CHADEMA wakwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Mbeya.

CHADEMA wakwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Mbeya.

Yani kwanza nyie ccm msahau kabisa kuja kutawala tena mbeya msijisumbue ImageUploadedByJamiiForums1386762866.996826.jpg
 
Hata viwanja vya makazi huwa hatuanzi ujenzi kabla ya kukamilisha malipo.Sasa hao mzumbe wanasheria tofauti na sheria inayotumika kwenye viwanja vya makazi?.Huyo meya anamtindio wa ubongo, na wewe uliye leta huu uzi uwezo wako wa kufikiri hauna tofauti na wa huyo mjinga mwenzako
 
Huyu meya wa mbeya ambaye ana elimu ya standard four, ndiye mkwamishaji mkubwa wa maendeleo ya Jiji la Mbeya. Chuki yake kwa vijana ndiyo iliyosababisha hata vurugu kubwa Jijini Mbeya iliyosababisha shughuli za kiuchumi na kijamii kusimama kwa siku mbili.

Kzi yake ni kuishambulia CHADEMA kila siku na hata maeneo ambayo vijana wanafanya biashara zao, amekuwa akiwatshia kuwahamisha, kisa tu, waaunga mkono CHADEMA. Hiki kitu kilipelekea hata CCM kupoteza jimbo la Mbeya Mjini.

Suala la Chuo cha Mzumbe liko wazi, huwezi kuruhusiwa kuendeleza eneo ulilopewa offer bila kukamilisha masharti ya offer,ambayo ni pamoa na kulipia eneo husika. Hajui sharia za nchi, kama anajua anataka zivujwe kwa makusui, ambayo ni ufisadi.

Hao Mzumbe wanatakiwa kumalizia hiyo pesa ndipo waendelee kujenga chuo.Hata viwanja walijiuzia pale Iwambi hawajalipa tayari wameanza kuendeleza.

Kweli kabisa atuambie pesa za soko la mwanjelwa mbona alihishi alafu angetoa maelezo kuusu zile mil 95 alafu asifikili atujui kuusu kiwanja chaiwambi anataka kusamee bil 1.3 iliapate 10% kapunga wewe ndio tatizo mbeya ndiomaana kwenye mgogolo na machinga ulikimbia
 
Kweli UJINGA HAUNA KIKOMO. Sasa ardhi inatakiwa kulipiwa bilioni mbili, wao mzumbe wamelipa moja. Sasa unataka waruhusiwe kujenga? Kivipi? Au wewe hujawai nunua kiwanja? utajengaje kwenye kiwanja cha watu? wakimaliza kulipa ndo ardhi itakua yao so hadi sasa ardhi siyo yao. Je wenye ardhi wakigeuza kibao kwamba mzumbe wameshindwa kulipa kwa wakati hawauzi tena, Mngefanyaje na kama mshajenga? Pambafuuuuuuu HATUKUBALI UJINGA SAFARI HII
 
katika mkakati wake wa kukwamisha maendeleo ya wananchi na Taifa kwa Ujumla, inaripotiwa kuwa Madiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya wamekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe katika eneo la IWAMBI jijini Mbeya. Imedaiwa kuwa licha ya chuo hicho kulipa sh. bilioni moja kati ya mbili zinazotakiwa na Halamashauri ili kukipa ardhi ya kujenga chuo hiko, bado madiwani wa Chadema wamekuwa mstari wa mbele kupinga kuanza kwa ujenzi wa chuo hicho wakidai mpaka kimalize fedha yote iliyosalia. .

Hivi unawezaje kuanza UJENZI kabla ya kupewa OFFER ua TITLE DEED? Offer au title deed hutolewa baada ya kuwa umeliza kulipa gharama za kumiliki ardhi/kiwanja. Sasa huyu Meya anasema kwamba Mzumbe wanaweza kuanza UJENZI bila kuwa na Title deed?

Swali la pili kama Mzumbe wanayo pesa ya UJENZI ambayo ni more that 1.3 bilion wanayodaiwa na Halmashauri ya Mbeya kwanini basi wasilipe kwanza gharama za uwanja kabla ya ujenzi?!.

