CHADEMA wako miungu watu,wako juu ya katiba

CHADEMA wako miungu watu,wako juu ya katiba

Aaah, unafikiri zile zama za kuwadanganya watu wa vijijini kwa kuwaambia kuwa ukimchagua huyu (mnaonyesha picha ya mgombea wa ccm) ndio unamchagua nyerere bado zipo! Kitambo watu wameshaelimika na wanajua ngonjera za ccm zikoje. Yaani watu karibu wote hata wa vijijini wanajua ccm ilikaa kikao kutafuta mbinu za kudoofisha am kuua kabisa cdm, kwa hiyo mkianza tu, watu wanajua ni zile mbinuuuuuuuuuuuuu
 
Mchukueni kibaraka wenu, mtafutieni chama kingine akahariabu huko

Mwanzo alionekana anafaa akachaguliwa kwa kura nyingi.Ikumbukwe Shonza alishinda kwa kura,hakushinda kwa kuteuliwa kama Heche alieshinda kwa nguvu za miungu watu ndani ya chama.Leo kusema ukweli ndio iwe nongwa.Huyu Dr yeye amekua mkaaa safi.
 
We masalia Juliana Si alikanusha kuwa amefukuzwa, sasa hapa mapovu ya nini wakati alitangaza kuwa ni mwanachama hai wa chadema tena bado makamu mwenyekiti.?
 
We masalia Juliana Si alikanusha kuwa amefukuzwa, sasa hapa mapovu ya nini wakati alitangaza kuwa ni mwanachama hai wa chadema tena bado makamu mwenyekiti.?

Mtawabatiza watu majina mtakavyo ila ifike hatua CDM lazma kiwe kama kinavyojipambanua kwamba ni chama cha uma,watu wachache hawana haki ya kukiweka hiki chama mfukoni!
 
Back
Top Bottom