Nakupongeza sana kwa kujitokeza kwako na kutoa msimamo wako kuhusu kujiunga kwako na CUF. Nakuomba sana ukipata nafasi fanya ziara wilayani Kilwa ambako CUF mna wanachama wengi sana na mmefaanikiwa kuwa na mbunge. Wanachama wenu kule kilwa inaonekana hawajazielewa sera za chama chenu kwani wanaamini kuwa mwana CUF ni kuwa adui wa watumishi wa serikali na kwamba hawatakiwi kufanya shughuri yoyote ya maendeleo hata kama nikusafisha mazingira yao. Ajabu hawataki hata kuchimba vyoo kwa ajili ya shule zao. Uungwana uko wapi walimu katika shule kutojengewa vyoo na hivyo kuchangia choo kimoja na wanafunzi wao? Maelezo yanayotolewa eti CUF mnatangaza kuwa jukumu la kujenga vyoo shuleni ni la serikali. Sasa mchango wa wananchi ni upi? kwani mlipuko wa maradhi ukitokea watakaoathirika ninani?Tafadharini waelimisheni wana chama wenu umhimu wa kuchangia maendeleo yao.Sijaongelea suala tajwa hapo juu,
nadhani CHADEMA wamekuja Igunga kama chama cha siasa na CUF tupo Igunga kama chama cha siasa, so ni kiasi cha kusubiri kipenga kipulizwe ndio tutajua nani alikuja kugawa kura za mwingine, nani CCM B au C n.k.
Kwa sasa ni mapema mno kupeana shutuma hizo za uongo, mimi nawaheshimu chadema kama chama cha siasa na sina ugomvi na uwepo wao Igunga.
Jambo lingine muhimu ni kuwa hii forum inaheshimika sana, kuna baadhi ya wadau wanajiunga hapa kuja kupotosha umma au ku_dogoesha watu fulani, yote haya hayatusaidii ikiwa bado watanzania wanashughulikiwa na sera za CCM. Hii ni forum muhimu sana na ninaogopa ikiwa itageuzwa kuwa mahali pa propaganda za vyama na masuala yasiyo na tija kwa jamii na taifa. Hali hii ikiendelea kufurahiwa itaharibu sura halisi ya forum na malengo yake.
Mimi ni kiongozi wa juu wa CUF na niko CUF kwa akili na utashi wangu na wakati najiunga CUF vyama vingine vyote vilikuwepo na sikuamua kujiunga navyo. Nitasimama CUF na kuijenga CUF , sitakimbilia kwenye vyama ambavyo vinaonekana vina mafanikio, nitapambana hapahapa nilipo na kuyatafuta mafanikio ya watanzania hapa hapa CUF.
Nawashukuru wote wanaoniunga mkono, wanaonikosoa kwa makusudi, bahati mbaya , kwa malengo mazuri au mabaya, sote tu watanzania na hatuna cha kuchekana.
Wasalaam,
Julius Mtatiro,
Naibu Katibu Mkuu(CUF),
TANZANIA Bara.
03/09/2011
CUF wameenda igunga kuisaidia CCM ishinde siyo yenyewe kushinda,wao CUF wanamuafaka na CCM huko Zanzibar sasa ndoa yao si bado haijavunjika wananchi tusiwaskilize hao ni ccm ya pili.

mbona yeye alijua hashindi lakini alienda UBUNGO badala ya kwenda MUSOMA VIJIJINI

mbona TARIME CUF waliharibia CHADEMA kwa kugawa kura zaidi ya 7000

mbona hazungumzii KIGAMBONI jinsi wapinzani walivyogawana kura

au MTATIRO naye ameanza kutumia akili za kwwnye MASABURI

Sijaongelea suala tajwa hapo juu,

nadhani CHADEMA wamekuja Igunga kama chama cha siasa na CUF tupo Igunga kama chama cha siasa, so ni kiasi cha kusubiri kipenga kipulizwe ndio tutajua nani alikuja kugawa kura za mwingine, nani CCM B au C n.k.

Kwa sasa ni mapema mno kupeana shutuma hizo za uongo, mimi nawaheshimu chadema kama chama cha siasa na sina ugomvi na uwepo wao Igunga.

Jambo lingine muhimu ni kuwa hii forum inaheshimika sana, kuna baadhi ya wadau wanajiunga hapa kuja kupotosha umma au ku_dogoesha watu fulani, yote haya hayatusaidii ikiwa bado watanzania wanashughulikiwa na sera za CCM. Hii ni forum muhimu sana na ninaogopa ikiwa itageuzwa kuwa mahali pa propaganda za vyama na masuala yasiyo na tija kwa jamii na taifa. Hali hii ikiendelea kufurahiwa itaharibu sura halisi ya forum na malengo yake.

Mimi ni kiongozi wa juu wa CUF na niko CUF kwa akili na utashi wangu na wakati najiunga CUF vyama vingine vyote vilikuwepo na sikuamua kujiunga navyo. Nitasimama CUF na kuijenga CUF , sitakimbilia kwenye vyama ambavyo vinaonekana vina mafanikio, nitapambana hapahapa nilipo na kuyatafuta mafanikio ya watanzania hapa hapa CUF.

