CHADEMA wanakaribia kukamata Dola-Balozi Lusinde

CHADEMA wanakaribia kukamata Dola-Balozi Lusinde

huyu Mzee Balozi Mstaafu ni mtu muhimu sana ndani ya ccm ni trustee wa chama, ni mtu mwenye sauti. Lusinde huyu hana undugu na Lusinde wa matusi aka Kibajaji cha mchina. Lusinde alioona nimehama ccm kwenda CDM aliduwaa sana nadhani sasa ameanzxa kuona kwamba uamuzi wangu ulikuwa sahihi kuja CDM.
Mnaosema chadema ina udini na ukasikazini mna udhaifu mkubwa sana mimi ni wa Dodoma ni CHADEMA, wapo waislam kibao ni CDM wapo wapagani CDM unataka udini na ukabila ili iweje? DHAIFU SIKU ZOTE NI DHAIFU

mimi ni Mnyakyusa
 
Huyu ana uhusiano gani na huyu jamaa (Kilaza)?

images
Kudadadaadaadadeki ni mtoto wa house boy wa Mzee lusinde,
so amekuwa kwenye familia hiyo baada ya "house boy" huyo kufariki ikabidi Mzee Lusinde amtunze,
jamaa shule ikamshinda darasa la saba tu!
 
CCM wapingacho ndicho wafanyacho
1. Mawaziri wakuu wa CCM (Mara) - J.k. Nyerere - Kaskazini;
2. Joseph Sinde Warioba (Mara) - Kaskazini;
3. Cleopa Msuya - Kaskazini;
4. Edward Moringe Sokoine (Arusha) - Kaskazini;
5. Fredrick Sumaye (Arusha) - Kaskazini;
6. Edward Lowasa (Arusha) - Kaskazini.


Mara sio kanda ya kaskazin kaka!
 
CCM wapingacho ndicho wafanyacho
1. Mawaziri wakuu wa CCM (Mara) - J.k. Nyerere - Kaskazini;
2. Joseph Sinde Warioba (Mara) - Kaskazini;
3. Cleopa Msuya - Kaskazini;
4. Edward Moringe Sokoine (Arusha) - Kaskazini;
5. Fredrick Sumaye (Arusha) - Kaskazini;
6. Edward Lowasa (Arusha) - Kaskazini.

Hapo magamba umewamaliza cheze JF Full GT
 
Ila hapo kwenye uhasama amekwepa mbuyu mtu mzima....mfano aloutoa ni wa kiwango cha chini saaanaaa na hii ndo dhambi kubwa wanayofanya wazee wetu hawa...kushindwa kuita koleo kwa jina la koleo......hao waliotishiana bastola ni nani katika siasa na mustakabali wa nchi hii?????

Unapokuwa na information from a political guru halafu unaona gaps kwenye lines zake inatia mashaka sana.......hide and seek is still a big challenge kwa utamaduni wa siasa za nchi hii
 
Ujumbe mahususi kwa mtoto wake livingstone lusine. Mdogo wa job lusinde ni samwel malecela naye naona siku hizi yuko kimya.
 
Cdm muache udini na ukaskazini

Huo udini mnaueneza nyinyi CCM na mwenyekiti wenu taifa. Nashangaa mnakosa hoja zenye nguvu hadi mnaongelea swala la udini na ukabila ndani ya CDM jambo ambalo limekua likiwatafuna nyinyi kwa muda mrefu sasa.
 
Kudadadaadaadadeki ni mtoto wa house boy wa Mzee lusinde,
so amekuwa kwenye familia hiyo baada ya "house boy" huyo kufariki ikabidi Mzee Lusinde amtunze,
jamaa shule ikamshinda darasa la saba tu!
POMPO kwa nini hujatueleza haya siku zote mkuu? Kwa taarifa hii tungekuwa tuna majibu mengi kuliko maswali.
Livingstone na tabia zake kuwa mtoto wa Balozi jambo hilo limetesa sana akili yangu. Namfahamu yule mzee na jinsi alivyo na tabia za kiungwana nikajiuliza kapatwa na nini kuwa na toto lenye tabia kama zile kisha ananyamaza? Pia kwa nini Mtu anayetambua umuhimu wa Elimu kama yeye aache kijana wake aishie darasa la nne sijui?
Walau sasa nimeelewa na sitashangaa kwa lolote atakalofanya ila nitaendelea kuwa shangaa waliomchagua ubunge na NEC
 
Sitta alishasema kwamba hakuna timu ya kuongoza hii nchi, hebu tazameni hiyo timu yenu ya vivuli ndio mtafahamu nini tunasema. Labda mkishika nchi hao vingozi wenu watatu washike wizara zote.
 
