kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,247
- 16,169
Waliaandaa mpango ambao walikuwa na uhakika nao kuwa utaua vijana wengi wasio na hatia. Vijana walipewa pesa na ahadi lukuki kama watakubali kujitoa mhanga kuiangusha serikali. Waliwadanganya vijana kuwa jeshi litakuwa nao bega kwa bega huku wakijua kuwa wanawalaghai vijana.
Vijana walikufa, waliumia na wengine kushikiliwa na vyombo vya usalama. Hii ilisababisha nchi nzima kuichukia chadema kutokana na kupoteza watu wao na kuvuruga utaratibu mzima wa watanzania kwenye utoaji na utafutaji huduma. Usafiri, biashara, ajira, elimu, matibabu na masoko vyote vilivurugwa na chadema kwa muda mfupi nchi nzima. Uzalishaji ulisimama kwa siku kadhaa hivyo watu nchi nzima na nchi jirani zinazoitegemea tz walipata hasara na kuilani chadema.
Kule mbagala waliusubiri usafiri wa mwendokasi kwa muda mrefu sana ili kupunguza adha ya usafiri wa daladala. Walichukia sana chadema kuchoma mwendokasi na kusababisha adha ya uafiri wa daladala kurejea tena.
Wapo watu walipoteza wapendwa wao kwa ukosefu wa huduma za afya kutokana na vurugu za chadema, wapo wakulima ambao mazao yao yaliharibikia shambani kwa kukosa wanunuzi, na wako wafanyabiashara ambao bidhaa zao za mazao ziliozea kwenye malori kwa kushindwa kufika sokoni waliko wateja.
Vijana waliokufa na mateso ya wananchi yaliyosababishwa na chadema vinaifanya chadema kufa ghafla, ni kama vile wametoa sadaka ya kujimaliza wenyewe. Imekufa sasa na hata milele.