SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,270
Radhia Sweety, Kwa mara ya kwanza leo nimekuelewa!Hata mimi niliisikia hiyo. Kumbe haya majitu ya CCM kweli yalishindwa uchaguzi.
Last edited by a moderator:
Radhia Sweety, Kwa mara ya kwanza leo nimekuelewa!Hata mimi niliisikia hiyo. Kumbe haya majitu ya CCM kweli yalishindwa uchaguzi.
Ameshaanza kutoboa siri zao?
Hah! Kumbe alitamka kabisa maneno hayo?
Pinda alisema, CHADEMA waliposhinda uchaguzi mkuu 2010 walisema nchi haitatawalika!Samahani sijakuelewa.
Na bado wewe ni GAMBA?
Nanukuu:
"CHADEMA walipoingia madarakani...(akasita kidogo),
waliposhinda uchaguzi walisema nchi haitatawalika"
Ndicho nilichosikia, akinukuliwa na Star tv news jana usiku.