CHADEMA wamchagua Meya wa CCM licha ya wingi wao

CHADEMA wamchagua Meya wa CCM licha ya wingi wao

Utaifa kwanza, ni ccm tu ndo wana akili finyu za uchama. Kama uko sahihi bc Shein aache kung'ang'ania Zanzibar.
 
mbulu mjini & vijijini wabunge wake ni CCM na pia CCM ilipata viti vingi vya udiwani kulinganisha na vya upinzanzani!
 
uongo hautakusaidia kitu , na naomba jf impe huyu jamaa ban ndefu ili iwe fundisho kwa wazushi wengine , gazeti la nipashe la desemba 2 linaripoti kwamba ccm ina madiwani 19 huku chadema ikiwa na madiwani 16 , hii habari inapatikana ukurasa wa 13 .
 
Hapo Babati kuna Wanachadema wenye akili saaaaaana! Bravo Makamanda wa Babati! Ni kitu chema kuangalia ni yupi hasa anayo nafasi ya kuleta maendeleo katika eneo husika. Vyama viwe ni nafasi tu ya kupanua idadi ya wale tunaowachagua; isiwe nafasi ya kulazimisha upumbavu eti kutetea chama.

Nimesema mara nyingi katika CCM kuna watu wazuri na wabaya. Lakini pia huku kwetu kuna watu wazuri na watu wabaya. Hatulisaidii taifa kulazimisha ipewe uongozi mijitu imeoza kwa sababu tu imabeba bendera ya chama. No way....

Bravo CHADEMA Babati! Lakini hili ni la kweli? manake humu JF kunaletwaga na uongo humu! CCM wamekomaa sana kisiasa. Na mimi sioni ubaya kuiga mambo mazuri kutoka huko. Nakumbuka CCM walitumia utaratibu huu huu kumpatia John Mnyika Ubunge mwaka 2010 katika Jimbo la Ubungo. Viongozi walilazimisha kurudisha jina la Mtu wanaCCM hawakumtaka wakasubiri wakati wa Kura, bingoooo.....peleka kura rundo kwa Mnyika! Na hapa si peke yake limetokea hilo. Mwaka 2005 Limetokea hilo Kata ya Bulyaga Wilaya ya Rungwe.

CCM walijaribu kufosi jina la Mtu wanachama hawamtaki, vijana wa CCM wakasema NO Problem. Wakasubiri kura zipigwe wakamwaga kura zote CHADEMA, piga chini mzee chama kilikuwa kimelazimisha kurudisha jina. Hii ya Babati nimeipenda sana hii. CHAMA kimeanza kukomaa. Ni sawa kabisa kupima maslahi mapana ya taifa letu, maslahi mapana ya halmashauri; na mtu anayefaa huyo ndo apewe nafasi kuongoza.

Katika Bunge lililopita CHADEMA walikuwa wanalaani sana wabunge wa CCM kushabikia upuuzi wa kulinda maslahi ya chama wakati maslahi Makuu ya taifa yanawekwa hatarini kwa hizo hatua za kulinda chama. Filikunjombe akawa ndo nyota inayoonehs mwanga wa nini cha kufanya inapohusu kuchagua kati ya maslahi mapana ya taifa na kulinda maslahi ya chama katika mazingira ya aina hiyo. Taifa kwanza, chama baadae! that is the way to go! Na njia ya kuokoa maslahi ya chama iwe kufuata taratibu zote zilizo sahihi za demokrasia ndani ya chama. That's it! Nafasi ya kupishana inatakuwa hakuna hapo.

Bravo Babati! Lakini ni kweli haya?
habari hii unayoishabikia ni uongo mtupu !
 
Hatimaye uchaguzi wa mayor halmashauri ya iringa mjini umekamilika kwa amani kabisa

Idadi ya Kura kwa kila mgombea.

Mayor
Kura halali:27
Kura zilizo haribika:0
CCM: Bashri Richard Mtove kura 6
CHADEMA: Kimbe Alex Bonifasi kura 21
Hivyo bwana kimbe katangazwa kuwa mayor.


