Kumpokea na kumuweka wapi???
Siamini ninachokisoma hapa..kweli EL ana mkono mrefu. Nini alichonacho EL ambacho hakipatikani ndani ya CDM?. Huyu jamaa akiingia huko haya ni baadhi ya mambo ambayo hayatakwepeka
1. Dhambi ya makundi kushamiri ndani ua chama
2. Kutoweka kwa tofauti kati ya CDM na CCM katika kupiga vita rushwa na ufisadi
3. Watanzania kuaminishwa kirahisi kwamba CDM ni chama cha kifisadi kwa kurejea matamko ya awali ya CDM dhidi ya EL, RA, CHENGE n.k
4. CDM kukimbiwa na wanachama na viongozi wengi..na labda kushihudia kuibuka kwa chama mbadala wa CDM haraka sana!
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Arusha, Samson Mwigamba, amesema kuwa yeye yuko tayari kumpokea hata Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, endapo ataamua kufanya uamuzi wa kubadilika na kujiunga na CHADEMA.
Lowassa akiamua kuondoka CCM ni lazima atakuwa na sababu za kufanya hivyo, lakini na sisi ni lazima atatueleza juu ya tuhuma mbalimbali za ufisadi zinazoelekezwa kwake, tutamsikiliza, tukimwelewa hatutakuwa na sababu ya kumnyima uanachama, alisema.
Source: Tanzania Daima
My take: Nimeanza kuamini kuwa inawezekana kabisa Lowassa anaandaliwa mazingira ya kusafishwa.

STIDE najua EL amechafuka lakini kumbuka politics is a dead game anaweza kuja na gea ya kumshambulia Kikwete, am sure wananchi wataanza kumkubali waki-refer matatizo waliyonayo na rais wao. Na nikuambie my friend, wananchi wengi vijiji hawajui makosa ya Lowassa wala hawajui Richmond ni mdudu gani ni mimi na wewe tu wenye uelewa kidogo the rest EL kwao ni hero si tunaona anavyopokewa akienda makanisani? Mimi nakwambia Lowassa akipata mpiga kinubi mzuri na Lowassa mwenyewe kuanza kumrushia madongo ya waziwazi Kikwete atarudi upya kwenye political arena. Mwisho hata mimi na wewe hatuna uhakika kama Richmond ni yake au kambebea mtu.Feedback mkuu wangu, hapo ulipo bold utapatenganishaje na Lowasa ikiwa aliyeshindwa Arusha ni mtu wake(Batilida)
Ukisema CCM wanaunda propaganda kumchafua mtu, usisahau kwamba hata Lowasa pia ni mmoja wao. Alafu pia Millya ishu yake ni tofauti na Lowasa, Millya hatotughalim kumsafisha, hana madhara ki-propaganda kutoka CCM lakini huyu mwizi Lowasa tukimkubali tu, tumekwisha!! Ataongea nini kwa wananchi ambao wanajua ndie aliewafikisha hapa walipo?
"HAKIKA VIONGOZI WOTE WA CDM WATAZOMEWA NA KUPIGWA MAWE KILA MAHALI KWASABABU YA HUYU MWIZI!!"
Mlezi wa chama kama Sabodo wa CCM.Kumpokea na kumuweka wapi???
Ngoja ninunue hilo gazeti kwanza maana siamini kuwa ni Mwigamba ninayemfahamu. Huyu akiingia cdm siku hiyohiyo naachana nacho na kadi yao nawarudishia pale ngome

Lowassa akitubu madhambi yake tumkaribishe chadema, kwani binadamu hasamehewi?