wa chadema utasemaje ni tamko la chadema?

1:wasanii wana haki ya kidemokrasia kujiunga na chama chochote

2:mashabiki/wateja wao wana haki ya kidemokrasia kupitia soko huria kuchagua bidhaa au huduma zao kwa kusapoti au kususia

3:wasanii wanalalamika kuwa serikali ya ccm inaminya haki zao

4:kambi ya upinzani waliwasikikiza na kupitia hotuba ya mwaka 2011/12 walifanikiwa kushinikiza sticker za tra zikawekwa kwenye kazi zao

5:wasanii bado wapo kwenye mapambano na wengi wameshindwa kwa kudhululumiwa hadi wengine kwa frustration wameishia kuwa wasafirishaji wa madawa.ccm kimewatumia jinsi mazungu ya unga yanavyowatumia wasanii.kitendo cha kulaaniwa hiki

6:usaliti wa wasanii hawa kwa wasanii wenzao ni kikwazo kwa mapambano ya wasanii katika kulinda haki zao kwa kuwa wasanii wengi waliwahi kujiunga na ccm lakini sasa wanajuta na mapambano yalizidi kuwa magumu katika harakati za mapinduzi ndani ya tasnia hii

haki yao kidemokrasia ilindwe,haki ya wateja a mashabiki ilindwe pia kupitia demokrasia ya soko huria.wana uhuru wa kuchagua/kususa kufikisha hisia zao juu ya wazalishaji na wasambazaji wa bidha pamoja na bidhaa zenyewe.

kwa hiyo maandishi ya Henry Kilewo huyatambui tena?
 
Last edited by a moderator:
Chama kina cho endeshwa na chuki hakiwezi shika dola kamwe.

Chadema kwao siasa ni chuki. Sugu na afande walipo jiunga chadema hakuna aliye tangaza kususia kazi zao lakini leo hii Henry Kilewo ana hamasisha watu wasinunue kazi za wasanii walio jiunga na ccm!

Hakuna kiongozi mjinga kama Henry Kilewo.
 
Last edited by a moderator:
Kama wanaambizana wasinunue kazi za hawa wasanii. Badaye wengine watasusia kupanda mabasi ya Mtei, wengine wataacha kwenda bilicanas, wengine wataacha kwenda kwa mchungaj Msigwa kwa sababu wao si wanachadema au wafuasi wa cdm. Kisha tutaja kuvuna hiki kilichoanza kupandwa jana. Kama hili ni tamko la wanachama au wafuasi na endapo viongozi hawaungi mkono haya, wanapaswa kuyakemea..
 
Chama kina cho endeshwa na chuki hakiwezi shika dola kamwe.

Chadema kwao siasa ni chuki. Sugu na afande walipo jiunga chadema hakuna aliye tangaza kususia kazi zao lakini leo hii Henry Kilewo ana hamasisha watu wasinunue kazi za wasanii walio jiunga na ccm!

Hakuna kiongozi mjinga kama Henry Kilewo.

Kileo H, kazidiwa akili na mkewe.... Kwenye uwezo wa kufikiri kileo ni mke wa Joyce Kiria
 
Last edited by a moderator:
Mwisho wa ccm hapa mwanza kuna mkutano wa hadhara wa meya Mabula mitaa ya ngoko's Dampo anajihutubia mwenyewe hana mpya anazomewa
 
kama wanaambizana wasinunue kazi za hawa wasanii. Badaye wengine watasusia kupanda mabasi ya mtei, wengine wataacha kwenda bilicanas, wengine wataacha kwenda kwa mchungaj msigwa kwa sababu wao si wanachadema au wafuasi wa cdm. Kisha tutaja kuvuna hiki kilichoanza kupandwa jana. Kama hili ni tamko la wanachama au wafuasi na endapo viongozi hawaungi mkono haya, wanapaswa kuyakemea..

umesema kweli kama ni kweli Dr.W.Slaa na viongozi wengine hawaungi mkono kauli au maandishi ya kiongozi mwenzao Henry Kilewo ni vyema wakamkemea na aache kuropoka.

Kama wataendelea kukaa kimya basi watakuwa wana unga mkono matamshi/maandishi ya Henry Kilewo.
 
Last edited by a moderator:
umesema kweli kama ni kweli Dr.W.Slaa na viongozi wengine hawaungi mkono kauli au maandishi ya kiongozi mwenzao Henry Kilewo ni vyema wakamkemea na aache kuropoka.

Kama wataendelea kukaa kimya basi watakuwa wana unga mkono matamshi/maandishi ya Henry Kilewo.

Wakikemea kauli hiyo bado utakuja kivingine. Wee farisayo.
 
Last edited by a moderator:
chadema na ubaguzi ulipitiliza kikomo,walianza na ubaguzi wa ukabila na ukanda ambao kilasiku wanasema ni propaganda za ccm,wakatufundisha watanzania tuvibague vyombo vya habari tbc,uhuru,raia mwema,mwananchi,mtanzania,jambo leo na startv.

Wakaendelea tena tumbague zitto kabwe tusishiriki na zitto wala mikutano yake,huko nyuma walitufundisha tuibague nchi yetu na rais wetu wakati tunaishi tanzania sijui walitaka tuhamie rwanda sijui? Walitufundisha tuwabague wapinzan bungeni cuf,tlp,udp na nccr.

Leo hii wanatuhamasisha tuwabague wasanii waliojiunga ccm kweli ni sawa?kesho mtatuambia tusiende zanzibar sababu kiembesamaki mmepata kura 34,je hamuoni sudan kusini leo wanabaguana wao kwa wao tena?

Acheni dhambi ya ubaguzi sisi ni watanzania tushindane kwa hoja,

huna hoja, majungu tu!
 
weka ushahidi !Acha kuungaunga maneno.Vinginevyn NYAMAZA KIMYA-!!! Hata hivyo marlow mmemsikia alichosema-?,??au
 
nenda kwenye acc za mitandao na wake zao uone matangazo ya kibaguzi wanayatoa
 
Back
Top Bottom