The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,549
Duuh hii kali kweli!!
Kwa hiyo wewe kwa andiko lako hili ndiyo ume justify kwamba wewe una akili na ufahamu kuwazidi CHADEMA na sisi wengine wooote humu jukwaani tulio kinyume na kutofautiana na wewe/nanyi siyo??
Mimi sijakupata kabisa kusudi la hoja yako katika bandiko lako, kwamba ni kutetea upande wako au kutukana ambao "unadhani" wamepumbazwa na CHADEMA na kwa hiyo wajinga na uwezo wao wa kufikiri ni mdogo!!??.
Halafu ili iweje sasa? Na tukifanana wote namna ya kufikiri tutakwenda kweli? Mm nafikiri acha wengine tuwe wajinga na nyie werevu, tutafika tu kila mmoja kwa wakati wake ktk hali yoyote. Hata Zito Kabwe naye atafika anakotaka kwenda awe mfu au mzima!!