Chadema wamepata wapi haki ya kutengeneza CD mauaji ya Mwangosi (R.I.P) na kuiuza

Mkuu hiyo cd ilikuwa ni mtiririko wa ufunguzi wa Tawi la CDM huko nyororo sasa Kama kifo kilitokea wakati wa ufunguzi unataka isiwe ni sehemu ya tukio kwenye video Yao? Mbona hamhoji video za zinazouzwa za ufunguzi wa matawi mengine ambavyo Vifo havikutokea?

Hakuna ufunguzi wa tawi lolote Nyororo, labda nikuulize marehemu alikuwa mfuasi wa Chadema? Kama sio mfuasi wa Chadema mliwasiliana na mjane wa marehemu kuhusu kuonyesha mauaji ya mume wake? Au kuna fungu lolote anapata kutokana na mauzo ya hiyo CD?
 
kwa hiyo kilio chako UNATAKA NA POLISI nao wapate mgao sababu ndio wahusika wakuu katika filamu hiyo?
 
Hakuna sehemu niliotetea Jeshi la Polisi kwa unyama waliofanya, mie naulizia mapato ya CD ya mauji ya Mwangosi mjane anapata kiasi gani?
Hela lazima wachukue CDM kwasababu lengo lilikuwa ni cd za ufunguzi Tawi lakini kifo ni tukio lililotokea ndani ya lengo kuu ambalo ni ufunguzi Tawi sasa nyinyi magamba mnataka kubadilisha dhumuni la video yenyewe
 
Hakuna ufunguzi wa tawi lolote Nyororo, labda nikuulize marehemu alikuwa mfuasi wa Chadema? Kama sio mfuasi wa Chadema mliwasiliana na mjane wa marehemu kuhusu kuonyesha mauaji ya mume wake? Au kuna fungu lolote anapata kutokana na mauzo ya hiyo CD?
Kwahiyo polisi walikuja kufanya nini pale kwenye tukio kumuua mwangosi au kuzuia ufunguzi wa Tawi la CDM ?
 
Na mamlaka ya kuandika ya hii post umeitoa wapi fuatilia yanakuhusu kama umetumwa kuwatetea hawa wahuni waliohusika na mauaji wanajulikana unataka kujua kibali ili ufanyaje ??:-|

namfaham mmoja kat ya askar najua kijij anachotokea ntatoa nakala kama 100 nikagawie wanakijiji wenzake wamuone afu adhabu watampa wenyewe
 
Hela lazima wachukue CDM kwasababu lengo lilikuwa ni cd za ufunguzi Tawi lakini kifo ni tukio lililotokea ndani ya lengo kuu ambalo ni ufunguzi Tawi sasa nyinyi magamba mnataka kubadilisha dhumuni la video yenyewe

Hakuna ufunguzi wowote uliofanyika pale, kilichofanyika Mwangosi (R.I.P) aliuwawa kwa kupigwa bomu na polisi, sasa nyie mnatengeza CD na kuziuza pesa mnakula.
 
Mwangozi alikuwa raia au "kamanda"?

House boy, au mgeni yeyote nyumbani kwako akikumbwa na matatizo wakati wa shughuli utamtenga au utamjumuisha

katika maelezo iwe ni polisi au popote pale?
 
Sikuelewi, andika kiswahili.
 
Hakuna ufunguzi wowote uliofanyika pale, kilichofanyika Mwangosi (R.I.P) aliuwawa kwa kupigwa bomu na polisi, sasa nyie mnatengeza CD na kuziuza pesa mnakula.

Hawa jamaa ni hatari sana, wako tayari kuuwa kwa pesa. Kifo washageuza bingo!
 
Wanabodi.

Imepita mwezi na siku kadhaa toka yafanyike mauji ya Mwandisi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten, Daudi Mwangosi, baada ya kuuliwa na polisi kwa kuripuliwa na bomu.

Chama Cha Demokrasia na Maendeo Chadema wamezindua CD ya mauaji ya Davidi Mwangosi (R.I.P) na kuisambaza mitaani na kuanza kuiuza. Chadema wamepata wapi haki ya kutengeneza hiyo CD na kuiingiza sokoni kwa mauzo.

Familia ya Mwangosi (R.I.P) pamoja na Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania wanapata mgao wowote wa mauzo ya hiyo CD kama hawapati jambo ili kisheria linakuaje.

Watoto wa Marehemu ambao ni wadogo kiumri wanajua chochote kuhusu mauzo ya CD ya baba yao kipenzi.

Sikatai madai yako, lakini inabidi angalau yawe supported na viambatanisho. mfano: umetoa maelezo lakini mbona haujatuambia uzinduzi huo ulifanyika lini na wapi, pia ni vizuri kama utaweka picha za uzinduzi huo pamoja na za cover ya hiyo cd.
 
Hakuna sehemu niliotetea Jeshi la Polisi kwa unyama waliofanya, mie naulizia mapato ya CD ya mauji ya Mwangosi mjane anapata kiasi gani?

Magamba bhana kwa umbea?sasa uambiwe mapato yanaenda wapi ili iweje?vua gamba kama umeimaind chadema,hao wadosi wanaoburn cd za wasanii wamepata wapi haki miliki?ccm imewafanya nini?unafiki mbaya sana...
 
Natamani niipate hiyo CD...Kwa anayefahamu mahali ambapo naweza pata hiyo CD tafadha naomba unijulishe kwa PM...
 
mie naulizia mapato ya CD ya mauji ya Mwangosi mjane anapata kiasi gani?[/QUOTE]
Kwanini hujiulizi wewe unalipwa sh. Ngapi, kwani ktk hili wewe na mjane wa marehemu hamna tofauti.
 
Wanabodi.

Imepita mwezi na siku kadhaa toka yafanyike mauji ya Mwandisi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten, Daudi Mwangosi, baada ya kuuliwa na polisi kwa kuripuliwa na bomu.

Chama Cha Demokrasia na Maendeo Chadema wamezindua CD ya mauaji ya Davidi Mwangosi (R.I.P) na kuisambaza mitaani na kuanza kuiuza. Chadema wamepata wapi haki ya kutengeneza hiyo CD na kuiingiza sokoni kwa mauzo.

Familia ya Mwangosi (R.I.P) pamoja na Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania wanapata mgao wowote wa mauzo ya hiyo CD kama hawapati jambo ili kisheria linakuaje.

Watoto wa Marehemu ambao ni wadogo kiumri wanajua chochote kuhusu mauzo ya CD ya baba yao kipenzi.
Ritz Huna tofauti na Sumaye
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom