Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
Nakuunga mkono Mkuu. Suala hili likiachwa bila ya kushughulikiwa litaharibu kabisa taswira ya nchi yetuWashughulikiwe hao wahuni.Liwalo na liwe
Mkuu unafahamu uzito na gharama ya tuhuma zako hizi? Chunga sana MkuuWadau, taarifa nilizozipata kutoka kwa mtonyaji wangu wa CHADEMA jimbo la Kawe kuwa, CHADEMA wanapeleka vijana kufanya vujo Kalenga huku wakivalia mavazi ya ccm. Kwamba Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare alimwagiza Kiongozi wa Red Brigade wa jimbo la Kawe, kuwa aandae vijana ambao watapelekwa Kalenga kuanzisha fujo kama zile za Bunda. Kwamba vijana hao watavalishwa nguo za kijani ili waonekane ni wana ccm na watavamia mikutano ya chadema na ikiwezekana kuwajeruhi baadhiya wananchi. Mtoa taarifa amenidokeza kuwa vijana hao wamewasili jana huko Kalenga na kwa sasa wanaratibu mpango huo kwa kushirikiana na makamanda wao huko Kalenga. Amenidokeza kuwa mpango huo huenda ukatekelezwa weekend hii hasa baada ya kuwasili kwa kiongozi wa kampeni kwenye jimbo hilo, Godbless Lema ambaye kwa sasa yupo Bungeni Dodoma.
Mytake, kwa mwendo huu CHADEMA wanaanzisha siasa ambazo ni kinyume na kauli zao kuwa CHADEMA ni Mpango wa Mungu
Wadau, taarifa nilizozipata kutoka kwa mtonyaji wangu wa CHADEMA jimbo la Kawe kuwa, CHADEMA wanapeleka vijana kufanya vujo Kalenga huku wakivalia mavazi ya ccm. Kwamba Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare alimwagiza Kiongozi wa Red Brigade wa jimbo la Kawe, kuwa aandae vijana ambao watapelekwa Kalenga kuanzisha fujo kama zile za Bunda. Kwamba vijana hao watavalishwa nguo za kijani ili waonekane ni wana ccm na watavamia mikutano ya chadema na ikiwezekana kuwajeruhi baadhiya wananchi. Mtoa taarifa amenidokeza kuwa vijana hao wamewasili jana huko Kalenga na kwa sasa wanaratibu mpango huo kwa kushirikiana na makamanda wao huko Kalenga. Amenidokeza kuwa mpango huo huenda ukatekelezwa weekend hii hasa baada ya kuwasili kwa kiongozi wa kampeni kwenye jimbo hilo, Godbless Lema ambaye kwa sasa yupo Bungeni Dodoma.

Mkuu unafahamu uzito na gharama ya tuhuma zako hizi? Chunga sana Mkuu
Mkuu, kwani mtu kama amepata taarifa ambayo ni ya hatari, asitutonye humu JF? Nampongeza sana ndugu yetu Weston Songoro kutuletea hiliNimekuona habari hii umeiandika ukiwa bunge sasa hivi nimekuona umekaa karibu na mh mnyaa....
Jikite kwenye utungaji katiba kwanza.
Mkuu, sidhani kama ni sahihi kusema kuwa taarifa kama hii ni porojo. Pia si vema kutudanganya watanzania kuwa ccm wameelemewa Kalenga. Sote tunajua jinsi hali ya CHADEMA ilivyo mbaya kuleHizi ni porojo za CCM kwani wamezidiwa sana kwenye kampeni.Anayeratibu mpango wa kuvuruga uchaguzi Kalenga ni Mwigulu Nchemba.Na hii ni kwao kuwa wakishindwa itakuwa aibu kubwa.Jamaa wanashindwa kunadi sera zao wanachofanya ni kuporomosha matusi tu.Jambo hili linawafanya wanakalenga washindwe kuelewa CCM wamekwenda kuwafundisha kutukana ama wamekwenda kueleza sera zao zitakazosaidia kutatua kero zao
Nimekuona habari hii umeiandika ukiwa bunge sasa hivi nimekuona umekaa karibu na mh mnyaa....
Jikite kwenye utungaji katiba kwanza.
Wadau, taarifa nilizozipata kutoka kwa mtonyaji wangu wa CHADEMA jimbo la Kawe kuwa, CHADEMA wanapeleka vijana kufanya vujo Kalenga huku wakivalia mavazi ya ccm. Kwamba Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare alimwagiza Kiongozi wa Red Brigade wa jimbo la Kawe, kuwa aandae vijana ambao watapelekwa Kalenga kuanzisha fujo kama zile za Bunda. Kwamba vijana hao watavalishwa nguo za kijani ili waonekane ni wana ccm na watavamia mikutano ya chadema na ikiwezekana kuwajeruhi baadhiya wananchi. Mtoa taarifa amenidokeza kuwa vijana hao wamewasili jana huko Kalenga na kwa sasa wanaratibu mpango huo kwa kushirikiana na makamanda wao huko Kalenga. Amenidokeza kuwa mpango huo huenda ukatekelezwa weekend hii hasa baada ya kuwasili kwa kiongozi wa kampeni kwenye jimbo hilo, Godbless Lema ambaye kwa sasa yupo Bungeni Dodoma.
Mytake, kwa mwendo huu CHADEMA wanaanzisha siasa ambazo ni kinyume na kauli zao kuwa CHADEMA ni Mpango wa Mungu
Wadau, taarifa nilizozipata kutoka kwa mtonyaji wangu wa CHADEMA jimbo la Kawe kuwa, CHADEMA wanapeleka vijana kufanya vujo Kalenga huku wakivalia mavazi ya ccm. Kwamba Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare alimwagiza Kiongozi wa Red Brigade wa jimbo la Kawe, kuwa aandae vijana ambao watapelekwa Kalenga kuanzisha fujo kama zile za Bunda. Kwamba vijana hao watavalishwa nguo za kijani ili waonekane ni wana ccm na watavamia mikutano ya chadema na ikiwezekana kuwajeruhi baadhiya wananchi. Mtoa taarifa amenidokeza kuwa vijana hao wamewasili jana huko Kalenga na kwa sasa wanaratibu mpango huo kwa kushirikiana na makamanda wao huko Kalenga. Amenidokeza kuwa mpango huo huenda ukatekelezwa weekend hii hasa baada ya kuwasili kwa kiongozi wa kampeni kwenye jimbo hilo, Godbless Lema ambaye kwa sasa yupo Bungeni Dodoma.
Wewe jamaa utakuwa mchawi,maana tabia za wachawi ni kama ya kwa wakiwaloga watu wanakuwa wa kwanza kutoa tuhuma. Tafadhali muache mauaji CCM
Mbona Lwakatare Yuko MOI? Kuweni na akili kidogo please
Ligaidi hilo, hata huko Scoan alikokwenda hakutamsaidia lolote.
Biblia inatamka, moja za Amri za Mungu ni "Usimshuhudie mwenzio Uongo".
Mbona Lwakatare Yuko MOI? Kuweni na akili kidogo please
Acha uongo kachukue zako lumumba.
Chadema hakuna cheo kama hicho jimbo la kawe.
Tupambane kwa hoja,sasa mbona mmekuwa wanyonge? Mwenyekiti wenu kasemaaje.
Bora red Redbridge waende kulinda viongoz wetu na wanachama.
Maccm msiwe wanyonge
Itabidi mleta mada uanze kushughulikiwa wewe kwa maana inaonyesha una ushahidi wa kutosha kutusaidia katika hili.
....wachawi utawajuwa tu !!!!