Nawashukuru wote wanaoniunga mkono, wanaonikosoa kwa makusudi, bahati mbaya , kwa malengo mazuri au mabaya, sote tu watanzania na hatuna cha kuchekana.

Wasalaam,

Julius Mtatiro,

Naibu Katibu Mkuu(CUF),

TANZANIA Bara.

03/09/2011

mkuu karibu sana hapa kwenye forum hii ili ujibu kero zetu juu yako.Je umebadilisha msimamo wako kwamba chadema ni chama cha kidini kama ulivyosema awali? Je kwanini wabunge wako bungeni walisema wanajitoa kwenye upinzani kwa vile unaongozwa na chadema? Je kwanini uliwahi kusema chadema ni chama cha vurugu kwa vile kinaongoza maandamano? Je kwanini misimamo ya ccm na cuf inafanana mnapoizungumzia chadema?
Ndoa ya kwanza ilikuwa kule Kigoma, sijui ya nani ile? hii ya CUF ya pili na imefana sana, wana makamu wa Rais. Unalo?

Mtatiro ni jembe la ukweli na ndiyo maana washabiki wa CHADEMA humu jamvini kila wakiona jina la Mtatiro wanakuja wakali kama pilipili,

Mtatiro msimamo wako nimeupenda, waache vijana wanaokimbilia vyama maarufu wakaendeleze umaarufu huko, hiyo CUF yako wanayoidharau kaa chini utulie uijenge ijengeke.

Mimi na watu wengi tuliosoma UDSM tunatambua uwezo na mchango wa Mtatiro katika harakati za kuwapigania watoto wa masikini, most of the time DARUSO nzima ilimkimbia na alibakia mwenyewe akiendeleza mapambano tangu enzi za Mwikwabe Mwita Waitara(Mtatiro akiwa mbunge, Magesa Mwita(Mtatiro akiwa Waziri wa Mikopo) na enzi za urais wa Daudi Deo( Mtatiro akiwa Waziri Mkuu) na Baadaye kuwa KATIBU MKUU wa Umoja wa vyuo vikuu Tanzania(TAHLISO). Mimi siamini kuwa Mtatiro amepitia nyadhifa zote hizi kwa tamaa yake au alipewa nafasi hizi kwa kuhongwa au kupendelewa, siamini kabisa na labda mtu anisistize kuwa alibebwa ili kushikilia nyadhifa hizo ambazo wanafunzi wengi wa vyuo vikuu walizitafuta bila mafanikio.

Kwa nature yake ni vigumu akiwa mahali na usitambue harakati zake, mara kadhaa aliwahi kufukuzwa chuo na kurudishwa na mara kadhaa amewahi kukaa lupango kwa ajili ya kuwatetea wenzie. Sielewi watu tuna chuki zipi kwa Mtatiro.

Alipomaliza Chuo kikuu alijiunga na CUF na baada ya muda mfupi akakabidhiwa wadhifa wa Mkurugenzi wa Haki za Binadamu wa chama hicho, baadaye mwaka 2010 Desemba akapewa Ukaimu naibu katibu mkuu na mwaka huu 2011 mwezi mei akachaguliwa rasmi kuwa naibu katibu mkuu Tanzania bara wa chama cha CUF. Sielewi huku nako alihonga, aliomba, alipewa kwa bahati mbaya au la.

Nashawishika kuamini kuwa Mtatiro ni kiongozi wa Ukweli na ni kiongozi tegemeo katika nchi yetu. Ni vigumu kwa chama kama CUF kwa umri wake kupewa unaibu katibu mkuu. Lazima waliompa nafasi hii wanaamini uwezo wake na wanaanza kujenga future ya CUF. Watu wote wenye upeo rasmi hawawezi kuthubutu kumdhihaki bila sababu za msingi .

Na kwa hali halisi ilivyo , tangu mtatiro amekuwa CUF walau CUF imeanza kuwa na uhai wa kutosha na vijana wengi wameanza kupendezewa na CUF, Mtatiro amekuwa akiiwakilisha CUF katika mijadala mikubwa kwa uwezo mpana na hivi sasa ameifanya CUF walau kuwa na uhai kwenye vyombo vya habari. Ukiwauliza watu wa ndani ya CUF watakwambia huyu ni NAIBU KATIBU MKUU wa kwanza kuonesha mafanikio makubwa sana katika chama hicho ambacho kilikuwa kimeanza kuporomoka kisiasa.

Kwa chama kinachobanwa kisisasa kama CUF itamchukua muda fulani kuanza kuirudisha CUF yenye matarajio, kwa sasa wadau wengi wanaweza kumcheka lakini ,ikiwa ataendelea na mbio hizi na akatumia uzoefu wake mkubwa wa uongozi ambao amewahi kuupata nyuma CUF ita-shine na wakati huo kejeli hizi zitaisha.

