Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.
Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.
Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.
Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.
Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.
Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.
Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.
Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.
Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.
Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.
Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.
Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.
Umejitahidi kujidhalilisha. LOOK AT YOU
Join Date : 22nd July 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
S.T.U.P.I.D

Hata bush lawyer hawezi kuwa zuzu kiasi hiki,huyu ni mjinga mmoja anachezea hakili za watu!!! Aaaaaaghbush lawyer!.......upuuzi wa hali ya juu kabisa...
Unainajisi taaluma ya uanasheria kama kweli wewe ni mwanasheria.
Kwa hiyo spidi yote ya kujisajili leo na kuleta umbea wa mahakamani hapa ni ili tujadili kesi iliyoko mahakamani au unataka nini?
Ipo hivi, chadema ni wanyama, Ludovick ni mwanachadema, kwa hiyo Ludovick ni mnyama!Chadema ni wanyama pole sana ludovick mungu atasimama upande wako tu.
Alitakiwa atetewe na shetani Mwigulu, lakini Mwigulu kwa ushetani wake akamtosa!kwa nn hamkumtetea mahakaman kama lwakatare
Wale akina Lwakatare sio watanzania wenzetu?nimtanzania mwenzetu
Mkuu, kinachowaponza hawa ndugu zetu, ni waongo halagu ni wasahaulifu, wamejaribu kuuaminisha umma kuwa Lwakatare na Ludo na CHADEMA lao moja, iweje tena leo wam exclude Ludo kwenye unyama wa CHADEMA?Ipo hivi, chadema ni wanyama, Ludovick ni mwanachadema, kwa hiyo Ludovick ni mnyama!
Kwa sababu ana watetezi wake ambao ndio nyie CCM, kinachomuumiza ni kwamba watetezi wake wanaogopa kumtetea hadharani kuwa itabainika.kwa nn hamkumtetea mahakaman kama lwakatare
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.
Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.
Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.
Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.
Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.
Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.
Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.
Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.
Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.
Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.
Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.
Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.
Kama kawaida na meno yako unasema uongo hata huogopi kweli wewe ni Mkosi MkomiMagaidi ni watu hatari sana