Ndugu yangu najua Mwigulu amekuudhi unaongea kwa jazba na unatumia maneno unarudi kwenye ukweli. Unasema kama ni kweli walimu wapo waliokiuka wachukuliwe hatua naye ndivyo alivyo sema. Sasa ni kweli kijiji cha kaumbu na mwakwangu walimu waliwapa watu karatasi zikiwa tayari zimetikiwa. Mimi niseme tu Mwigulu hawi mvutaunga kwa kuitwa mvuta unga na hawi kilaza kwa kuitwa kilaza. Niliwambia kabla hajaenda igunga mkasema hivyohivyo, mimi nadhani wanajf huyu jamaa anatakiwa mkakati sio kumwita kilaza, the man is extremly smart na mimi sijaona kiongozi smart aina yake ndani ya CCM nikwambie ndugu huyu jammaaa nimchafuzi akipewa jukwaa anachafua kiasi kwamba watu wanaona cdm kama mavi vile. Kuna thread moja mtu alipost akasema jamaa anafaham kutumia mdomo wake, mimi nimepata kumsikia ni hatari sana. Pale igunga akina waitara walitangulia a month na walipita maeneo mengi ila alipopita Mwigulu watu wakabadilika. Kuna maeneo aliwambia watu wasimsikilize slaa akamchafua sana, amini slaa alipokwenda hakupata watu. Kwa hasira na kujifurahisha tunaweza kumwita jina lolote ila that boy sivyo alivyo ndio maana CCM imeongoza kura maeneo alikopita mh Mbowe na DR Slaa.sasa nasikia atakwenda mwanza na arusha anayebisha akamsikilize atajua ninachosema. Halafu nadhani kachanjiwa nini sijui akiongea watu wanatamani asimalize na wanafurahi kweli. Tukiendelea kumpuuza kuwa ni kilaza atatupiga na chaguzi zingine[/QUOTE
We bibi acha kujipendekeza, kama unampenda nenda kanywe nae chai, nyani we.
Jamaa nomaaa, Dk Slaa na Mbowe hawana hamu naye kabisaaaaa! Nadhani kwa sasa ni adui namba 1 wa CDM,, ni mikosi huyu dogo