Chadema Wanalipwa posho ya 30,000 Igunga!

Feedback,
mimi nyumbani mbona mbwa wangu watatu wote napiga mswaki kila siku.
Hizi hoja wewe lazima uzione hazina mashiko sababu CDM wameishakupa upofu ujitambui tena, akili imefunikwa na blanket jeusi umekuwa mateka wa Mbowe!
Lakini raia wa Tanzania wapenda amani na haki hizi hoja zina mashiko

Aah Ritz mbona hili neno unalipenda sana 'Mateka wa Mbowe' inawezekana unamwogopa sa kamanda mkuu? ccm ina matatizo mengi sana hebu katoe ushauri na huko basi' mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe!

Nape tunahukuru kwa tread yako kujidai unawonea huruma makamanda wetu walio vitani lakini ujue huna pa kuponea Igunga, watakuchakazeni bila huruma

Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya hovyo kutoka kwa Ndugu Komu wa CDM hq kuwa kwa sasa kama mtu hana wito na CDM basi asishiriki kampeni hizo!
My take: Posho ya Tsh 30,000 haitoshi na inawapa wakati mgumu maafisa hawa ambao wana umhimu wa kuratibu kampeni! Kuna umhimu wa Katibu mkuu wa CDM kuingilia kati suala hili na kuipandisha posho hata kufikia 50,000 kwa kuzingatia kupanda kwa gharama za maisha!
Kumbe siku hizi ni nyingi kiasi hicho, maana najua wakati ule kabla ya uchaguzi mkuu psho ilikuwa 15000 na makamanda walipiga mzigo kwa moyo mmoja hadi ccm ikaweweseka Busanda ilishindwa Tarime na B'mulo ikalazimisha kwa wizi itakuwaje kama posho imekuwa mara mbili, ccm mnalwo

Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya hovyo kutoka kwa Ndugu Komu wa CDM hq kuwa kwa sasa kama mtu hana wito na CDM basi asishiriki kampeni hizo!
My take: Posho ya Tsh 30,000 haitoshi na inawapa wakati mgumu maafisa hawa ambao wana umhimu wa kuratibu kampeni! Kuna umhimu wa Katibu mkuu wa CDM kuingilia kati suala hili na kuipandisha posho hata kufikia 50,000 kwa kuzingatia kupanda kwa gharama za maisha!

ukombozi wowote ule lazima kuwe na milima na mabonde. makamanda vumilieni tu na hizo buku 30 tusijifananishe na magamba wao wana hela za kifisadi wamezikusanya kwa wahindi wao. where there is sweat there is sweet. hizo ndo gharama za kukomboa watanganyika. tukumbuke nyerere kuna wakati alitembea kwa miguu ili kuleta uhuru.

Jamani hawa walioleta hii thread ni magamba na wanataka kupandisha hasira za wanachadema ili wabadili mwelekeo.
Chadema tuko imara katika kukijenga chama.
30000 inatutosha kabisa huku igunga. Na tunawatahadharisha ccm kuwa wasithubutu kutoa ushawishi wa aina yeyote ule tutawaumbua kwani tuna camera, vinasa sauti, na teknolojia kali katika mikakati yao haramu.

Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya hovyo kutoka kwa Ndugu Komu wa CDM hq kuwa kwa sasa kama mtu hana wito na CDM basi asishiriki kampeni hizo!
My take: Posho ya Tsh 30,000 haitoshi na inawapa wakati mgumu maafisa hawa ambao wana umhimu wa kuratibu kampeni! Kuna umhimu wa Katibu mkuu wa CDM kuingilia kati suala hili na kuipandisha posho hata kufikia 50,000 kwa kuzingatia kupanda kwa gharama za maisha!

kama ni kweli, KOMU hafai kuwa kiongozi. CDM sio taasisi ya dini useme watu wanajitolea kwa ajili ya Mungu, kura na ubunge vyote vinaiingizia CDM pesa, kuna hatari gani ukitumia pesa, ukaingiza pesa baadae

Thibitisha kwani kama sio wito wasingepigania kuondoa posho huku magamba wakipigania posho iongezwe

wabunge wote wa chadema wanalamba posho isipokuwa zitto hata na mwenyekiti naye anatia kibindoni kwa mujibu ya ofisi ya Bunge.

Mhh, yasije kuwa yaleeeee... 30000 per day haiwezi tosha lakini mwangalie fedga mnazo, si mwaweza share vyumba ili muweze kusurvive mkilinde chama.

15,000 Malazi and breakfast, 3,000 Lunch na 5000 dinner inakuwa 23,000 anabakiwa na 7000 ya vocha na mambo mengine madogo. Akitaka kununua nguo, viatu, au kitu kingine tofauti anatumia mshahara wake. Hiyo hela wanayopewa huko should not give him or her material benefit or material loss. Magamba wanatumia posho kama rushwa na ndio maana watu wanapata material benefit kwenye hela ya posho ambayo inakuwa kubwa kuliko mahitaji halisi.

Mkuu John Marwa hivi ushawasiliana na HQ kuhusu hili suala na walikupa jibu gani? hata hivyo nadhani kuna haja ya kufahamu bajeti na jee waliokwenda huko waliridhia hiyo bajeti au walilazimishwa? Mwisho wa siku mfahamu uwezo wa hicho mnachokidai na kama CDM wana uwezo wa kuwalipa..

Wanaokitafutia chama ushindi wananyonywa!

Wakubwa zao wanatumbua tu ruzuku kwa raha zao!

Hiyo ndiyo Chadema..chama cha wenyenazo! Maskini hamna chenu.

na nyie mnaotumia mtaji wa maskini wa kutupwa kunufaisha wezi wa mali zetu!

Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya hovyo kutoka kwa Ndugu Komu wa CDM hq kuwa kwa sasa kama mtu hana wito na CDM basi asishiriki kampeni hizo!
My take: Posho ya Tsh 30,000 haitoshi na inawapa wakati mgumu maafisa hawa ambao wana umhimu wa kuratibu kampeni! Kuna umhimu wa Katibu mkuu wa CDM kuingilia kati suala hili na kuipandisha posho hata kufikia 50,000 kwa kuzingatia kupanda kwa gharama za maisha!
Hapa umeleta hii takataka ya nini?
Wewe ni CCM unataka kuchafua hali ya hewa Igunga huwezi tumekutambua. Ondoa uchafu wako humu JF

Kwa mtazamo wangu waliopanga elfu 30 nadhani walifikiria mengi na sidhani kama walikrupuka tuu!
Jamani tuutangulize uzalendo mbele
By the way Magamba wanatoa ngapi?maana hao wanaodai iyo ya CDM ndogo usikute wameshafuatwa na Magamba kwa dau kubwa!

Kama hii no hoja ya kujadiliwa kiasi hiki then it is obvious taifa limepoteza mwelekeo.

Back
Top Bottom