Wana Chadema wamejipanga, wamejidhatiti kuhakikisha 2015 wanachukua nchi, na endapo watashindwa na CCM
Watatumia nguvu ya Umma kuindoa CCM madarakani. Maandamano ya karibuni ya Waislamu yamewashtua sana
Chadema na wamekiweka chama chao njia panda...
Mimi sina Chama chochote cha siasa, lakini nimeona haya Maandamano ni tishio kubwa sana kwa Chadema.
tishio kivipi?funguka zaidi.
By the way leo nimefurahi umeongelea siasa na kuweka ngono pembeni.
Kwa jinsi Watanzania tulivyoliona Jeshi letu la Polisi lilivyojipanga na maandamano ya Waislam pamoja na JWTZ, Chadema ninavyowajua walivyokuwa waoga wakijaribu kufanya maandamano bila kibali watajuta hapo ndio watajua nidhamu ya vyombo vyetu vya ulinzi vinavyofanya kazi.
Sichanganyi siasa na dini..huo ndio ukweli mkuu
usiogope ukweli, usiwe mnafiki, usifiche ukweli, mficha uchi hazai
Is he okey in his head Huyu?i can't make any out of his statements!Nakupa mfano, Kuku(Chadema) anapigana na Mwewe(CCM) asichukue vifaranga vyake, at the same time wanatokea mapaka shume(Wanaharakati) na wao wanataka kumla Kuku...
Huyu nae.Kwa jinsi Watanzania tulivyoliona Jeshi letu la Polisi lilivyojipanga na maandamano ya Waislam pamoja na JWTZ, Chadema ninavyowajua walivyokuwa waoga wakijaribu kufanya maandamano bila kibali watajuta hapo ndio watajua nidhamu ya vyombo vyetu vya ulinzi vinavyofanya kazi.
Sichanganyi siasa na dini..huo ndio ukweli mkuu
usiogope ukweli, usiwe mnafiki, usifiche ukweli, mficha uchi hazai
Wana Chadema wamejipanga, wamejidhatiti kuhakikisha 2015 wanachukua nchi, na endapo watashindwa na CCM
Watatumia nguvu ya Umma kuindoa CCM madarakani. Maandamano ya karibuni ya Waislamu yamewashtua sana
Chadema na wamekiweka chama chao njia panda...
Mimi sina Chama chochote cha siasa, lakini nimeona haya Maandamano ni tishio kubwa sana kwa Chadema.
Tuko na safari ndefu sana kuiondoa CCM madarakani