Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Nimemsikia WM 'akitoboa siri' ya mwaka 2010 kwa kusema 'CDM waliposhinda' kisha akajikanyaga kanyaga. Ina maana CCM haiko madarakani kihalali?
Tafakari, chukua hatua.
Samahani sijakuelewa.
Thibitisha au uache uchochezi
Hata mimi niliisikia hiyo. Kumbe haya majitu ya CCM kweli yalishindwa uchaguzi.
Kaka ni kutupa tu uthibitisho wa yeye kusema hivyo wengine hatusikilizi redio wala kusoma magazeti even kisumbuzi hatunaMwambie Pinda athibitishe. Si mimi niliyesema hivyo.
Kaka ni kutupa tu uthibitisho wa yeye kusema hivyo wengine hatusikilizi redio wala kusoma magazeti even kisumbuzi hatuna
Mie mtanganyika mhangahikaji tu
Na bado wewe ni GAMBA?