Hivi Meya mzima unaweza kusimama na kuitetea Mzumbe badala ya Jiji lako. I smell a rat huyu Meya ameshachukua 10% sasa anaanza kubwabwaja. CDM kazeni uzi maCCM yamezoea kula bila kunawa including hilo li-Meya. Lazima jiji la MBY lipate pesa yake kama makubaliano yalivyo kabla ya UJENZI wa MZUMBE University kuanza.
 
Huijui mbeya,humjui kapunga,unasema ana ugomvi na vijana kwa lipi?ulitaka waendelee kuuza kwenye ile barabara ya makunguru,ilihali soko linajengwa?na pia unajua kuwa hao unaowaita vijana ndio kawapa ajira kwenye timu ya mbeya city fc,

UNAPOKUWA UNAONGEA KITU,KAA UTAFAKARI,SIO UNAKURUPUKA KA UMEKULA BAMIA MBICHI

Hivi wewe unawafahamu wachezaji wa timu ya mbeya city au unapayuka tu? ni wafanyakazi wa halmashauri, ofisi ya ras, na mashirika pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama!
 
Elimu yako NDOGO SANA,nahisi hata hiyo mechi hukuwepo,

Hivi unajua mkubwa wa halmashauri ni nani KIITIFAKI,?jibu rahisi tu,nenda kwenye PARKING ZA PALE NDANI,angalia kwenye vibao vya majina juu za Dali la parking parking,ndio utajua nani ni mkubwa kiutumishi pale MCC

tukirudi kwenye suala la mbeya city fc,inamilikiwa na halmshauri ya jiji mbeya,ambayo kiongozi wake mkuu ni KAPUNGA,ni moja wapo ya watu wakubwa wanaohamasisha vijana kujituma kwenye kila jambo

So usiwe unaropoka ropoka tu,ww una picha mm nina video ya hiyo mechi nzima na mkuu wa tawi la Rasmi la kwanza la mbeya city,na ni Shabiki Damu pia

I know MCCFC than how I know my family,so shout your F*Mouth
 
Wana chadema wao ni malaika hawafanyi makosa, mleta mada kaeleza vyema lkn wachangiaji wanavuruga kwa kuwa hawana hoja, usipoendana nao baadhi ya mambo utaitwa msaliti, mhaini, kila aina ya majina utapewa ww ona sasa mnavyotoa koment km hivi: Yani kwanza nyie ccm msahau kabisa kuja kutawala tena mbeya msijisumbue:::: Kapunga ndio mpiga dil namba moja wa Ccm mbeya ni mwizi alie kubuu kwa akika atabanwa hadi nafasi ya mwisho::::: Acha kuandika utumbo humu kati ya CHADEMA na CCM nani wakwamishaji wa maendeleo?:: Mungu awasaidie

cc. wanacdm hai wte
 
Wewe akili zako ni ndogo sana maana haujui Halmashaur ya jiji la mbeya imeundwa na madiwani wangapi wa Chadema wangap na ccm wangapi Hii ni aibu sana kwako Ku husu picha weka na wewe video yako ulio kuwepo ImageUploadedByJamiiForums1386764653.031970.jpg ImageUploadedByJamiiForums1386764715.445507.jpg ImageUploadedByJamiiForums1386764776.265719.jpg ImageUploadedByJamiiForums1386764862.848953.jpg
 
ya kukulupuka kuandika ujinga wako huu ulitakiwa kujua mambo muhimu kadhaa yakiwemo ya madiwani waliowengi ktk hilo baraza la madiwani hao wanaongozwa na chama gani kwani baadhi ya maamzi hayo huamliwa na kamati za madiwani kisha baraza la madiwani na kama swala ni kulipa eneo hilo kwanini wasilipe pesa yote ama walivyokwisha kubaliana ktk vikao tatizo hufanyi uchunguzi wala uchambuzi yani nyie wanaccm mkiambiwa kitu chochote hakuna uchunguzi nikulipuka tu na meya wenu huyo wa kichina nchi imewashinda ccm halmashauli zimewashinda vijiji,vitongoji,mitaa,kata vmewashina bunge ndousiseme subulini 2015 tuwang'oe na kilanga chenu hiki wa wizi
 
