Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Out of the topic, hivi kwa nini mtu ukiwa critical na mtizama pande zote za shilingi unapewa majina mengi kama mtetezi/kuwadi/kibaraka wa mafisadi and so forth?
But is this CHADEMA's decision or Asha's?
Mbona FMES, FD na baadhi ya wengine humu wanatazama pande zote mbili lakini hawapewi majina hayo? Tatizo ni pale mtu anapotetea mambo ambayo inaonyesha wazi kabisa kuwa hata yeye hayaamini. Anapotetea mambo yasiyoteeka.
Kwani wewe Icadon ushawahi kuitwa fisadi? Mbona michango yako humu inasimamia ukweli tu, hata kama ukweli huo uwe ni wa upande gani?
Asha
This is good. At least you agree with me that you are biased towards CHADEMA. Point noted.
___________________________
QUESTIONS....Kwani what is your problem, mbona unahangaika kama mtu aliyelalia godoro lenye kunguni? kwanini msimamo wa mwanakijiji unakukwaza namna hiyo?This is good. At least you agree with me that you are biased towards CHADEMA. Point noted.
___________________________
Mkuu MJJ,
WHY DONT U PRETEND THAT MWANAKIJIJI DOES NOT EXIST, I ASSURE YOU, YOU WILL FEEL SO MUCH BETTER (USHAURI)Sidhani kama ukiweka majibu ya kutosheleza kama kuna atakayeendelea kukufuatilia. Lakini ukiwa na questionable answers, ni haki ya mtu yeyote kuendelea kuchoknoa.
Ila kiukweli ni kuwa nimekuwa-disappointed sana na partisanship yako. Sidhani kama kuna mtu yeyote ambaye anaweza akawa na mchango wa maana hapa mtandaoni kama atakuwa anaweka upendeleo wa kichama mbele kuliko maslahi ya wanaJF au nchi.
Out of the topic, hivi kwa nini mtu ukiwa critical na mtizama pande zote za shilingi unapewa majina mengi kama mtetezi/kuwadi/kibaraka wa mafisadi and so forth?
Some of us are here for and only for our lovely country TZ and keep our ideologies and affiliations if any to our own. We will have to double our efforts rid them of this ubumbuazi. May God Bless Tanzania.
___________________________
This again sounds absurd to me; by implication and extension of yout statement, anybody who declares an allegiance to a certain ideological inclination ceases to be "for and only for our lovely country TZ". It looks like there are plenty of us in this forum who direly and urgently need to take civil and civic lessons!
kitila i think you didn't understand what the guy meant by that statement. the guy has openly declared(he has the right to do so ) that regardless to the ideologies he might be inclined to, to him the love for the country is number one. myself i have some doubt that, to some people the love for their political parties might exceed the love for the country, or the love for their parties might be the same as the love to the country. what the guy has done is openly declaring the distinction between what comes first, the love for the country or the love for ideologies! and i think he might be right!.
Gamba,
Thanks for putting my statement into perspective. I hope Kitila and others who didn't understand or didn't want to understand, will read and appreciate your marvellous explanation.
It truly bothers me a lot, to see JF gets hijacked into partisanship, even by some of our highly regarded members. There is little regard to the fate of our beloved country that is crumbling or even democracy that we are struggling to attain when their parties are in discussion. I hope those infused in this mindset will realise that they are becoming neither helpful to their country nor to their respective parties.
Mungu Ibariki Tanzania.
________________________
You always want somebody to explain your bluffs
You have been trying to get this forum into a tribal crash with little success but then out of blue you pretend to be above ... whatever you call!?!
Mhh, which GOD are you talking about here!
MwK,
It will be a waste of time to debate with you anything unless you tune your messages to reflect your age.
It is sad that you question the patriotism of other people who seems not to agree with you. You do so by suggesting that because they don't discuss what you want them to discuss then they probably don't love the country the same way that you are. By doing so, you elevate yourself as the only one who loves the country more and dearly than anyone else. To you, anyone who does not dance at the call of your tune he is either partisan or unpatriotic.
By doing so you are committing two fundamental errors:
Ya kwanza ni kujivika umonitor wa patriotism ya watu kwa sababu hawaimbi na kucheza ngoma yako na kwa vile hamuangaliani kwa hoja basi unaamini ya kwako ina nguvu zaidi and everyone should agree with you or do what you want them do instead of convincing them by the plausability and validity of your own arguments. You have failed to do so and resorted in name calling and put downs.
La pili, ni kulazimisha hoja kwa kuamua kupachika watu lebo (branding and name calling), kwamba kama mtu mawazo yake ni kinyume na CCM basi basi ni mpinzani au Partisan na kama mtu anatetea msimamo au mawazo yanayolingana na ya chama fulani basi unampa uanachama wa chama hicho. To you there are no non-affiliated people; aidha mtu yuko kwenye CCM au yuko kwenye upinzani.
