Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,239
sasa watu wengi sana hapa kwetu Tanzania simu zao zina miito (Caller tunes) ya nyimbo za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ninavyofahamu mimi miito hiyo hukatwa gharama za kuitumia na makampuni ya simu husika.
Labda tusema kuna watu milioni moja wanatumia miito ya nyimbo za CHADEMA. kwa kukatwa shilingi 350 kwa kila mwezi. Makampuni hayo ya simu yatakuwa yanaingiza shilingi milioni 350 kwa mwezi. CHADEMA wana mgao katika mapato hayo au hawana hati miliki ya nyimbo zake??