Chadema wako aware

Chadema wako aware

Shime kwa kuling'amua hilo jaama, big up sana!!!!!!!!!!!!!!!!!! Na wapo wengine wawili pia wakifukuzia uongozi pale BAVICHA nao mkaweke uzio mapema.

naomba kila mpenda mabadiliko aelewe chadema wako macho tena yamefunguka yote kabisa na wanajua kabisa ccm wana intelligent ya kizamani ya kuvuruga vyama vingine
yule mzee shibuda ilikuwa na mojawapo ya intelligent ya kizamani ya ccm,japo walivyoanza hakuna aliyejua😛eep:
 
Hicho ni kilema kikubwa saaaana cha huyu mwenzetu Zitto Zuberi Kabwe; ni mtu mwenye KIFUA CHA MOTO NA KUWASHA saaaana, jambo ambalo litamnyima milele nafasi ya kuweza kuongoza hata mkoa tu.

Wengine tuko pembeni tunamtazama tu.

hivi zito bado hajazoea madaraka ? Habadiliki na asinichukie kwani mm muislamu mwenzake manake ugonjwa wake udini , yaani hata akichangia hoja kikao cha ndani anatangaza ? Umaarufu gani anaotamani mbona anajulikana tz yote hata kipindi cha bunge c unaonekana badilika kaka
 
Wewe Mr.Mak ndio mdhaifu wa kufikiria kweri kweri. Ok, kama hawa CDM hawataleta mabadiliko je unataka watu wawe passive?. Wewe huoni mazao yeyote ya jitihada ya CDM kwa faida ya taifa letu. Au na wewe ni miongoni wa vibaraka walio hapa jamvini kutaka kuvunja mioyo ya watu. Tambua kuwa wanosoma jamvi hili wanauelewa mkubwa sana. Huwezi uka leta mawazo dhaifu kama hayo yakasikilizwa hapa. So far tunakisapoti CDM si tu kwa ushabiki, na wala hatujasema kuwa wao ni watakatifu , lakini wameonyesha nia ya thati ya kulikomboa taifa hili ambao sisi sote tuna jua kuwa linakoelekea si salama kabisa bila jitihada kama hizi.
 
Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png


Join Date : 29th April 2011
Posts : 59
Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 21

icon1.png
Re: Chadema wako aware


mbw anachofanya n kuhakikisha kuwa anawateua watakao mlinda,yaani unakosoa ccm na kisha unaishi kama ccm tena zaidi yake,...na ww roseregia tukisema umetumwa utabisha?

Nafikiri Bwana Mkuki moyoni umeingia humu kwa kazi ya kutumwa na si mapenzi yako binafsi. Umejiunga JF tarehe 29/04/2011 na leo ni tarehe 03/05/2011 tayari unamefikisha post 59 sawa na wasitani wa post 15 kwa siku au post 1 kwa kila saa katika masaa 16 ya kuwa macho (saa 12:00 asubuhi mpaka saa 4😱o usiku. Huu ni uwajibikaji mkubwa kwa aliyekutuma.
​
 
Mbowe is the Best CEO for CHADEMA! hata watu wasipokubali lakini ni ukweli, mbona NCCR kipo chali? Mbona CUF kipo chali?
Mnyonge anyongwe ila haki yake apewe. Mbowe toka amechukua Madaraka ya uenyekiti toka kwa Makani kazi ya kujenga Chama aliyoifanya haipaswi kubezwa hata kidogo. Kama binadama anaweza kuwa na makosa yake, ila tumeona jinsi alivyo ijenga CDM hadi kuwa tishio katika siasa za TZ licha ya kukabiliwa na changamoto nyingi na mizengwe toka CCM na serikali yake na bado CDM inazidi kuwa imara nchi nzima. Tumeona wenyeviti wenzake jinsi vyama vyao vinavyo wa poromokea kama Kikwete na CCM,Lipumba na CUF, Mbatia,Mrema,Mtikila na blabla zingine. Anahitaji support yetu sote ili atimize yale tuyatakayo.
 
Msekwa alilalamika CCM kuumizwa huku JF. Nadhani CCM iliamua kutumia JF kifisadi. Ndio maana ikatuma watu huku ambao kazi yao ni kupaka CHADEMA matope kwa njia za uongo. Watanzania wenzangu tusikubali kuyumbishwa na vibaraka wa CCM.

CCM ni kizazi cha nyoka. Wamewaumiza sana Watanzania kwa miaka mingi. Sasa lazima wakae benji. Hata wakituma watu huku namna gani ni bure, hatudanganyiki.
 
kama unategemea mabadiliko kupitia chadema umekosea, wanatumia udhaifu wako wa kufikiria na kukudanganya kuwa ni wapambanaji.sina haja ya kutibua ladha yako kwao lamsingi endelea kuwasoma na mwisho utaelewa kama hakuna mpambanaji

Unatumia nini kufikiri maana hata busara kidogo huuna nani wanadanganywa kati chama cha magamba na wafuasi wa CHADEMA. Nyie ndio mnadanganywa kwa kupewa vifedha ili muvamie JF kupinga kila kitu cha Great thinkers
 
Watu kama akina Mukama, Bashe, Nape, LOwasa, Kenge NK hawana nafasi CDM:second:
 
kama unategemea mabadiliko kupitia chadema umekosea, wanatumia udhaifu wako wa kufikiria na kukudanganya kuwa ni wapambanaji
Kwani CCM Inavyowadumaza akili za Kufikiri hamuoni??? CDM inavyotaka kuwafumbua Fikra bado hamfumbuki...CCM Imewaabukiza Chronic Disease ya Kutokuwa Reasonable!
 
Back
Top Bottom