Chadema wamepata wapi haki ya kutengeneza CD mauaji ya Mwangosi (R.I.P) na kuiuza

Labda tatizo lako ni ubinafsi tu! Hebu jiokoe kidoogo kwenye hilo, watu watakuata kwa ushauli wa maana, kwa sasa mmmh!
 
Wanabodi.

Imepita mwezi na siku kadhaa toka yafanyike mauji ya Mwandisi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten, Daudi Mwangosi, baada ya kuuliwa na polisi kwa kuripuliwa na bomu.

Chama Cha Demokrasia na Maendeo Chadema wamezindua CD ya mauaji ya Davidi Mwangosi (R.I.P) na kuisambaza mitaani na kuanza kuiuza. Chadema wamepata wapi haki ya kutengeneza hiyo CD na kuiingiza sokoni kwa mauzo.

Familia ya Mwangosi (R.I.P) pamoja na Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania wanapata mgao wowote wa mauzo ya hiyo CD kama hawapati jambo ili kisheria linakuaje.

Watoto wa Marehemu ambao ni wadogo kiumri wanajua chochote kuhusu mauzo ya CD ya baba yao kipenzi.

Wamepata haki kutoka familia ya Mwangosi. Wewe unawasemea kama nani, na inakuumia nn acha hizo mbona uulizi ni kiasi gani kinaliwa katika serikali ya ccMafisi
 
Mwangozi alikuwa raia au "kamanda"?

kwani kuna tofauti ya raia na kamanda??
Huko mlipofikia ni kubaya sana yani mnabagua watu tena marehemu (R.IP Mwangosi) kuna wengine raia na kamanda?
Kwa hiyo mwenye haki ya kuuliwa ni kamanda au raia?
Ujue sijakuelewa unamaanisha mna vibali vya kuua makamanda au mna vibali vya kuua raia ?
 
Wanabodi.

Imepita mwezi na siku kadhaa toka yafanyike mauji ya Mwandisi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten, Daudi Mwangosi, baada ya kuuliwa na polisi kwa kuripuliwa na bomu.

Chama Cha Demokrasia na Maendeo Chadema wamezindua CD ya mauaji ya Davidi Mwangosi (R.I.P) na kuisambaza mitaani na kuanza kuiuza. Chadema wamepata wapi haki ya kutengeneza hiyo CD na kuiingiza sokoni kwa mauzo.

Familia ya Mwangosi (R.I.P) pamoja na Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania wanapata mgao wowote wa mauzo ya hiyo CD kama hawapati jambo ili kisheria linakuaje.

Watoto wa Marehemu ambao ni wadogo kiumri wanajua chochote kuhusu mauzo ya CD ya baba yao kipenzi.

Kibali kimetolewa na NEC kwenye mkutano wao mkuu uliokwisha ambao wewe ni mjumbe wa bila kupingwa...teh teh teh~!
 
Mods, wakuu JF na Ritz

Kwanza samahanini kwa kuchelewa kuingia hapa na kutoa ufafanuzi na kuweka rekodi sahihi. Asubuhi tulikuwa msibani, kiongozi wetu mmoja wa kata pale Ubungo amefariki dunia. Hivyo Tulikwenda pale asubuhi na John Mnyika, kisha tukaanza safari ya kwenda Dodoma, kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani Kata ya Msalato.

Coming back to the point, Idara ya Habari ilipata taarifa mapema juu ya uwepo wa CD inayohusu tukio la Nyololo la kuuwawa kwa Mwandishi wa Habari, Daudi Mwangosi. Mara moja ilichukua hatua ya kumtafuta mhusika na kumwambia aache mara moja. Si sahihi na hairuhusiwi kukihusisha chama kwenye hicho alichokuwa akikifanya.

Labda hakuelewa mantiki na sababu alizoelezwa. Jana tulipopata habari kutoka Arusha kuwa CD za namna hiyo zinauzwa eneo la mkutano na zina nembo ya CHADEMA, ilibidi sasa kuchukua hatua zaidi jana hiyo hiyo.

Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, John Mnyika aliagiza kusimamishwa kwa uuzwaji huo mara moja, mhusika atoe taarifa ya jumla ya CD alizozalisha mpaka sasa, ameuza CD ngapi mpaka sasa na kila moja inauzwa kwa kiwango gani. Kisha akaagiza zaidi kuwa fedha zilizopatikana mpaka sasa, zote ziwasilishwe kwa familia ya marehemu Mwangosi, lakini wakati huo huo uuzwaji na uzalishaji uwe umeshasimamishwa mara moja mpaka maelekezo mengine yatakapotolewa.

Usahihi ni kwamba, CHADEMA haihusiki na uzalishaji na uuzwaji wa CD hizo, ingawa kwa makosa makubwa, aliyeamua kufanya hivyo, ameweka nembo ya chama na anauzia kwenye maeneo ya mikusanyiko ya shughuli za CHADEMA. Ndiyo maana tumechukua hatua za haraka sana kuzuia suala hilo.

Tunatumaini maagizo hayo ya John, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi yatatekelezwa mara moja tangu jana pale pale Arusha.

Asateni.

Copy to...
salome, Candid Scope, ndomyana, Precise pangolin, Mungi, Masanilo, Uwezo Tunao, Elli, Mkirua, Fitinamwiko, Emma, idawa, sembuli, robbins emmy, kapotolo, KIJOME, Mzito Kabwela, chama, yaya,
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa ni hatari sana, wako tayari kuuwa kwa pesa. Kifo washageuza bingo!

ahsante kwa kukiri hilo kuwa polisi wako tayari kuua kwa pesa
maana wao ndio waliomuua Mwangosi
na bado mtajichanganya sana
na pia umenidhihirishia ni mtu gani ulivvyo ambae huna hata utu
 
Wamepata haki kutoka familia ya Mwangosi. Wewe unawasemea kama nani, na inakuumia nn acha hizo mbona uulizi ni kiasi gani kinaliwa katika serikali ya ccMafisi

Kwa hiyo wewe unaona ni kitendo cha haki CD ya mauaji ya Mwangosi kuuzwa bila familia yake kushirikishwa?
 
Tumaini Makene,

Mbona unakuja na majibu nusu nusu ujasema CD hiyo umezinduliwa lini na wameishauza nakala ngapi mpaka sasa na inauzwa kiasi gani CD moja, haitoshi tu kusema Mnyika katangaza wasitishe kuuza kwa maneno bila hatua zozote za kisheria.

Nenda Kariakoo mitaa ya Msimbazi, Congo, Uhuru, Magira, Mhuonda, Narung'ombe, zinauzwa.

Mbaya zaidi kwenye mikutano ya Chadema Tanzania nzima zinauzwa mtasemaje Chadema hawahusiki.
 
Last edited by a moderator:
Mwongo mkubwa wewe mtumwa wa mafisadi usiye na haya kwa ndg zako kulala njaa kwa ingali mafisadi mandumilakuwili wachache na ndio umeamua kuwa mtumwa wao kuwasafisha humu jamvini bila hata huruma na adabu hata!
Jaribu kubadilika pamoja na kundi lako lile la kipuuzi isiyotumia kichwa kufikiri na kukubali kutumia masaburi!

Mkuu unabisha au hutaki kuamini?

Waheeeed sana wewe Ritz!

Eti CDM wamepata wapi CD ya marehemu Mwangosi! Achaga unafiki mtumwa wewe!

TAFAKARI KABLA YA KUTUA HUMU JAMVINI MTUMWA WEWE,NA LEO NI MWISHO WA WEEKEND NENDA PALE LUMUMBA STREET UKAPOKEE CHAKO!
 
Inaonekana unahusika na utengenezaji wa hizo CD za Marehemu Mwangosi (R.I.P) povu linakutoka sana kuweni na huruma msitumie msiba kwa manufaa yetu hii dunia tu sote tunapita.
 
Mkuu Ritz
Inasikitisha sana kuona watu wanathamini pesa zaidi ya utu; hata kama ni kufanya propaganda za kisiasa nawashauri Chadema watafute njia muafaka na sahihi hili la kuwahusisha marehemu waliopoteza maisha kutokana na harakati zao za M4C si jambo la kiungwana hakuna mzazi ambaye angependa kutoneswa kidonda cha kupoteza kipenzi chake; pamoja na kuwa uongozi wa Chadema umekata kuuzwa kwa cd hizo bado naamini yupo kiongozi wa juu aliyebariki utoaji wa cd hizo hainingii akilini cd ziuzwe kwenye mikutano yao halafu wadai wasijue zinakotoka.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mwongo mkubwa wewe mtumwa wa mafisadi usiye na haya kwa ndg zako kulala njaa kwa ingali mafisadi mandumilakuwili wachache na ndio umeamua kuwa mtumwa wao kuwasafisha humu jamvini bila hata huruma na adabu hata!
Jaribu kubadilika pamoja na kundi lako lile la kipuuzi isiyotumia kichwa kufikiri na kukubali kutumia masaburi!

Waheeeed sana wewe Ritz!

Eti CDM wamepata wapi CD ya marehemu Mwangosi! Achaga unafiki mtumwa wewe!

TAFAKARI KABLA YA KUTUA HUMU JAMVINI MTUMWA WEWE,NA LEO NI MWISHO WA WEEKEND NENDA PALE LUMUMBA STREET UKAPOKEE CHAKO!

Mkuu Ritz
makamanda wameishiwa hoja wanaanza kutumia silaha za sumu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Watanzania ifike wakati 2ache ujinga jamani,we wa2 wanafikia ha2a ya kuandaa cd inamana dhumuni lao wa2 waelewe ukweli,hayambo ya mamlaka wametoa wapi yanakuhusu nini 2ache ujinga heee.
 
Mkuu unabisha au hutaki kuamini?

Mtu wangu kama kunajambo naliunga mkono basi ni kuuza kanda hii ambayo kimsingi ni ufunguzi wa Tawi la chama Kijijini Nyororo, Chama kinapanua shughuri zake za kisiasa mpaka vijijini tukio ambalo Polisi walionesha jinsi wanavyotumika kuzorotesha au kufifisha demokrasia kwa kutumia nguvu kupita kiasi kwa watu wasio na silaha wala hatia mpaka kutoa roho ya Mwandishi Mwangosi! Unataka iwe siri kumlinda nani!!
 
"viongozi wa ccm na makada wake wote'
uwezo wao wa kufikiri huishia pale wanapoishia kutazama,they cant think beyond'
 
Mkuu chama,
Kama kweli Chadema hawahusiki na hizo CD kwa nini wasitoe ripoti polisi kwa kuchafuliwa jina la chama kuhusishwa na hizo CD za mauaji ya Mwangosi (R.I.P) mbaya zaidi cover za CD hizo kuna nembo ya Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,
Kama kweli Chadema hawahusiki na hizo CD kwa nini wasitoe ripoti polisi kwa kuchafuliwa jina la chama kuhusishwa na hizo CD za mauaji ya Mwangosi (R.I.P) mbaya zaidi cover za CD hizo kuna nembo ya Chadema.

Mkuu Ritz
Mradi una baraka zote za uongozi; kauli ya Mnyika vuvuzela tu wanajua nini wanachofanya si kweli eti hawajui; yaani unataka kuniambia mtu akiuza miraa barazani kwako wewe hutajua? Hawa jamaa wameishiwa sera wamebaki kuhamasisha vurugu tu>

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mtu wangu kama kunajambo naliunga mkono basi ni kuuza kanda hii ambayo kimsingi ni ufunguzi wa Tawi la chama Kijijini Nyororo, Chama kinapanua shughuri zake za kisiasa mpaka vijijini tukio ambalo Polisi walionesha jinsi wanavyotumika kuzorotesha au kufifisha demokrasia kwa kutumia nguvu kupita kiasi kwa watu wasio na silaha wala hatia mpaka kutoa roho ya Mwandishi Mwangosi! Unataka iwe siri kumlinda nani!!

Mkuu wangu, kwa hiyo unaunga mkono Chadema kusafiria nyota ya Marehemu Mwangosi (R.I.P) kama mtaji wa kisiasa? Na unakubali familia ya Mwangosi wasipate chochote kwenye mauzo ya hizo CD za mauaji ya Baba yao kipenzi.
 
Back
Top Bottom