Chadema wameliona hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wameliona hili?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Boss, Jun 8, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sasa hivi kauli ya kujivua gamba ni maarufu mno

  hata kwenye mazungumzo ya mapenzi au ya kijamii mengine

  utasikia watu wakiitumia hii kauli.......mpaka kwenye magazeti ya udaku inatumika...

  sasa swali hapa ni nani alianzisha kauli hiiiiii?????????/

  ni mwenyekiti wa ccm .kikwete


  wakati wa uchaguzi wa marekani kauli maarufu ilikuwa 'yes we can'

  na mwisho kauli hiyo ikathibitisha kuwa obama ni maarufu na anakubalika zaidi.....

  sasa kama watu wa chadema wanatakiwa kujiuliza je kuna kiongozi gani wachadema

  ambae akizungumza kitu au kutoa kauli inashika moto kwa umaarufu?????????

  unaweza dharau haya mambo lakini ni ishara tosha ya kuonesha

  kukubalika au kutokubalika kwa kiongozi......

  kuna mtu anakumbuka kauli ya john mc cain????????ipi???????

  inawezekana umaarufu wa chadema na viongozi wao upo a little bit exaggerated....

  vitu vidogo kama hivi vinaweza onesha jamii inawasikiliza zaidi kina nani....

  au mnasemaje??????????????????????
   
 2. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Mafisadi! Unakumbuka aliyeitambulisha?
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ndio kujivua gamba imekuwa kauli maarufu... but all for the wrong reasons. Aliyetoa hiyo kauli nina uhakika anajuta maana inamla mzima mzima.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sasa toka walipotambulisha
  mpaka leo ungetegemea wamngekuwa na power zaidi sio????????

  kujivua gamba imekuja lini?si juzi tuuu???????
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  na kauli ya mbayuwayu jeee?????????????????

  nani alianzisha???????????????
   
 6. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  je hii kauli inatumika kwa matumizi chanya?
  hii kauli inatumika kuwapopoa walioileta katika uwanja wa siasa
  hivyo inakula kwao.

  "yes we can" ni kauli ya kuleta matumaini na uthubutu hivyo ni kauli chanya
  lakini hii ya "kujivua gamba"! mmmh
   
 7. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
   
 8. escober

  escober JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  unaanzisha mada unatoa majibu wewe. mi napita tu
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  umaarufu wa mtu unaweza pimwa kwa anachokiongea kinaifikiaje jamiii

  hata kama jamii itakipinga kwa nguvu but still
  ukiona jamiii kwa asilimia kubwa wamesikia au wanakijadili
  basi huyo mtu ni maarufu sana au anakubalika sana.....
   
 10. t

  tweve JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hiyo kauli yenu ya magamba si imekuja sababu ya kauli kali na iliyoibomoa ccm iliyoasisiwa na chadema ya UFISADI .au unaubongo wa kukumbuka kula na kunya tu ?
   
 11. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Bomb bomb bomb, bomb bomb Iran!!
   
 12. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  kaka the boss unaonekana mvivu wa kufikiri
  kwanza neno fisadi hadi leo bado lipo na linatumika hata ndani ya ccm yenyewe na serikarini hauwezi kuongea kujivua gamba bila kuongelea neno la mafisadi hapo mbele
  chadema ina power kubwa sana kwa kuanzia unajua kwanini mswada wa katiba ulirudishwa kwa wananchi,unaelewa kwanini kujivua gamba kumetokea ?
  fikiria kabla ya kuongea ikiwezekana omba na ushauri mkuu sio kuongea bila data
   
 13. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Aliyetoa kauli hii ni mkwele ofcoz watu wa Pwani ni wazuri kwa misemo lakini unajua madhara ya hiyo kauli? Waulize nape na Mkama wanapata taabu kweli kuielezea!
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  chadema wanacheza mchezo wa ccm
  wa kukifanya chadema kuwa chama cha kupiga kelele na kuikosoa ccm

  wangekuwa na akili wange jiweka kama chama kinachojiandaa kuchukua nchi

  na wangeweza wangekuwa na kauli ambazo wananchi wanazijadili

  chadema wangeweza wangewafanya wananchi waidharau kabisa ccm na wasi pay attention kabisa
  na kauli za ccm

  hivi kama mna uhakika wa kuchukua dola 2015 ya nini kupiga kelele za katiba mpya now??????

  kwa nini msisubiri mchukue dola msimamie vizuri zoezi hilo???????

  hamkuwaona akina odinga na odm????????????
   
 15. Ngigana

  Ngigana JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180

  Mheshimiwa kwani kaulimbiu ya kujivua gamba ina TIJA gani kwa Taifa mpaka ionekana muhimu kwa vile kila mtu au watu wengi wanaitumia! Binafsi sioni TIJA yoyote ktk usemi huo!:confused2:
   
 16. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,094
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  yes imekuwa maarufu kama ile ya 'nguvu zaidi,ari zaidi na kasi zaidi' ha ha ha!
   
 17. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  The Boss leo umekuwaje? Kauli ya kujivua gamba inatajwa siku hizi kama mzaha tu. Na suala la umaarufu wa aliyeitoa halina mjadala. Hata asingesema umaarufu wake uko pale pale (by default). Nafasi yake inamfanya awe maarufu. Nje ya nafasi hiyo nguvu ya kauli yake usingeiona. Lakini pale unapokiri pia kuwa ni juzi tu kauli ya "kujivua gamba" imetoka utapimaje kuwa itasurvive hadi kesho? Haudhani itakuja kufunikwa na kauli ya..... "Kujivika gamba jipya" maybe toka kwa mtu mwingine wa chama kingine? Lakini pia we ni mgeni sana wa matamshi kama haya? Mfano Ari Mpya, Nguvu Mpya na Kasi mpya imesurvive kiasi gani? Hebu niambie critically ni wakati gani JK amekuwa maarufu kati ya sasa au kipindi anaingia madarakani (Umaarufu kwa maana ya Popularity na si Fame)?

  Mwisho, sijaridhika na athari (+ve) ya neno gamba kwa siasa za Tanzania, zaidi linachukuliwa kwa kebehi. Kebehi humfanya aliyetunga neno kuwa fame lakini mwenzake kuwa popular. Ari Mpya, Nguvu Mpya na Kasi mpya.... yes, yes, lilikuwa na faida kubwa kisiasa. Maneno kama "Maisha bora kwa kila Mtanzania" nani asiyejua? Unadhani ilisaidia nini kumpa JK kura kama si kumpunguzia? Mi naona kama hakuhitajiki akili ya ziada kuona mambo haya.
   
 18. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  hivi ndugu uwezo wako wa kufikiri upo okey au ?
  unashindwa kutambua kuwa ubovu ,upunguvu wa katiba umechangia haya yote? tume ya uchaguzi kutokuwa huru ni chanzo cha yote ndio maana chadema na wana nchi wanataka katiba ibadirike?
  kaka jaribu kuwa na huruma japo kidogo na nchi hii acha ushabiki,

  jaribu kuwa MSHABIKI WA TAIFA LAKO
   
 19. e

  ebrah JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kweli ccm kumejaa mambwiga matupu! hivi kweli umekosa cha kumsifia huyo anayekulipa kuja kuaibika huku kwa great thinkers unaleta misemo? hakuna taarabu huku bana! we focus on facts k! kafanya nn? acha mipasho mtoto wa kiume wewe. . ndo mana mwenzenu mliyempa ATC akashindwa kuiongoza alibaki anajisifia kubadili jina! so nayeye atakumbukwa kwa mipasho ya kujiaibisha?
   
 20. t

  tweve JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Halafu boss hujui kuwa katiba ni mali ya sisi watanzania ? Ni halali yetu kuifanyia marekebisho ama kutunga nyingine muda wowote bila kupangiwa na mtu yeyote.
   
Loading...