Huna akili hata kidogo. Jibu tuhuma za chagadema kupeleka wafanya vurugu kalenga, wewe kuijua ccm hakupungzi ugaidi wa chadema..tatu, kama ccm inawatisha wapiga kura wajitokeze wachache, kwanini hao wachache wasiipigie kura chagadema????Nafikili japo kidogo tu ungetumia akili,ukaacha ushabiki ambao sio mzuri,ungeweza kutambua thamani ya uhai wa mtu na CCM unayoishabikia.Siongei kwa sababu naipenda chadema ila ninaongea kwa sababu ninawajua ccm nje ndani,ni chama hatari kwa maisha ya watu.Hii propaganda ambayo inafanywa hapa na wengine kushabikia mnavyofanya hapa ni mbaya sana kwa sababu mnacheza na uhai wa mtu,ambao ukipotea hakuna mwenye uwezo wa kuurudisha.Pili hivi ni vitisho vya ccm kutisha watu wasijitokeze kwenye uchaguzi ili iwe rahisi kwao kushinda uchaguzi.
Chagadema itapigwa kipigo cha mbwa mwizi kalengaCCM ITASHINDWA VIBAYA sana KALENGA .
washughulikiwe hao wahuni.liwalo na liwe
Vipi umeguswa?
Naomba ruhusa kwa mods niwataje kwa majina mmoja jinalake lake linaanza na m....f.........
Taarifa hii ni nzito sana. Vyombo vya dola visidharau hata kidogo. Uzoefu unaonesha kuwa siku chache kabla ya kupiga kura kunajitokeza fujo ambazo zinakuja kuchafua zoezi zima la upigaji kura. Lengo la CHADEMA ni kuwaogopesha wana ccm wasijopitokeze kupiga kura kama vile ilivyojitokeza kule Arusha
Wadau, taarifa nilizozipata kutoka kwa mtonyaji wangu wa CHADEMA jimbo la Kawe kuwa, CHADEMA wanapeleka vijana kufanya vujo Kalenga huku wakivalia mavazi ya ccm. Kwamba Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare alimwagiza Kiongozi wa Red Brigade wa jimbo la Kawe, kuwa aandae vijana ambao watapelekwa Kalenga kuanzisha fujo kama zile za Bunda. Kwamba vijana hao watavalishwa nguo za kijani ili waonekane ni wana ccm na watavamia mikutano ya chadema na ikiwezekana kuwajeruhi baadhiya wananchi. Mtoa taarifa amenidokeza kuwa vijana hao wamewasili jana huko Kalenga na kwa sasa wanaratibu mpango huo kwa kushirikiana na makamanda wao huko Kalenga. Amenidokeza kuwa mpango huo huenda ukatekelezwa weekend hii hasa baada ya kuwasili kwa kiongozi wa kampeni kwenye jimbo hilo, Godbless Lema ambaye kwa sasa yupo Bungeni Dodoma.
Mytake, kwa mwendo huu CHADEMA wanaanzisha siasa ambazo ni kinyume na kauli zao kuwa CHADEMA ni Mpango wa Mungu
Chadema inanuka damu
Huna akili hata kidogo. Jibu tuhuma za chagadema kupeleka wafanya vurugu kalenga, wewe kuijua ccm hakupungzi ugaidi wa chadema..tatu, kama ccm inawatisha wapiga kura wajitokeze wachache, kwanini hao wachache wasiipigie kura chagadema????
mkuu unaonekana kuipenda sana ccm maana umejaa sana humu tehe tehe tehe.!! c....c......m
CHADEMA kwishney. Baada ya siasa za Kistaarabu kuwashinda, sasa wameanza mambo ya Arusha!
Chadema inanuka damu
CHADEMA kwishney. Baada ya siasa za Kistaarabu kuwashinda, sasa wameanza mambo ya Arusha!
Chadema inanuka damu
Mkuu, jeuri hiyo haipo kwa chadema. Ndo maana katibu mkuu wenu Slaa amesepa na kurejea Darccm lazima iangukie pua! magamba chali!