"CHADEMA Wamechakachua Picha"!

Only fools like you can believe the differences you're claiming to be there!
Hizo unazosema tofauti siyo za kweli. Ukweli ni kwamba picha moja juu imechukuliwa kutoka umbali fulani while the 2nd picture imechukuliwa at close range. Kwa wapiga picha wanaelewa kwamba ukisimmama umbali zaidi na tukio una cover eneo kubwa na hivo kuingiza image nyingi zaidi lakini ukiwa karibu zaidi na kitu say watu wengi basi camera yako itachukua wachache zaidi.

Kwa hiyo swala la kuchakachua hapa halipo baali ni umbali au ukaribu wa uchukuaji wa picha.Kwa lugha ya mapaparaz wanaita zoom in/out.
 

Na hii vipi?




Mbowe hataki wali wa maji anataka pilao....
 

malizia kutamia,maana hapo ulipo unatamia wewe then nitakujibu ukishatotoa
 
Watu huwa symphathetic sana katika matukio kama haya. So, kifo chaweza kuwa kiliongeza nia na morali ya watu kuhudhuria mkutano huo. Ref Misri na Algeria, kila akiuwawa mtu ndo umati unaongezeka. Katika hatua hii akili hujaa hasira na maamuzi mazito ya kushangaza. The nature of aggression is revealed in this picture.
 

Awali nilipoona heading inayoonyesha kuna attachment(s) nikadhani kuna picha mbili: halisi na iliyochakachuliwa.Kumbe ni hisia tu zako tu za kitoto kwamba "nani anaweza kuamini kuwa Chadema walipata umati wote huu..." Kwanini hujiulizi kuwa licha ya polisi kuendelea kuwauwa wafuasi wa Chadema bado wapenda mabadiliko hawaogopi kwenda kwenye mikutano/maandamano ya chama hicho?

Nadhani suala si kama picha imechakachuliwa au la bali ubongo wako ni mzima au umechakachuliwa
 
mkuu amini picha hii inafanana sana ile ya video iliyorushwa na ITV jana mimi nimekulia maeneo hayo nilithibitisha jana pale ni faya na mimi nilikuwa nakaa karibu na garage ya abood ivyo ndivyo ilivyokuwa amini mkuu
 



kaka acha uvivu, chadema haina upumbavu wa kukaa na kuanza kuchaka chua picha kama huamini picha za JF sijui uko hapa unafanya nini mbaya zaidi nimeingia hata michuzi nae picha hiyo unayodai chadema wameichaka chua wameiweka...
 
Msihangaike na huyu anajaribu kufanya mambo juu ya uwezo wake. Unprofessional. Kama JF ingekuwa inatafuta CV basi kuna wengi wangeshaundolewa kama thinkers. Yaani huwezi kutambua picha mbili zilizo chukuliwa kwa focus tofauti.
Sasa naanza kumuelewa vizuri zaidi huyu jamaa.

 


Hawa ni kina nani? Rejao, Ritz, Fox NK au una maana gani?
 

Na hii je?
 

kwa hiyo mliua yule kijana ili iwe demo kwa wengine wasiende kwenye mkutano? tumegundua janja yenu magamba. kusajiri chama kipya na nyie kufanyia mkutano ikulu haiathiri sensa ila mikutano ya chadema ndo inakwamisha zoezi la sensa. ujinga mtupu.
 
Fish eye camera ingeweza nyuzi 360 kitu kinachukua

Kwanza hiki ni kipande tu cha umati kama 50%, nilikuwepo na ilikuwa vigumu kupiga picha umati wote kwa mara moja. Labda kama ungepata helikopta.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…