CHADEMA wamlipua Kikwete Bungeni

Mlitaka alete bungeni bila kusaini hoja yake? Mnanshangaza!

Kumbe Kweeli Bunge ni rubber stamp tu???!!!
Shame on you and the Government of Magamba!!!
Shame upon anybody marginalizing the poor Tanzanians at the expense of stupid rulers!
Now Tanzanians we are getting marginalized! what do we do?! Do we need the MPs anyway ?If  this is the practice!!
Shaaammmmmmeeeeeeeeeeee!!!

Haya kamanda wa ccm nape hongera kwa kuleta watu wako na kuwalipa kwa kureply post tu. Maana hawana hata chembe ya kufikiri. Sijui faiza foxy, genius brain, wildcard na wengineo

Ni kiongozi wa kwanza kwa taifa hili aliyeongoza kwa kuvunja sheria, kuwagawa wananchi kwa misingi ya kidini kusema uongo kutofanya chochote kwa aliyoahidi.

nikiona avatar ya foxy napata kichefuchefu!!

Tugekuwa tunatumia majina na picha halisi nafikiri watu wasingekuwa wanapost vitu vya kuletea watu kichefuchefu kama huyu foxy.
Natamani kumfahamu nione kama zinamtosha au !!!!!!!!!!!!!!!!!!?

Nchi hii kwa mipango tu tuko juu sana, sasa tunakwendaje na haya yoote maana tuna MKURABITA, MPAMITA, MKUKUTA, haya sasa hilo tena sijui plan hii itapewa jina gani, jamani hii mi framework yooote hiii itatufikisha wapi?

Mlitaka alete bungeni bila kusaini hoja yake? Mnanshangaza!
we ni Faiza au Fisi? acha kutumia makamasi na mkia kufikiri. tumia bongo yako na sio tumbo lako au we ni mmojawapo wa vile vitabu vya 'ingwine ingwine' hutaki kuumiza kichwa kufikiri?

we ni Foxy au Fisi? acha kutumia makamasi kufikiri tumia bongo yako, au wewe ni mmojawapo wa wasomaji wa ingwine ingwine? hutaki kuumiza kichwa kufikiri?badala yake unatumia utumbo mpana na makamasi kufikiri?acha upambe sio unapelekwa tu unakwenda kama ling'ombe, weka makamasi pembeni leta hoja za msingi. uzalendo kwanza

we ni Foxy au Fisi? acha kutumia makamasi kufikiri tumia bongo yako, au wewe ni mmojawapo wa wasomaji wa ingwine ingwine? hutaki kuumiza kichwa kufikiri?badala yake unatumia utumbo mpana na makamasi kufikiri?acha upambe sio unapelekwa tu unakwenda kama ling'ombe, weka makamasi pembeni leta hoja za msingi. uzalendo kwanza​

Back
Top Bottom