Chadema wamnunua pinda

chadema wamesababisha posho za walimu wapya zichelewe kufika kwenye halmashauri chadema bwana!!
 
aaah!! chademaaaaaaaaaaa, chadema!!!! usifanye hivyo chadema!!
kama vipi nawe jiandike kama Baloteli - WHY ALWAYS ME?
 
Na nimesikia sasa hivi (kutoka reliable person ndani ya chama) kuwa chadema wanaandaa mgomo wa wenye maduka ya madawa wafunge maduka. Eti kwa nini madaktari hawaendi kazini kuwaaandikia wagonjwa waende kununua dawa kwenye maduka yao (FAMASI)...lol

wasije wakafunga maduka ya vyakula.i.c.u itakuwa i.c.u2 na morchwary itapata raha!
 
Hata ile ajali ya korogwe ya makamu wa Rais inasemekana ni chadema hao wamesababisha.
 
Chadema huwawezi, ndiyo waliokataza serikali kuhamia dodoma na kupendekeza izidi kuwekeza Magogoni na kushauri lijengwe jengo jipya pale Ikulu, Chadema kweli hatuwawezi, hata KULALA wameamua HAKUNA MPAKA KIELEWEKE, haki ya mungu nauza kitanda ili hata kikija kueleweka mimi niendelee kukesha tuone nani mjanja.
 
CHADEMA watu wabaya sana..wamemshinikiza pinda awatishe madaktari na kupiga marufuku mikutano yao ktk ukumbi ambao walikuwa wameshaulipia


Ushahidi ni muhimu sana wakati tunaposti na kujadili mambo humu JF. Posti ya tindikalikali licha ya kukosa ushahidi ni fupi mno kwa mtu mwingine ambaye hakuwa kwenye tukio kuelewa. Kama kweli CHADEMA ndio waliomshawishi Mh. Pinda kusema alichokisema naye akakisema basi nchi hii inaongozwa na CHADEMA
 
Kwa hiyo serikali yako ya kizuzu na legelege na dhaifu inaongozwa na Chadema,mana kila kitu Chadema,basi Chadema wanaongoza nchi au nchi haitawaliki kwa wizi wa kura mlioufanya nyie majambazi CCM! Siku zenu zinahesabika nyie mafilauni.
 
Chadema noma, mpaka PC yangu imezima hapa kwenye screen inaandika People's Power. CHADEMA Nomaaaaaaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom