CHADEMA, wananchi wamewachoka mtashindwa zaidi 2020. Hamna sera shawishi

Damu ya yule binti ni laana kwa chadema kuvunja sheria na kuandamana kwenda ofisi ya mkurugenzi bila kibali swali? Je msingeandama kihuni namnaila mkaacha viongozi tu ndo wakaenda kungetokea vurugu kama zile LA kusababisha kifo mnalazimisha kupendwa wakati mmeshakataliwa na wananchi kila pembe.
Mkurugenzi angetoa form mapema nani angeandamana. Polisi walitumia risas za nini? Kuwa ccm lazma uikane kwanza akili yako ujivike ujinga
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
NEC = CCM
Police = CCM
Msajili = CCM
Wasimamizi/Wakurugenzi = CCM

Hapo Mpinzani anapitia wapi kupata ushindi kwa mfano??
 
Kama Hakuna Hata Tairi la Gari Lililochomwa Leo hii unasema Mbowe amesababisha Kifo?

Hivi mnayajua Maandamano kweli
Mimi ningekuwa na mamlaka, viongozi wazembe kama MBOWE wanaovunja sheria kiholela wangekamatwa palepale kwenye maandamano na kulambwa viboko 25 kwa kutumia HENZIRANI za mianzi.

Hawa ni wa kuwatia adabu mubashara.
 
Tatizo lako Umezibwa macho huoni... Angekuwa amepigwa Risasi mama Yako au Dada Yako usingeongea Haya .... No one Rules Forever.. mugabe kaachia Nchi na Ubabe Wake

Kuna Watu wanaomboleza Sasa Hivi wewe unashangilia Ushindi
Matukio yamebuma; watanzania hawayaki ujinga, wamechagua siaiemu.
1. Walitaka tumia tukio la yule binti, R.I.P, ila waTz wamekataa kununua hiyo cd,

2. Mwalimu kajikamatisha, hadi aibu, yaani kamnda anasema mwalimu hana hatia ila bado anajikamatisha kupata huruma ya wamanchi, wananchi wamechinja.
Kwa kweli chadema hii ife uzaliwe upinzani wa kweli.
 
Mimi ningekuwa na mamlaka, viongozi wazembe kama MBOWE wanaovunja sheria kiholela wangekamatwa palepale kwenye maandamano na kulambwa viboko 25 kwa kutumia HENZIRANI za mianzi.

Hawa ni wa kuwatia adabu mubashara.
Ungefanya hivyo Ingekuwa Afadhali Ungeonekana Una Demokrasia... Ila polisi wao wamefyatua Risasi kabisa
 
Humu ndani Fanye siasa zenu lkni acheni kulitumia jina la huyu dada vbaya..ameshafariki.lijitu linasema mbowe=aquilina kila.huo ni upuuzi ..the lady is dead.show some respect
 
Watu elf 17 wa jf wanafarijiana basi wanadhani wako wengi, kumbe wengi ndio wamekaa kimya.
 
Kwa mara nyingine chadema ya Dj chaaaaaaliiiiiiii, kifo cha mende.
Sipati picha kipigo cha 2020 kitakuwaje.
 
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47

CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni

CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Sera hiyo unaitangazia wapi Ikiwa Magufuli anazuwia mikutano wakati ni Haki ya kikatiba
 
Mkurugenzi angetoa form mapema nani angeandamana. Polisi walitumia risas za nini? Kuwa ccm lazma uikane kwanza akili yako ujivike ujinga
Mkurugenzi hutoa form za viapo na kuwapa viongozi ngazi ya wilaya ,na ngazi ya wilaya ndo huvishusha kwa mawakala wa chini cha ajabu viongozi wa chini wakapiga kimya hawakuwapa ,kamati kuu ndo ikaandamana kwa mkurugenzi kWa kushawishi wananchi kuandamana .hivi angeenda katibu na mwenyekiti Haifa siingetosha , maandamo yenu hayajawi kuacha damu ya MTU kumwagika kuanzia arusha ,morogoro ,mwanza n.k but sheria IPO mjue hakuna msalie mtume kwa wahuni.
 
Back
Top Bottom