Naibu Mayor
Kura halali:27
Kura zilizo haribika:0
CCM: Dora Menard Nziku kura: 6
CHADEMA: Joseph Lyata Nzara kura: 21
Hivyo bwana Joseph katangazwa kuwa Naibu Mayor.
Hawa ni Iringa wamefanya kweli
hivi bei ya viwanja hapo iringa inafika bei gani mkuu ?
 
Hapo utakuta CCM wamechomekea mamluki kwa kutumia gear ya viti maalum kama ya Mary Chatanda na arusha mjini, Mary chatanda alikua viti mbunge viti maalumu Tanga lakini akaingia kupiga kura uchaguzi wa meya almashauri ya Arusha .....
 
Nguruwe kwa uzushi tu.. hawajambo.. ccm 19 na chadema 16 ..mngekuwa waungwana zanzibar cmngekaa pembeni?
 
Hilo neno mamluki linatumika kipumbavu sana hilo. Unataka kusema hakuna uhalali wa mwanachama kusikiza hoja katika full council na kukubaliana na upande wa pili na hilo likawa ni sawa kisiasa? jifikirishe zaidi mkuu. bila watu kukubliana na hoja za upande wa pili Obama angeshindwa kupitisha mswada wa kukubali kuilegezea masharti iran mwaka huu kwa sababu katika bunge lile Repulican ni wengi zaidi ya Democrats. wakomavu wa siasa za kidemokrasia wanaangalia maslahi mapana ya taifa. wale Republican waliomuunga mkono Obama wameendelea kubakia katika chama chao. Panda ngazi ya fikra njoo level ya juu kidogo mkuu; toka hapo kwenye ufinyu wa fikra kudhani kila mwenye kuwaza tofauti basi ni mamluki tu.

Wewe ndo unakurupuka kama kajamaa kapumbav kataahira (ingawa sina uhakika kama wewe si kataahira). Mamluki niliozungumzia ni wale madiwani wa kupandikizwa kama maccm walivyofanya kwa Mary Chatanda kule Arusha. Sasa wewe kwa vile ni kataahira ukafikri nawazungumzia wana-CHADEMA! Rudia tena kunisoma, kama uko unasokomezwa mwambie Mzee akuachie kwanza ukanisome upya!


Ukitaka kujua mpumbavu anafananaje hesabu idadi ya matusi katika maneno yake.
 
habari hii unayoishabikia ni uongo mtupu !

Asante kwa taarifa yako. Ila sijafuta mtizamo na msimamo unaoambatana na ushabiki huo. Msimamo wangu unabaki palepale. Maslahi makuu ya taifa kwanza, chama baadae! Pengine unauliza je, hayo maslahi makuu yanajulikana kwa njia gani? jibu langu ni hili: yanajulikana kwa miafaka ya demokrasia isiyokuwa na dosari ndani ya chama, yanapatikana kwa reason! Na 'reason' haina mihemko, haina upepo unaoziba ukweli.
 
Hivi kweli walikoongoza CHADEMA kwa kuwa na madiwani wengi siyo Babati Manispaa/Mji kweli? Hiyo halmashauri ya wilaya waliongoza ccm bwana!

CCM waliongoza Babati vijijini wakiwa 13 na CHADEMA 12,hata hivyo Babati vijijini wanamchagua mwenyekiti wa halmashauri wala siyo Meya.Babati mji ndiyo CHADEMA wameongoza kwa udiwani wakiongozwa na Paulina Gekul aliyemshinda Chambiri wa CCM.
 
Weka na kura zao tuone ili tujue kama hapakuwa na mamluki kwenye uchaguzi huo. Kumbuka yaliyotokea Arusha kipindi kile, maccm yalimpandika katibu wa ccm kuwa diwani wake kwa vile ni mbunge wa viti maalum. Ila kama kuna mwana-UKAWA kampigia wa ccm basi kazi ipo!! Hivyo tusishangae hata jiji la Dar kwenda ccm!!

Unashindwa kujua sasa hivi cdm ni ccm b
 
Back
Top Bottom