Chadema wameliona hili?

sasa hivi kauli ya kujivua gamba ni maarufu mno

hata kwenye mazungumzo ya mapenzi au ya kijamii mengine

utasikia watu wakiitumia hii kauli.......mpaka kwenye magazeti ya udaku inatumika...

sasa swali hapa ni nani alianzisha kauli hiiiiii?????????/

ni mwenyekiti wa ccm .kikwete

wakati wa uchaguzi wa marekani kauli maarufu ilikuwa 'yes we can'

na mwisho kauli hiyo ikathibitisha kuwa obama ni maarufu na anakubalika zaidi.....

sasa kama watu wa chadema wanatakiwa kujiuliza je kuna kiongozi gani wachadema

ambae akizungumza kitu au kutoa kauli inashika moto kwa umaarufu?????????

unaweza dharau haya mambo lakini ni ishara tosha ya kuonesha

kukubalika au kutokubalika kwa kiongozi......

kuna mtu anakumbuka kauli ya john mc cain????????ipi???????

inawezekana umaarufu wa chadema na viongozi wao upo a little bit exaggerated....

vitu vidogo kama hivi vinaweza onesha jamii inawasikiliza zaidi kina nani....

au mnasemaje??????????????????????

mkuu kuwa makini unaweza kufulia, hakuna matiki hapo unataka kusema watanzania hawana shida au awajui sshida zao, watu wanataka maisha bora na hapo ndipo ccm inapoliwa kwa kudhani huu ni muda wa porojo kama ni umaarufu wa hayo manenp basi unatokana na chuki kama alivyokuwa osama

hakuna anaekataa kuwa maisha magumu
au ccm wameshindwa
ninachozungumza hapa ni kuwa
je jamii inaisikiliza chadema?????

Kauli ni sawa na maneno, sio tishio sana coz hata kwenye khanga yapo.. Je mmesahau ile kauli ya 2005 ya Ari mpya, Nguvu mpya na Kasi mpya? Mmesahau ilivyokua maarufu? Nadhani matendo yanahusika zaidi ya maneno, HUWEZI SEMA UMEJIVUA GAMBA WAKATI BADO MAFISADI UNAO, BINAFSI NINGEWASHAURI WANG'OE JINO KABISA WATOE SUMU YA UFISADI WALIO NAO. Kung'oa Gamba pasipo vitendo ni sawa na bure!

hakuna anaekataa kuwa maisha magumu
au ccm wameshindwa
ninachozungumza hapa ni kuwa
je jamii inaisikiliza chadema?????

kwa sasa jamii ina move hiyo lakini bado haiko sure sana kwa mujibu wa utafiti wangu, ila haiko ccm jamii ilishatoka huko siku nyingi ndio maana JK kura alipata kiduchu lakini akaongezea kidogo , ili liko wazi kabisa jk ni raisi pekee Afrika hawezi kuchomoa sura kwa wananchi maana anajua hawamtaki, anachofanya ni kuwavizia wakia makanisani .
so yes jamii hiko na chadema na gain ya wabunge ya mwaka jana ni ushaidi tosha.

• Thanks
Reactions: BAK

....Tena matokeo hayo baada ya kuchakachua matokeo katika majimbo mengi tu, vinginevyo CHADEMA wangepata ushindi wa TSUNAMI. Na upo ushahidi chungu nzima wa kuthibitisha kwamba jamii sasa inaisikiliza zaidi CHADEMA kuliko CCM. Juzi juzi kuna kiongozi mmoja wa UVCCM alitoa kauli kwamba CCM wanakurupuka tu kudandia sera za upinzani (hakutaja chama lakini tunajua fika chama cha upinzani ambacho kina sera ambazo zinakubalika miongoni mwa Watanzania wengi sasa hivi si kingine bali ni CHADEMA) ambazo hawajakaa chini na kuzifanyia kazi matokeo yake huishia kuaibika (mfano walipokurupuka na kuidandia sera ya kutunga katiba mpya bila kuifanyia kazi wakaishia kuumbuka)

umaarufu wa mtu unaweza pimwa kwa anachokiongea kinaifikiaje jamiii

hata kama jamii itakipinga kwa nguvu but still
ukiona jamiii kwa asilimia kubwa wamesikia au wanakijadili
basi huyo mtu ni maarufu sana au anakubalika sana.....

kwa hiyo lowasa,chenge na rostam wanakubalika sana eti kwa kuwa wanajadiliwa sana na jamii.!? Huo umaarufu wako wa misemo unamsaidia nini mtanzania wa kawaida?

umaarufu wa mtu unaweza pimwa kwa anachokiongea kinaifikiaje jamiii

hata kama jamii itakipinga kwa nguvu but still

ukiona jamiii kwa asilimia kubwa wamesikia au wanakijadili

basi huyo mtu ni maarufu sana au anakubalika sana.....

Mfano WeMA SEPETU?? Natilia shaka hapa.

Hiyo kauli inaifananisha CCM na nyoka, kwa hiyo hisia za watu kwa sasa ni kuwa CCM ni nyoka, na dawa ya nyoka ni kumuua tu

Sio lazima uje na mada jamvini, wakati mwingine, soma tu za wenzio na kutafakari. Neno au msemo "mafisadi/ ufisadi" lilitumiwa na Dr. Slaa bungeni na pale mwembeyanga - Tandika. Dr. Slaa sio rais, lakini maneno yake yamekuwa maarufu kuliko kujivua gamba. Kujivua gamba kumesababishwa na "vita dhidi ya ufisadi/ mafisadi" iliyoanzishwa na Dr. Slaa. Na vita hii imeungwa mkono nchini kote, hata CCM na Kikwete wao wameanza kuchezeshwa na kuicheza ngoma ya viongozi wa upinzani. Kikwete akipewa siku saba, masaa 48 huanza kucheza ngoma hizo. Hurray!!!!!!!!!! mnaoanzisha misemo inayovuma hata kudakwa na watawala. TANBIHI: tetesi, kule alikopopolewa JK wanawake wengi wanasema walimchagua JK kwa kuangalia sura, leo wanasema mambo yake kama demu tu. Na kweli, nimlalamikaji sana, hachukui hatua,kama pinda wake, wote ni walalamikaji mno, hawachukui hatua. NA WAO NI MAGAMBA ndani ya CCM. Magamba yao ni ya kuchunwa sio kujivua! UPO HAPO?

chadema wanacheza mchezo wa ccm
wa kukifanya chadema kuwa chama cha kupiga kelele na kuikosoa ccm

wangekuwa na akili wange jiweka kama chama kinachojiandaa kuchukua nchi

na wangeweza wangekuwa na kauli ambazo wananchi wanazijadili

chadema wangeweza wangewafanya wananchi waidharau kabisa ccm na wasi pay attention kabisa
na kauli za ccm

hivi kama mna uhakika wa kuchukua dola 2015 ya nini kupiga kelele za katiba mpya now??????

kwa nini msisubiri mchukue dola msimamie vizuri zoezi hilo???????
hamkuwaona akina odinga na odm????????????

the boss what went wrong wut u...utategemea vp kushinda uchaguzi wakati tume ya kusimamia uchaguzi si huru..inafanya kazi ya aliyewateua na si ya umma..utashinda vp uchaguzi wakati polisi na usalama wa taifa wote wanafanya kazi ya ccm... ina maana hata akili yako ya kawaida imeshindwa kutambua hilo ...lol.....kwa taarifa yako tungelikuwa na tume huru ya uchaguzi ****** asingelirudi ikulu na majimbo mengi zaidi yangelichukuliwa na CDM

sasa hivi kauli ya kujivua gamba ni maarufu mno

hata kwenye mazungumzo ya mapenzi au ya kijamii mengine

utasikia watu wakiitumia hii kauli.......mpaka kwenye magazeti ya udaku inatumika...

sasa swali hapa ni nani alianzisha kauli hiiiiii?????????/

ni mwenyekiti wa ccm .kikwete

wakati wa uchaguzi wa marekani kauli maarufu ilikuwa 'yes we can'

na mwisho kauli hiyo ikathibitisha kuwa obama ni maarufu na anakubalika zaidi.....

sasa kama watu wa chadema wanatakiwa kujiuliza je kuna kiongozi gani wachadema

ambae akizungumza kitu au kutoa kauli inashika moto kwa umaarufu?????????

unaweza dharau haya mambo lakini ni ishara tosha ya kuonesha

kukubalika au kutokubalika kwa kiongozi......

kuna mtu anakumbuka kauli ya john mc cain????????ipi???????

inawezekana umaarufu wa chadema na viongozi wao upo a little bit exaggerated....

vitu vidogo kama hivi vinaweza onesha jamii inawasikiliza zaidi kina nani....

au mnasemaje??????????????????????

JAMAAAANIIIIIII!!! mbona mnabishana na huyu Mbayuwayu au mmesahau mada za muhimu kuusu katiba na jinsi ya kupata ukomboziiiiiii,atakaye endelea kumcoment mbayuwayu pia kwani mada yake haina Mashiko kwa mustakabali wa Taifa:A S-frusty:SHUT UPP!!!!!!!!!!!

Back
Top Bottom