Nachoweza kumshauri Mtatiro ni kuwa aendelee kujiamini sana kama alivyofanya kipidi chote cha nyadhifa zote alizowahi kushika. Ajibu hoja na vijembe ambavyo chama chake kinapewa kwqa hoja bila kulalamika na atambue kuwa mamilioni ya watanzania wanamtizma kila siku na wanatambua uwezo wake mkubwa.

Sina nia ya kumtetea Julius lakini amekanusha kuhusishwa na kilichonukuliwa na mwanzisha thread hii. So logically this thread is now rendered redundant!

Haya mengine uliyoyaandika hapo juu sidhani kama ana sababu ya kuyajibu kupitia thread hii ya kizushi ambayo muanzishaji na wachangiaji waliomu-attack Julius walipaswa ku-apologize in the first place...

Sina nia yangu ku-stifle your freedom to express your opinion but ni muhimu kutumia hekima kwenye mambo basic.

wewe ni nani hata umtetee? Ni katibu muhtasi wake? Tunamtaka akanushe madai yake yote na matusi yote aliyoitukana chadema.Ambalo chadema hawatamsamehe kirahisi ni ule uzushi wake kwamba chadema ni chama cha kidini.Hiyo ni dhambi kubwa kuwahi kufanywa na mwanasiasa tena kijana.
Sijaongelea suala tajwa hapo juu,
nadhani CHADEMA wamekuja Igunga kama chama cha siasa na CUF tupo Igunga kama chama cha siasa, so ni kiasi cha kusubiri kipenga kipulizwe ndio tutajua nani alikuja kugawa kura za mwingine, nani CCM B au C n.k.
Kwa sasa ni mapema mno kupeana shutuma hizo za uongo, mimi nawaheshimu chadema kama chama cha siasa na sina ugomvi na uwepo wao Igunga.
Jambo lingine muhimu ni kuwa hii forum inaheshimika sana, kuna baadhi ya wadau wanajiunga hapa kuja kupotosha umma au ku_dogoesha watu fulani, yote haya hayatusaidii ikiwa bado watanzania wanashughulikiwa na sera za CCM. Hii ni forum muhimu sana na ninaogopa ikiwa itageuzwa kuwa mahali pa propaganda za vyama na masuala yasiyo na tija kwa jamii na taifa. Hali hii ikiendelea kufurahiwa itaharibu sura halisi ya forum na malengo yake.
Mimi ni kiongozi wa juu wa CUF na niko CUF kwa akili na utashi wangu na wakati najiunga CUF vyama vingine vyote vilikuwepo na sikuamua kujiunga navyo. Nitasimama CUF na kuijenga CUF , sitakimbilia kwenye vyama ambavyo vinaonekana vina mafanikio, nitapambana hapahapa nilipo na kuyatafuta mafanikio ya watanzania hapa hapa CUF.
Nawashukuru wote wanaoniunga mkono, wanaonikosoa kwa makusudi, bahati mbaya , kwa malengo mazuri au mabaya, sote tu watanzania na hatuna cha kuchekana.
Wasalaam,
Julius Mtatiro,
Naibu Katibu Mkuu(CUF),
TANZANIA Bara.
03/09/2011
mtatilo uko sawa hawa chadema kidomo domo sana, kazi yao kuhubili tumbo tumbo tumbo tu.Mratibu wa kampeni wa cuf Julius Mtatiro ameishtumu vikali chadema kwamba kiimeenda Igunga kwa lengo la kugawa kura za Cuf.Mtatiro amesema chadema wanajua wazi hawana nguvu yoyote Igunga lakini wameamua kwenda huko ili ccm ishinde.Mtatiro amemueleza mwandishi wa habari hizi kwamba chadema wasijidanganye kuambulia hata nafasi ya pili bali watakuwa namba 3 nyuma ya ccm na cuf.Mtatiro amesema cuf wamejipanga kuwaeleza wananchi wa igunga ukweli wote kuhusu chadema ili waamue wenyewe.

chadema chama cha kidini!!!!!!!!! ngoja nifanye uchunguzi.

mkuu karibu sana hapa kwenye forum hii ili ujibu kero zetu juu yako.Je umebadilisha msimamo wako kwamba chadema ni chama cha kidini kama ulivyosema awali? Je kwanini wabunge wako bungeni walisema wanajitoa kwenye upinzani kwa vile unaongozwa na chadema? Je kwanini uliwahi kusema chadema ni chama cha vurugu kwa vile kinaongoza maandamano? Je kwanini misimamo ya ccm na cuf inafanana mnapoizungumzia chadema?
Mtatiro ni jembe la ukweli na ndiyo maana washabiki wa CHADEMA humu jamvini kila wakiona jina la Mtatiro wanakuja wakali kama pilipili,

Mtatiro msimamo wako nimeupenda, waache vijana wanaokimbilia vyama maarufu wakaendeleze umaarufu huko, hiyo CUF yako wanayoidharau kaa chini
ACHA WOGA KWANI WEWE!
ATALITIA MAJI HARAFU ULINYWE OHOO!