Nguli wa siasa nchini na kada mashuhuri wa CCM Balozi Job Lusinde amevunja ukimya na kusema kuna kila dalili kwamba CDM inakaribia kuchaguliwa na wananchi kuongoza dola ya Tanzania.

Mkongwe huyo wa siasa amesema CDM imejipanga vyema na ina uongozi madhubuti unaopanga vyema harakati zake za kisiasa nchini.Balozi Lusinde amesema amekuwa akifurahishwa jinsi CDM inavyotangaza sera zake kwa wananchi kwa kutumia maandamano na mikutano ya hadhara.Amesema CCM inapaswa kukubali kwamba lolote linaweza kutokea katika uchaguzi mkuu wa 2015.

Kuhusu chama chake cha CCM Balozi huyo ameeleza kusikitishwa na hali ya uhasama ilivyofikia ndani ya chama hicho kufikia wanachama kutaka kuuana kwa bastola kwa uroho wa madaraka akirejea tukio lililotokea hivi karibuni huko Nzega kati ya Hamis Kigwangala na Hussein Bashe.Amesema kiuhalisia sasa CCM imekosa mwelekeo.

Source:Tanzania Daima Uk 6

Sitta na timu yake ya wabunge 50 hawana choice zaidi ya kuungana na CDM!! Sasa na huyu balozi si ahamie tu CDM kwani kimawzo yuko CDM na kimwili bado CCM? Ila ili tamko lake linaonesha akienda kwenye kisanduku cha kura ni CDM!!!
 
Huyu mzee kashachoka hana analolijua hata alichosema haelewi na hili gazeti la tanzania daima litafungiwa soon kwa uchochezi wa kijingajinga kuwatetea mmiliki wake Dj na wajinga wenzie
 
Huyu mzee kashachoka hana analolijua hata alichosema haelewi na hili gazeti la tanzania daima litafungiwa soon kwa uchochezi wa kijingajinga kuwatetea mmiliki wake Dj na wajinga wenzie

A stupid thinking capacity
 
Tegemea kusikia haya....Amezeeka ana upeo wa kufikiri tena...........
 
Hii imekaa vizuri sana, sasa kasikazini ya CDM ni ipi? CCM bwana, ngoja wajubu.....................

CCM wapingacho ndicho wafanyacho
1. Mawaziri wakuu wa CCM (Mara) - J.k. Nyerere - Kaskazini;
2. Joseph Sinde Warioba (Mara) - Kaskazini;
3. Cleopa Msuya - Kaskazini;
4. Edward Moringe Sokoine (Arusha) - Kaskazini;
5. Fredrick Sumaye (Arusha) - Kaskazini;
6. Edward Lowasa (Arusha) - Kaskazini.

 
ccm wapingacho ndicho wafanyacho
1. Mawaziri wakuu wa ccm (mara) - j.k. Nyerere - kaskazini;
2. Joseph sinde warioba (mara) - kaskazini;
3. Cleopa msuya - kaskazini;
4. Edward moringe sokoine (arusha) - kaskazini;
5. Fredrick sumaye (arusha) - kaskazini;
6. Edward lowasa (arusha) - kaskazini.


ccm ni mfu.....wanasubiri kuzikwa tu hawana lolote tena...walisha tugombanisha vya kutosha toka enzi zile huku wao kila siku wakitorosha mihela nje na huku kukiwa na usalama wa taifa ambao ni uhasama na watz
 
Ni nani aliewalogeni enyi wagalatia wajinga?
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Ni bora kuishi kwenye pembe ya dari kuliko kuishabikia CCM.
 
Back
Top Bottom