Mimi nimeshachukua msimamo wangu na msimamo wangu ni wangu. Wewe hutaki badala yake kama wenzio kabla yako umeona kuwa msimamo wangu unatetea Chadema na hivyo umeniona mimi ni mwanachadema ingawa nina uhakika hujui hilo na hakuna ushahidi wowote wa mimi kudai kuwa ni mwanachama wa chama fulani isipokuwa pale nilipoomba kadi ya CCM. Let me be very clear; nikiamua kujiunga na chama chochote itakuwa ni uamuzi wangu na sina sababu ya kuficha. Kama mawazo yangu yanakubaliana na mawazo ya chama fulani siwezi kuyakana mawazo yangu kwa sababu yanalingana na ya chama hicho. Kama fikra zangu zinakubaliana na mawazo ya mwanasiasa au kiongozi fulani, sioni ubaya wake na siwezi kuyakana kwa sababu nitaonekana "nafanana" na mtu fulani kifikra. Ni woga wa kutokukomaa kuficha mawazo yako kwa sababu utaonekana partisan.
Kwa hiyo, tunapopingana kwa hoja ni lazima kuna wakati hatutakubaliana na wakati mwingine tukawa tofauti sana. Lakini hiyo haikupi wewe haki yoyote ya kuanzeza kutengeneza vibao kama vile vya "Speak English" na kuanza kuvitundika kwenye shingo za watu kwa sababu watu hao hawaoni unavyoona wewe au hawataki kuona unavyoona wewe.
In the arena of ideas, it is health to have different and opposing ideas for it is in such atmosphere the best ideas would image and the best course of action taken. To demand that people should have certain ideas is inherently flawed and categorically wrong.
I hope you'll learn slowly to cherish different opionions badala ya kuona anayepingana na wewe au anayepinga unachosema basi ni mwanachama wa chama fulani na yawezekana haipendi nchi kama unayvoipenda wewe.
SOME TIMES I THINK SO TOO,FILLING THE JF DATABASES WITH CHEAPSHOTS, ADHOMINEMS, AND UNFORTUNATELY COSTING OUR GOOD INVISIBLE's PRECIOUS TIME TO PERFORM THE DATABASE AND SERVER UPGRADES AT THE TIME HE DIDN'T PLAN TO DO SO, COMING TO REALIZE THAT SOME OF THE REASONS IS BECAUSE OF THE MISUNDERSTAND AND THE MISUSE OF THE "WHERE WE DARE TALK OPENLY" SLOGAN, AND THE ILLUSIONED ATTENTION WHICH SHE SEEM TO ATTAIN OR DREAM ABOUT, LETS KEEP ON MOVING PERHAPS AKIKUA ATAACHA ,
gamba la nyoka
Mkuu MJJ, You are very wrong in this.
I have never questioned anyones patriotism, but I think you failed to differentiate between partisanship and patriotism. I am against partisanship that surpass national interests, and would suggest that you read my postings again.
Umonitor?? If not based on partisanship, Ill take it. Otherwise, thanks for your consideration.
Debating is about enforcing ones point of view while hoping to win the argument. But in JF, ones different point of view or disagreement is always equated to ufisadi, and all those other slanderous names. This is really sad for our JF.
By the way, I havent called MJJ any derogatory name, but of course some of MJJ cheer leaders, Ref. to Mwafrika wa Kike and Ashas postings, have called me some names.
Most of us are against CCM as well, but not all of us are pro particular party. MJJ, if your views are strongly towards a specific party, it is fine with me but also I dont see if it is wrong for someone to highlight that. I have said b4 and I recollect here that you, MJJ, have shown to be sympathetic and even biased towards CHADEMA. This is how I observed your conduct in the JF and to highlight that I am sure is not equal to a name calling.
I accept the decisions you make and cant alter any of them. But if they are always partisan, well have to call them for what they are.
Mawazo tofauti ndo yanayojenga. Shida ya JF ni kuwa unapokuwa na mawazo tofauti, unabandikizwa majina. Nimeshabandikwa mengi na watu kama Mwnanamke wa Kike na Asha Abdala, lakini most of the time nimewapuuza. Hilo la kwako la speak English ndio nalisikia leo. Postings zangu haziko perfect, lakini najitahidi sana kutumia lugha nzuri iwezekanavyo hata pale ninapowajibu wenye karaha.
___________________________
KJ.. hii mada ilikuwa nzuri sana lakini uliiacha ipoteze mwelekeo. Tusaidie turudi kwenye mada yenyewe.
MJJ,
Hii niliimalizia vizuri kabisa kwa kumtaka Asha atuletee hiyo email iliyotoka CHADEMA, lakini sijui nini kilichotokea hadi hivi sasa.
Msg ilipotea tu pale nilipoanza kushambuliwa na kuitwa Fisadi n.k. Lakini jibu halisi halikupatikana maana Asha hakueleza tena kuhusu hiyo email wala hakurudia ile signature yake ya awali.
______________________________