You sound like UVCCM-Sadif ant youbavicha wa ajabu sana zito alishasema hawataweza kumuathiri zito bila kuiathiri chadema pia.
kwani Zitto kaondoka lini Chadema na lini kaacha kuwa Naibu wa Katibu Mkuu Dr Slaa hueleweki wewe so long Zitto yuko Chadema na ni Msaidizi wa Katibu Mkuu ni sehemu ya chademasi kweli sera za Zitto na Cdm ni vitu viwili tofauti kabisa, Zitto anasimamia haki ya msingi ya Mtanzania wakati Cdm wakiongozwa na Dr Slaa wanaongozwa na lugha nyepesinyepesi za ulaghai na za kinafki kinoma.
ha ha hizi ndio sera zinazowater down hoja ya Zitto hata ingekuwa nzuri namna gani ni kwa vile yupo hapa kwa ID zake mia moja alizonazo Kumnanga Dr Slaa that's why public inamuona anaendeleza personal vendetta zake anadhani atamshusha kweli boss wake kichama lets waitni milioni 500 sio miamoja.
Mkuu kama kuna mtu anatafutwa na kweli anafuja pesa au hafuati taratibu ubaya uko
wapi??????
Usipotimiza wajibu wako kuna mawili,upewe onyo kwa mdomo, barua au yote kwa pamoja. Mkosaji hachagui jinsiyakuwajibishwa
Kwa kweli Babu Kinana ndio Kwanza anawasindikiza alshabaab wasije wakaleta makubwa huku Zitto kachachamaa duhbabu alishikwa na butwaa aliposikia kijana mwenye hoja na kipenzi cha vijana akidai vyama vya siasa havijakaguliwa. babu noma alianza kupika data ila hazijakubali kwa kuwa anaongoza kutumia pesa za ruzuku vibaya.
Zitto ni mnafki. Period.
Yeye ni sehemu ya uongozi Chadema licha ya kwamba anaongea kwa niaba ya kamati ya PAC lakini ana uwezo wa kuwasiliana na viongozi wenzake internal. Huyu jamaa bichwa lilishamvimbaga kwa kutafuta sifa za kijinga ila kwa hili amejikaanga mwenyewe na kila mwenye akili timamu sasa anafahamu fika Zitto ameamuwa kupigana vita ya makundi ndani ya Chadema kwa kuitumia kamati ya PAC.
Vita hii haiwezi kwani atakuwa defeated tu, anajaribu kudivert akili za wajinga kutoka kwenye hoja kuu ya katiba mpya.
Nb: Eti kamati yenyewe ya PAC makamu mwenyekiti ni Aden Rage Al shabaab mwizi aliyewahi kufungwa jela kwa wizi wa pesa za FAT.
Nimeshangaa sana huyu kwanza akakamilishe ukaguzi wa hesabu za Simba pale Msimbazi na akabidhi pesa za Okwi.
Nijifanyte kumjua ili iweje, FYI sihitaji hata kufahamiana naye, yeye ni public figure and so his profile can easily be found.
I have to admit my bad, I meant Masters! I wonder how did I do that...Ni mazoea pia ya kuandika in shorts! I understand ni Masters in Economics, nilipitiwa hapo mkuu. I also extend this to ZZK pia...I am sorry..
It has to read as you corrected!
Kweli CDM inanipa raha sana yani nyie ndo makamanda mnaotegemwa,poor Tanzania.Ninaamini kamati kuu ya Chadema ina watu makini, siku jina la Zitto likifikishwa mezani kwaajili ya uenyekiti, naamini kwa moyo wangu wote, yule atakae lileta itabidi ale mikwaju kwanza kabla ya kumpiga chini huyu mwehu mwenyewe,
Kweli CDM inanipa raha sana yani nyie ndo makamanda mnaotegemwa,poor Tanzania.
Kosa la Zito ni kutaka vyama vikaguliwe?Unajua nyie misukule mnachukulia hili swala ni la Zito? hayo ni maamuzi ya kamati na ndani ya kamati wapo wabunge wa vyama tofauti. pia kwanini mtumie muda mwingi kumtukana kiongozi wenu hii inaonyesha wazi kambi mlizozijenga ndani ya CDM,kama KOMU anayo barua ya kutoka kwa msajili mmekua audited povu la nini? kweli naanza kuamini maneno ya B7.
hapo ndio tunaposema Mr Chauma kwamba Mada ya Zitto ilikuwa nzuri sana na angesaidia nchi na kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za umma kama yanafanywa na vyama lakini kwa sababu watu kama nyie best friends wa zitto munakuja hapa jamvini with globalized allegations against chadema inaonekana ndio lengo la Zitto kuspin mada nzima na kuelekeza vita kati yake na Chadema , Kwani ni Komu tu alirespond maneno ya mwenyekiti Ruhumbiza katibu wako mkuu wa zamani alijibu Nape alijibu sasa kwa nini kujibu kwa KOMU kuwe ndio mada, Zitto hatoki hapa mpango wake wa kuchafua chama chake siku zotte umejitokeza wazi zinapokuja mada za kitaifa inazungumziwa billion 9 ya chadema tu lakini bilioni 41 ya vyama vingine imefukiwa kwa nini wananchi wasifikirie zitto anaajenda aliyotumwa na mabwana zake atashindwa kwa vile pepo lake chafuKweli CDM inanipa raha sana yani nyie ndo makamanda mnaotegemwa,poor Tanzania.
Kosa la Zito ni kutaka vyama vikaguliwe?Unajua nyie misukule mnachukulia hili swala ni la Zito? hayo ni maamuzi ya kamati na ndani ya kamati wapo wabunge wa vyama tofauti. pia kwanini mtumie muda mwingi kumtukana kiongozi wenu hii inaonyesha wazi kambi mlizozijenga ndani ya CDM,kama KOMU anayo barua ya kutoka kwa msajili mmekua audited povu la nini? kweli naanza kuamini maneno ya B7.
Zitto alisema anayo mamlaka kama mwenyekiti wa kamati hiyo kuwafunga jela wote wanaoendeleza malumbano hayo ilhali agizo lilishatolewa, na kusema kuwa hilo ni onyo kwa CHADEMA na CCM, aliodai ni vinara wa malumbano
AMEKUWA MAHAKAMA?
TANGU LINI KAMATAIIKAWA NA UWEZO WA KUFUNGA WATU JELA?
AMEVUKA MIPAKA
HUWA SIMWAMINI ZITO ANATAFUTA PA KUTOKEA KISIASA
acha kuaminisha watu ndivyo sivyo.Ningeshangaa usingetokea kwenye huu uzi kwani bila yeye usingekuwa na nafasi uliyo nayo huko ulikokimbilia?
si kweli sera za Zitto na Cdm ni vitu viwili tofauti kabisa, Zitto anasimamia haki ya msingi ya Mtanzania wakati Cdm wakiongozwa na Dr Slaa wanaongozwa na lugha nyepesinyepesi za ulaghai na za kinafki kinoma.