nkosiyamakosini
Member
- Nov 4, 2010
- 83
- 3
Chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA, kimekiri kwamba mbunge wake wa arusha, Godbless Lema alishikiliwa na kuhojiwa vizuri na polisi kufuatia fujo zilizojitokeza kwenye uchaguzi wa meya wa jiji, ila walisisitiza kuwa uchaguzi haukuwa halali kutokana na walichokiita kutofikiwa 2/3 ya wajumbe husika.
Hawakufafanua ni kwanini na kama ni kweli.
Meya na naibu meya ni kutoka CCM na TLP kwa sasa. Thanks
CHADEMA ni watu wazushi na wasio na msimamo, ni watu hatari na wakuogopa kama ukoma. Ni watu ambao wanajifanya wapo kwa ajili ya watanzania kumbe sio, ni chui aliyejivika ngozi ya kondoo

Kweli mfamaji haishi kutapatapa!

vipi CCM na CUF?CHADEMA ni watu wazushi na wasio na msimamo, ni watu hatari na wakuogopa kama ukoma. Ni watu ambao wanajifanya wapo kwa ajili ya watanzania kumbe sio, ni chui aliyejivika ngozi ya kondoo
Hivi hawa wazushi wasowahurumia watanzania masikini wanatafuta nini hapa kwenye JF?