Wana chadema wao ni malaika hawafanyi makosa, mleta mada kaeleza vyema lkn wachangiaji wanavuruga kwa kuwa hawana hoja, usipoendana nao baadhi ya mambo utaitwa msaliti, mhaini, kila aina ya majina utapewa ww ona sasa mnavyotoa koment km hivi: Yani kwanza nyie ccm msahau kabisa kuja kutawala tena mbeya msijisumbue:::: Kapunga ndio mpiga dil namba moja wa Ccm mbeya ni mwizi alie kubuu kwa akika atabanwa hadi nafasi ya mwisho::::: Acha kuandika utumbo humu kati ya CHADEMA na CCM nani wakwamishaji wa maendeleo?:: Mungu awasaidie

cc. wanacdm hai wte

kama hawana fedha ya kulipia ardhi ...fedha ya ujenzi watatoa wapi........halafu mzumbe chuo kikubwa hawawezi kukosa bilioni 1 ya kulipia hiyo ardhi.............kuna kamchezo baadhi ya watu wanataka kufanya
 
Huijui mbeya,humjui kapunga,unasema ana ugomvi na vijana kwa lipi?ulitaka waendelee kuuza kwenye ile barabara ya makunguru,ilihali soko linajengwa?na pia unajua kuwa hao unaowaita vijana ndio kawapa ajira kwenye timu ya mbeya city fc,

UNAPOKUWA UNAONGEA KITU,KAA UTAFAKARI,SIO UNAKURUPUKA KA UMEKULA BAMIA MBICHI

acha kutokwa povu msafwa mchafu we! acha kuitumia mbeya city kama kichaka chenu cha utetezi, pesa zilipwe ujenzi uendelee
 
Kapunga ni mjinga sana yeye ana walazimisha madiwani wawasamee Mzumbe bilioni 1.3 ambazo ni pesa za halmashauli ya jiji la mbeya wakati huo huo almashauli ya jiji la mbeya iliasha kopa crdb bilion 1.5 kwa ajili ya kuwalipa fidia wananchi wa maeneo hayo sasa basi iyo ni akili au matope? Mtu unadaiwa arafu wewe unae mdai unamsamehe hii niakili kweli maana mzumbe ni moja ya vyuo vikuu vikongwe hapa tanzania na wanapewa ruzuku nyingi toka Serikarin sasa iweje wachukue bule adhi ya halmashauli? Huu ni wizi na sisi kama chadema hatuta kubali kama anataka kupiga dili yeye kapunga na wenzake

Kwani Huo Mkopo wa bilioni 1.5 mmeambiwa mlipe wote kwamkupuo? Mnashindwa nini kuwawekea Mzumbe masharti ya kumaliza deni lao la bl 1.3 hali wakiendelea na ujenzi ili muwahi kunufaika na maendeleo na kodi mbalimbali?
 
katika mkakati wake wa kukwamisha maendeleo ya wananchi na Taifa kwa Ujumla, inaripotiwa kuwa Madiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya wamekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe katika eneo la IWAMBI jijini Mbeya. Imedaiwa kuwa licha ya chuo hicho kulipa sh. bilioni moja kati ya mbili zinazotakiwa na Halamashauri ili kukipa ardhi ya kujenga chuo hiko, bado madiwani wa Chadema wamekuwa mstari wa mbele kupinga kuanza kwa ujenzi wa chuo hicho wakidai mpaka kimalize fedha yote iliyosalia. Meya wa Jiji la Mbeya Athanas Kapunga alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wakazi wa Jiji hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la soko Matola jijini hapa. Alisema mkoa wa Iringa unaongoza kwa kuwa na vyuo vikuu vingi, lakini Mbeya ina matawi ya vyuo vikuu huku kukiwa na vyuo vikuu kamili viwili ambavyo ni cha sayansi na teknolojia Mbeya (MUST) na kile cha Teofilo kisanji (TEKU) kwa mujibu wa Kapunga Mzumbe Kujenga Chuo kikuu eneo la Iwambi watakuwa wanazidi kuliboresha jiji hilo. Pia watasaidia kutoa ajira kwa wakazi wa jiji hilo na vitongoji vyake. Aidha alisema Halmashauri ya jiji itanufaika na ukusanyaji wa kodi ya majengo yatakayojengwa huku mamlaka ya Maji safi na Usafi wa mazingira jiji la Mbeya, Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mbeya nao wataweza kuongeza wateja hivyo kuinua zaidi uchumi wa jiji hilo. Meya huyo alisema CHADEMA kupitia madiwani wao, wanakwamisha kuanza kwa ujenzi huo, kwa madai kuwa jiji linataka kutoa eneo bure kwa Chuo hicho ama kuwauzi akwa bei nafuu.
Mkuu security guard , linaonekana kuwa ni tatizo dogo, lakini kuchagua ma-F4F ambao hata thamani ya elimu hawaijui ni kujiletea majanga katika maendeleo.
Sehemu nyingine zenye wasomi na wananchi wanaotambua umuhimu wa elimu, tena ya juu-sehemu kama Moshi,Arusha na hata Kagera, ENEO LA CHUO KIKUU LINGETOLEWA BURE!!!

