Association of Cowards in Tanzania
Malizia (ACT)
Association of Cowards in Tanzania
Sina chama chochote mkuu maana hakuna chama chenye lengo thabiti la kuleta mabadiliko kwa mwananchi wa kawaida.
Wanaccm wamechanganyikiwa maana kila wanalofanya kuiua CDM inashindikana, Wasira alijaribu akashindwa, ZZK na wapambe wake ameshindwa, what next.... ni kuchukua dola!CHADEMA tangu kuzaliwa kwake haijawahi kushinda vitongoji,mitaa na vijiji vingi na kuongoza halmashauri nyingi kama walivyoshinda katika uchaguzi uliopita.Ina maana kuwa nalo hilo ni lazamani siyo jipya?.
Muulizeni Wasira kijijini kwake anaongozwa na chama gani?.
Ukiwa ni mchambuzi au hata mfatiliaji wa siasa utagundua CHADEMA hawana jipya kwa sasa.mission yao iliishia 2010 sasa wamebakia kutapatapa na kuwapumbaza watanzania kwa hoja na matukioa yasio na maana kama tuhuma za kuuwawa kwa Dr. Slaa.
Wengi wa wafuasi wa CHADEMA shule yao ndogo na hata waliooenda shule upeo wao wa kutafakari ni finyu sana wapo kishabiki zaidi ndo maan lolote atakalosema slaa,mbowe au lissu ulichukua kama lilivo bila kuhoji.
CHADEMA inatembelea nyota ya UKAWA kwa sasa hawana jipya wanahitaji hisani ya wananchi kwa kuzusha mambo ambayo hayapo kabisa.
CHADEMA ya Bob Makani na Chacha Wangwe ishakufa iliyopo sasa n CHADEMA ya walafi na wasaka dola kwa mbinu za ovyo ovyo.
Sina chama chochote mkuu maana hakuna chama chenye lengo thabiti la kuleta mabadiliko kwa mwananchi wa kawaida.
Muulize Pia Slaa ofisini kwake anaongozwa na chama gani.
Sina chama chochote mkuu maana hakuna chama chenye lengo thabiti la kuleta mabadiliko kwa mwananchi wa kawaida.
Kuna watu wengine wapo kwajili ya kuijaza dunia na kubalance eco system basi
Ukiwa ni mchambuzi au hata mfatiliaji wa siasa utagundua CHADEMA hawana jipya kwa sasa.mission yao iliishia 2010 sasa wamebakia kutapatapa na kuwapumbaza watanzania kwa hoja na matukioa yasio na maana kama tuhuma za kuuwawa kwa Dr. Slaa.
Wengi wa wafuasi wa CHADEMA shule yao ndogo na hata waliooenda shule upeo wao wa kutafakari ni finyu sana wapo kishabiki zaidi ndo maan lolote atakalosema slaa,mbowe au lissu ulichukua kama lilivo bila kuhoji.
CHADEMA inatembelea nyota ya UKAWA kwa sasa hawana jipya wanahitaji hisani ya wananchi kwa kuzusha mambo ambayo hayapo kabisa.
CHADEMA ya Bob Makani na Chacha Wangwe ishakufa iliyopo sasa n CHADEMA ya walafi na wasaka dola kwa mbinu za ovyo ovyo.
Khaa!! Kumbe vyama ni kama ushabiki wa timu za mpira!!!:shocked:

basi ni bora uende jukwaa la MMU ukafundishwe kula kasa, pweza na dawa ya nguvu za kiume!
Ukiwa ni mchambuzi au hata mfatiliaji wa siasa utagundua CHADEMA hawana jipya kwa sasa.mission yao iliishia 2010 sasa wamebakia kutapatapa na kuwapumbaza watanzania kwa hoja na matukioa yasio na maana kama tuhuma za kuuwawa kwa Dr. Slaa.
Wengi wa wafuasi wa CHADEMA shule yao ndogo na hata waliooenda shule upeo wao wa kutafakari ni finyu sana wapo kishabiki zaidi ndo maan lolote atakalosema slaa,mbowe au lissu ulichukua kama lilivo bila kuhoji.
CHADEMA inatembelea nyota ya UKAWA kwa sasa hawana jipya wanahitaji hisani ya wananchi kwa kuzusha mambo ambayo hayapo kabisa.
CHADEMA ya Bob Makani na Chacha Wangwe ishakufa iliyopo sasa n CHADEMA ya walafi na wasaka dola kwa mbinu za ovyo ovyo.[/QUOKTE]
Kuna mawili, ama wewe ni punguani hivyo unahitaji kupuuzwa tu, ama ni miongoni mwa wale mafisadi wanaowaumiza watanganyika. Mtu huru na mwenye akili zake Romaní anajua nini Cdm imefanya. Kipindi cha miaka mitano iliyopita Cdm umekuwa kuliko wakati mwingine wowote. Pole
Wewe ndiyo bure kabisa wakati chuoni mtu ukiwa na uwezo wa kuunda hoja vizuri unaitwa CHADEMA na wale ambao watoa sauti bila hoja huku mishipa ya shingo imekakamaa na povu jingi mdomoni kama wewe wanaitwa chichiem.HATUNA MDA WA KUPOTEZA NA GAMBAZ nendeni vijiji hko kwa wasiojua kusoma wala kuandika watawaelewa vizuri.Ukiwa ni mchambuzi au hata mfatiliaji wa siasa utagundua CHADEMA hawana jipya kwa sasa.mission yao iliishia 2010 sasa wamebakia kutapatapa na kuwapumbaza watanzania kwa hoja na matukioa yasio na maana kama tuhuma za kuuwawa kwa Dr. Slaa.
Wengi wa wafuasi wa CHADEMA shule yao ndogo na hata waliooenda shule upeo wao wa kutafakari ni finyu sana wapo kishabiki zaidi ndo maan lolote atakalosema slaa,mbowe au lissu ulichukua kama lilivo bila kuhoji.
CHADEMA inatembelea nyota ya UKAWA kwa sasa hawana jipya wanahitaji hisani ya wananchi kwa kuzusha mambo ambayo hayapo kabisa.
CHADEMA ya Bob Makani na Chacha Wangwe ishakufa iliyopo sasa n CHADEMA ya walafi na wasaka dola kwa mbinu za ovyo ovyo.
Akili punje siyo kosa lako.Umaarufu wa CDM ulianza kupungua baada ya watu kushtukia kwamba chama kina malengo ya siri..fukuza fukuza isiyo na msingi..ukitofautiana mawazo na wachaga unaonekana msaliti n.k .Sasa na hii mbinu waliyokuja nayo ya kuanzisha mambo ili waemdelee kutajwa na media ndio inawamaliza kabisa