Ukiwa ni mchambuzi au hata mfatiliaji wa siasa utagundua CHADEMA hawana jipya kwa sasa.mission yao iliishia 2010 sasa wamebakia kutapatapa na kuwapumbaza watanzania kwa hoja na matukioa yasio na maana kama tuhuma za kuuwawa kwa Dr. Slaa.
Wengi wa wafuasi wa CHADEMA shule yao ndogo na hata waliooenda shule upeo wao wa kutafakari ni finyu sana wapo kishabiki zaidi ndo maan lolote atakalosema slaa,mbowe au lissu ulichukua kama lilivo bila kuhoji.
CHADEMA inatembelea nyota ya UKAWA kwa sasa hawana jipya wanahitaji hisani ya wananchi kwa kuzusha mambo ambayo hayapo kabisa.
CHADEMA ya Bob Makani na Chacha Wangwe ishakufa iliyopo sasa n CHADEMA ya walafi na wasaka dola kwa mbinu za ovyo ovyo.