Matokeo ya kuchaguawauza mitumba na wapiga miluzi kama Sugu ndio matokeo yake-upeo wa kuona mbali hakuna.
 
Last edited by a moderator:
katika mkakati wake wa kukwamisha maendeleo ya wananchi na Taifa kwa Ujumla, inaripotiwa kuwa Madiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya wamekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe katika eneo la IWAMBI jijini Mbeya. Imedaiwa kuwa licha ya chuo hicho kulipa sh. bilioni moja kati ya mbili zinazotakiwa na Halamashauri ili kukipa ardhi ya kujenga chuo hiko, bado madiwani wa Chadema wamekuwa mstari wa mbele kupinga kuanza kwa ujenzi wa chuo hicho wakidai mpaka kimalize fedha yote iliyosalia. Meya wa Jiji la Mbeya Athanas Kapunga alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wakazi wa Jiji hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la soko Matola jijini hapa. Alisema mkoa wa Iringa unaongoza kwa kuwa na vyuo vikuu vingi, lakini Mbeya ina matawi ya vyuo vikuu huku kukiwa na vyuo vikuu kamili viwili ambavyo ni cha sayansi na teknolojia Mbeya (MUST) na kile cha Teofilo kisanji (TEKU) kwa mujibu wa Kapunga Mzumbe Kujenga Chuo kikuu eneo la Iwambi watakuwa wanazidi kuliboresha jiji hilo. Pia watasaidia kutoa ajira kwa wakazi wa jiji hilo na vitongoji vyake. Aidha alisema Halmashauri ya jiji itanufaika na ukusanyaji wa kodi ya majengo yatakayojengwa huku mamlaka ya Maji safi na Usafi wa mazingira jiji la Mbeya, Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mbeya nao wataweza kuongeza wateja hivyo kuinua zaidi uchumi wa jiji hilo. Meya huyo alisema CHADEMA kupitia madiwani wao, wanakwamisha kuanza kwa ujenzi huo, kwa madai kuwa jiji linataka kutoa eneo bure kwa Chuo hicho ama kuwauzi akwa bei nafuu.

Nashauri wawalipe pesa zao that is business .Wao mwanafunzi akiwa hana pesa hurudishwa tu nyumbani .Now get it clean and clear lipa pesa anza ujenzi do not play siasa hata pasipo na sababu .Business unalipa una achana na kudaiwa .
 
Walipe pesa iliyo bakia kisha wajenge.
 
Nashauri wawalipe pesa zao that is business .Wao mwanafunzi akiwa hana pesa hurudishwa tu nyumbani .Now get it clean and clear lipa pesa anza ujenzi do not play siasa hata pasipo na sababu .Business unalipa una achana na kudaiwa .

Ukikosa ada Mzumbe wanaweza kukuruhusu usome ukimaliza ndipo ulipe ada?
 
Kama chuo cha Mzumbe kina hamu sana ya kuanza kujenga hicho chuo bila ya kumaliza deni kwa Halmashauri, basi lazma wasainishe some sort of collateral ili wakija shindwa kulipa hilo deni nasi Halmashauri ijilipe fidia! Kwa kuanzia wanaweza kufikia mhafaka wa kuyaweka rehani majengo yanayotakwa kujengwa kwa halmashauri. Ni hilo tu hamna hiyana maana Mzumbe pia hamna mtu anasoma bure "tumia pesa ili utafute pesa"!
 
Back
Top Bottom