Zitto mwenyewe mgonga dili kama wenzake tu kwenye vyama jamani aturudishie lori letu alotumia kumwaga makokoto kwenye barabara ya mwandiga ambayo sasa inawekwa viraka kwa kushika tenda mbovu kabisa aliyojineemesha
Bavicha sounds.Ninaamini kamati kuu ya Chadema ina watu makini, siku jina la Zitto likifikishwa mezani kwaajili ya uenyekiti, naamini kwa moyo wangu wote, yule atakae lileta itabidi ale mikwaju kwanza kabla ya kumpiga chini huyu mwehu mwenyewe,
Facts should be kept at a public disposal son,it is not for Zitto to know,it is for the public to get rid of the suspi cion at this particular moment and for the party to comply!!!!!!
Kamati ndio inataka mkuu sio ZZK jamani kwa nini analaumiwa yeye binafsi,vipi kama aliwaambia kamati kuwa cdm imekaguliwa na kamati ikasema wana mashaka na ukaguzi hivyo zoezi lirudiwe kwa vyama husika sasa hapo yeye asemaje?????!!!
Hivi kama wewe ni mfanyabiashara na TRA wanadai haukupeleka estimates za kodi kwa mwaka huo,nini unafanya???!!! Si unaambatanisha barua,makadirio na barua waliyokuandikia inayotamka makadirio kutka kwao,au unaitisha mkutano na wanahabari?????!!!!!
Au point yako ni kuwa alitakiwa awatonye kuwa kamati itakisanua,au alitakiwa afanyaje sasa????!!!
Mkuu Chamviga, kwanza napenda kujiweka wazi kuwa sina chuki na Mh. Zito, ila mtu alieamua kuwa mwanachama lazima awe na mitazamo inayofanana na wanachama wenzake na anapokuwa tofauti na wenzake ni lazima atiliwe shaka na watu kuwa makini na kila jambo alifanyalo na sio kuamini kiraisi kila analolisema.
N upande mwingi Mkuu Chamvinga nadhani uwezo wako wa kutambua jamboi kwa haraka ni mdogo na huwa unaongozwa na matukio. Na naomba nikuulize swali moja Je unajua majina ya watu walioficha pesa Uswiss ambao Mh. Zito aliaidi kuwataja?
Tangu Zitto atake hesabu za Chadema zikaguliwe, chama chake kimemjengea uadui wa ghafla. Kwani hesabu kukaguliwa kuna ubaya gani? mnaficha nini kwenye hivyo vitabu?
bavicha wa ajabu sana zito alishasema hawataweza kumuathiri zito bila kuiathiri chadema pia.Bavicha sounds.
Kama hii taarifa ya Bw. Anthony Komu ni sahihi basi Zitto Kabwe atakuwa ana matatizo makubwa sana kwenye ubongo wake. Kwamba haelewei haya ndani ya chama chake hadi kukiingiza kwenye kapu la kutaka kikatiwe ruzuku? Vipi kwa NCCR Mageuzi ambao nao taarifa za ukaguzi wake zinaonekana kufika kwa CAG na msajili wa vyama? Right, inawezekana analenga kile anachokiita maslahi ya taifa lakini hata kutaka kujiridhisha kwa taarifa anashindwa?
ehe inauma eeh kasha jishitaki mwenyewe humuoni alivyo mwehu hajui anafanya nini wmana saccos yule atulidishie lori letu la fedha alizojineemesha toka halmashauri kumwaga mikokoto nusunusuSi ukamshtaki kama unaushahidi mbona kunleta mipovu huku?.
Hivi kwanini tunajifanya tunachukizwa na ubadhirifu wa hela za umma, vitu kufanyika bila ya kuheshimu sheria. Wakati wachache wanaojitokeza na kujaribu hata kuona watu wanaheshimu taratibu tunawaita watafuta sifa Zitto sifa, Mwakyembe nae sifa, Magufuli sifa.
Pengine alishajua CAG akagui huko wala hana muda hii ndio namna moja ya kumuwajibisha na yeye vilevile kama muhusika let people do their work tumejizoesha sana viongozi wanaopiga longolongo wale wanaotaka atleast taratibu ziwe zina heshimika ndio tunataka kuwapa label, hili taifa vipi.
Kosa lake liko wapi ripoti zenyewe amna kama taratibu zinavyotaka sasa wazembe ni wengi hapa vyama vya siasa, CAG na msajili. Hayo wanayo taka kuweweseka nayo sasa ni ya baadae tunajuaje labda matumizi ya vyama vyote yako sawa kimahesabu na kisheria. Mbona mnaitimisha kama vile ameshajua kuwa kuna walakini kwenye ripoti wakati ndio kwanza anaziomba na kuna uzembe wahusika wamelala. Mtu kufanya kazi anatafuta sifa tutafika kweli.
Kiongozi hilo nalo neno. Zitto kiongozi wa ngazi ya juu sana ndani ya CDM lakini inanishangaza kuona kama hajui hata hesabu za chama chake kama zimeshakaguliwa. Huo ni unafiki wa hali ya juu sana.
ehe inauma eeh kasha jishitaki mwenyewe humuoni alivyo mwehu hajui anafanya nini wmana saccos yule atulidishie lori letu la fedha alizojineemesha toka halmashauri kumwaga mikokoto nusunusu
babu alishikwa na butwaa aliposikia kijana mwenye hoja na kipenzi cha vijana akidai vyama vya siasa havijakaguliwa. babu noma alianza kupika data ila hazijakubali kwa kuwa anaongoza kutumia pesa za ruzuku vibaya.ni aibu sana kwa mtu mzima kujifanya mwehu,dr slaa katoa tamko wapi la kuchukizwa na suala la ukaguzi ambalo kimsingi lipo kisheria? utakuwa umevurugwa si bure!
Kakuambia tayari yeye ni maarufu hiyo attention itamsaidia nini? Sema kijana anatishia ulaji wa wanasaccoss wenu wa chadema.
si kweli sera za Zitto na Cdm ni vitu viwili tofauti kabisa, Zitto anasimamia haki ya msingi ya Mtanzania wakati Cdm wakiongozwa na Dr Slaa wanaongozwa na lugha nyepesinyepesi za ulaghai na za kinafki kinoma.Hapa mtasema mengi, muhimu ni kujua kuwa hajasimamia ukaguzi wa matumizi na mapato ya vyama kama naibu katibu mkuu wa CDM hata kama uadilifu katika kuisimamia serikali ni moja ya sera za CDM.