CHADEMA walishana yamini, kwa udi ama uvumba, maandamano kupigwa kona zote nchi

Sure mkuu chadema ni chama cha walaghai na wanaharakati kazi yao kushinda barabarani kuandamana na kukimbizana tu.
Wee nshakwambia unatumia akili kidogo nguvu nying....tatizo la kisheria kudai maboresho ya daftar la wapiga kura ni nin? Watu kuandamana kuonyesha hisia za kwa jambo fulan tatzo liko wap hapo?
 
Wee nshakwambia unatumia akili kidogo nguvu nying....tatizo la kisheria kudai maboresho ya daftar la wapiga kura ni nin? Watu kuandamana kuonyesha hisia za kwa jambo fulan tatzo liko wap hapo?

Nani aliwaambia kuandamana ndio njia pekee ya kuonyesha hisia zako?? Nyie mnaitukana serikali kuwa miaka 52 ya uhuru hakuna miundombinu sasa nashauri chadema mutumie anga sio hizi barabara zilizojengwa na serikali
 
Ikiwa bado chadema wapo katika Operation ya pamoja daima katika maeneo mbalimbali ya nchi sasa imegundulika main goals za hii operation. Watu wamekuwa wakiuliza ni nini msingi wa hii operation lakini kwa kufuaatilia hotuba za viongozi na makada wa chadema Dr Wilbroad Slaa, mh Mnyika, Tundu lissu, Godbless Lema, john Heche, joseph mbilinyi kwa nyakati tofauti na maeneo tofauti wamekuwa wakisema wazi wazi kuwa kama daftari la kudumu la wapiga kura halitarekebishwa tanzania itaingia barabarani kulidai.

Godbless Lema amesema hayo akiwa tabora, john mnyika nae amesikika jana mjini bukoba akisema haki ya kupiga kura haitaombwa, itapiganiwa, na ndugu tundu lissu akiwa sombetini alisema umma ndio mamlaka ya mwisho katika hili taifa, akaapa lazima daftari la kudumu la wapiga kura lirekebishwe laa sivyo maandamano yatapigwa kona zote za taifa.

Kanakwamba hiyo haitoshi ndugu Heche,mwenyekiti bavicha jana kusema chadema itatumia chopa kumi kuongoza maandamano angani wakati wapiganaji wengine watakuwa ardhini hii ni kama daftari la kudumu la wapiga kura halitarekebishwa

My take.
Siasa za chadema utafikiri hii nchi bado inatawaliwa na wakoloni, ninafuatilia sana kwa ukaribu aina ya matamshi ya viongozi wa chadema kwenye hii mikutano wanahibiri chuki dhidi ya serikali, wanawalisha sumu kali wananchi,kama tutaendelea kuilea chadema ipo siku watatugeuka na kutula nyama. Tukikataae hiki chama kwa nguvu zote.
Kwani wewe utaki watu wapate haki yao ya kupiga kura eeeh?
Mnataka wasiboreshe daftari la wapiga kura?
wewe upige wengine hutaki wawe na haki hiyo?
Kwani maandamano yanakudhuru nini wewe, wakati watu wanajibebea mabango wanapita barabarani kisha wanarudi makwao, wewe unaumia nini?
Tulieni vizuri dawa iwaingie!
 
kwa nini ccm wanogopa daftari la wapiga kura kuboreshwa.?

jibu lipo wazi, maccm yanajaribu kufanya kila mbinu kuwazuia vijana kufanya mabadilliko muhimu nchini. maccm yanaungwa mkono zaidi na wazee ambao mda wao umeisha na nape alishasema wanangoja kufa. CDM NI YA VIJANA NA WAZEE wenye upeo, so si ajabu kuyaona maccm yanazuia vijana kuingizwa kwenye utaratibu wa haki yao ya kupiga na kupigiwa kura. vijana wengi wanaokuwa sasa hivi hawaitaki ccm kwa sababu wanajua ni chama cha majambazi ya pembe za ndovu wa nchi hii.

lakini maccm yanajihangaisha tu...
kwa sababu ni vip utamzuia mama mjamzito kujifungua?
kama muda umefika ni kwamba umefika tu.
 
PHP:
Huu muda unaotumia kulia lia, waelekeze viongozi wenu kutumia njia sahihi sio kuleta fujo.

Acha ujinga ww mbeba box,kosa limefanywa na serikali yako ya ccm ndiyo iliyovunja sheria na kunyima watu haki yao ya kupiga kura tangu mwaka jana.Pambaf zako.FUJO NI NN???Nyonyonyo nyonyonyo nyo.
 
Kudai daftari la kudumu la wapiga kura ni kosa? Kwa taarifa yako, maandamano ni haki ya kiktiba ya kila raia kwa hiyo kama wamelishana yamini wewe una hofia nini au hutaki kuwepo na hilo daftari? Kwa uzi kama huu, unjionyesha kwa jinsi ulivyo na upeo mdogo wa kufikiri na jinsi usivyojua mambo.
 
Chadema hiki chama kimekufa jamani tuandaeni mpango wa kukizika siku yoyote.

Yaani wewe unajua habari za CDM tu na zile za CCM huzijui kabisa? Hali ilyopo CCM ya viongozi kukinzana kuhusu mawaziri mizigo kwa muono wako ndiyo dalili za uhai wa CCM? Usihangaikie moshi unaofuka nyumbani kwa jirani yako wakati kwako kuna ungua moto!
 
Chadema wanapoteza muda wao bure bora hizo nguvu wangezielekeza kwenye kilimo, kwenye siasa watanzania wameishawapuuza siku nyingi.
 
Kama nguvu ambazo mnatumia washabiki na makada wa CCM kuishauri au kuiponda CDM, mngezitumia kuishauri CCM, mimi nina amini kungekuwa na uwekano wa kuiokoa na maangamizi ambayo yako mlangoni.
 
Daftari la wapiga kura kuboreshwa ni suala la kidemokrasia tu, wanafunzi wa shule za kata waliopotezewa muda wao mashuleni kwa miaka minne wapewe fursa ya kuchagua viongozi wa kuwatawala katika chaguzi za serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu next year na kupiga kura za maoni. Bomu hili wanalosema ndilo liatakalo ondoa CCM.
 
Chadema wanapoteza muda wao bure bora hizo nguvu wangezielekeza kwenye kilimo, kwenye siasa watanzania wameishawapuuza siku nyingi.
Nani anakwambia wanachadema hawalimi wanakula nini kama wahalimi , serikali hii ambayo haina hata wafanyakazi laki tano ndio unajivunia, waliopuuzwa ni CCM na hawataachwa kwa kikundi hako kaendeshe nchi wanavyotaka kuanzia sasa ni speed governor tu serikali itaendeshwa kufuatana na kile wananchi tunakitaka kwa sasa habari ya mujini hakuna kura ya katiba mpaka daftari la kura liboreshwe
 
Ni kweli ilikuwa 2010 hii mwambia Dr Sla aende hapo leo asipohutubia watoto watakaoenda kushangaa chopa
blogger-image-1888611968.jpg


Sixgate, mbona unajiaibisha? mwaka 2010 hilo ghorofa la njano halikuwepo! unachangia hoja za kijinga mpaka unadhalilika. Ukikaa kimya ni bora zaidi kuliko kuendelea kudhalilika zaidi.
 
Daftari kuboreshwa ndio demokrasia yenyewe, punguza hofu mkuu.Hiyo OPD ni rasharasha tu, jua kali linakuja mbona.
 
Nani aliwaambia kuandamana ndio njia pekee ya kuonyesha hisia zako?? Nyie mnaitukana serikali kuwa miaka 52 ya uhuru hakuna miundombinu sasa nashauri chadema mutumie anga sio hizi barabara zilizojengwa na serikali
Cha muhimu ni daftari liboreshwe wananchi tupate haki yetu ya msingi na kikatiba kushiriki zoezi la upigaji kura.
 
Back
Top Bottom