Nimeandika barua pepe na CHADEMA kwamba kama nataka niendelee kutumia hii signature:
CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya Nguvu ya Umma na kuamini katika itikadi ya Mrengo wa Kati. CHADEMA inawataka Watanzania kuelewa kwamba mabadiliko ya kweli yataletwa na kubadilisha mfumo wa utawala. Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kile kile, chenye uoza ule ule, wakiendeleza yale yale kwa ari, nguvu na kasi mpya. CHADEMA inatambua kwamba kwa falsafa ya Chukua Chako Mapema (CCM), Tanzania yenye neema kamwe haitawezekana
Ambayo ni maneno rasmi ya CHADEMA yaliyoko kwenye tovuti ya chama basi niache kuandika mipasho humu JF.
Nimewaambia sitaweza kunyamaza pale ninapotakiwa niseme ukweli. I will always call a spade a spade. Kwa hiyo natangaza rasmi kuacha kutumia hii signature. Badala yake nitatumia hii
Huu ni mwanzo wa mwisho wa Chama Cha Mafisadi(CCM), hakuna dola idumuyo isipokuwa ya Mungu tu. Ni wakati wa vyama mbadala, kimoja wapo kipo hapa www.chadema.net, mabadiliko ni chakula kisichokifu
Habari zenu wa JF. Nimeona ujumbe huu wa huyu mtu aliyukuwa anatumia CHADEMA kama ujumbe wake. Mimi kwa upande wangu huyu ni mstaarabu sana maana huwezi kujua hao waliomkataza kama ni wanachama kweli au wanachama feki. Kwenye vyama hasa hivi vyenye kuweka UTAIFA mbele kuna mamluki wengi sana ambao wako pale kwa mambo mengine. Hivyo kuondoa mitafaruku muache atumia ujumbe mwingine ambao pia unatuma message kama ileile ila kwa maneno mengine.
CHADEMA ni chama chenye watu wengi hivyo pia kila mtu akiamua kutumia ujumbe wa chama inaweza kujenga chama au kuharibu kama nilivyosema juu. Mwingine anaweza kusema yeye ni CHADEMA akamwaga sera za ajabu ambazo hazijengi huoni hapo atakuwa amekiharibia chama? Nafikiri chama kibaki chama na individual abaki hivyo.
Kila la kheri Asha.
Nadhani unasinzia mimi ni dume la mbegu. kama LILIAN MTEI hatosheki niletee nimpe full dose atafurahi na macho yake kama mvuta bangi.hey.. umerudi? mbona na wewe uliye godoro la RO na JK hatujakusema? Umeonekana London hivi majuzi na Scandinavia naona umerudi na hasira baada ya jamaa kuahirisha ukaachwa Solemba. Bora ung'ang'anie huku huku CCM.
asante.
WEWE NDIO GODORO UNATULETEA MAJINA YA KIKE MARA BI SENTI 50 YAANI UKIPEWA SENTI 50 TUNAPETA BILA KONDOMU.hey.. umerudi? mbona na wewe uliye godoro la RO na JK hatujakusema? Umeonekana London hivi majuzi na Scandinavia naona umerudi na hasira baada ya jamaa kuahirisha ukaachwa Solemba. Bora ung'ang'anie huku huku CCM.
asante.
MoD,
ninavumilia sana kejeli lakini inapofikia hatua ya mtu kunishambulia ambaye sijawahi kumshambulia inakera. Naomba tafadhali mchukue hatua husika.
M. M.
Naona pumba tupu unaongea. wewe utafikiri mwanamke huku baba zima ulikuwa unatumia Mwanasiasa ukaja kutumia Kitila mkumbo na Asha Abdala na hiyo nembo ulikuwa ukiitumia kwenye Mwanasiasa ukaicha na ukaja nayo kwa jina la asha na sasa huitaki.
unafanya PHD ya kitu gani huko Southmpton? au kazi yako kuvuruga mikutano ya Diaspora tu?
wewe si ndio umeanza kunituka,ukishindwa unabadili jina.pole sana. wewe si ndio kila kitu nifungie tu.MoD,
ninavumilia sana kejeli lakini inapofikia hatua ya mtu kunishambulia ambaye sijawahi kumshambulia inakera. Naomba tafadhali mchukue hatua husika.
M. M.
wewe si ndio umeanza kunituka,ukishindwa unabadili jina.pole sana. wewe si ndio kila kitu nifungie tu.
FMES,
Ni kweli nimechemsha- Kubwa Jinga sio Mugongo Mugongo. Ila Kubwa Jinga ni mtu mmoja hivi mbaguzi wa kidini na kikabila. Mbona hataki kutuhadhia jinsi alivyofukuzwa CUF kwa sababu ya yeye mwenyewe kuendekeza udini?
Lakini naona wanauswahiba hapa na Chinga alias Mtalii alias Mswahili alias Mzee Kifimbo. Karibuni sana
Kubwa Jinga Jinga na Chinga:
Narudia Suala Uteuzi Wa Viti Maalum mbona Zitto na Mnyika walishaeleza kwa kina KIKAELEWEKA, wakaeleza hatua gani zilipitiwa, mapungufu gani yaliyokuwepo wakati wa kutekeleza nia njema waliyoileza hapa, vigezo vya kila mmoja kuteuliwa na mfumo mpya wa uteuzi utakaotumika mwaka 2010 chini ya Baraza La Wanawake wa CHADEMA(BAWACHA).
Hebu search tu hapa au omba msaada upewe links
http://www.jamboforums.com/showthrea...=12123&page=32
Otherwise, rudi huku ukajibu maswali yangu- http://www.jamboforums.com/showthrea...=12123&page=32
Usinikwepe jamani
Nani kakudanganya kuwa mama komu alikuwa mzanzibar kwa ajili ya viti maalum? Huyu ni mzanzibar wa kuzaliwa, ameishi Zanzibar mpaka amekuwa kabisa. Akaenda kuolewa kilimanjaro,akakaa miaka michache, akaachika na akarudi kwao Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita. Na toka lini Komu akawa na undugu na Ndesamburo? Hii inadhihirisha nia yako ya kuchafua CHADEMA tu. We endeleza tu kazi ya Chama Cha Mafisadi, lakini jua watanzania wameerevuka.
Ukishindwa humu hamia Habari Corruption haswa Rostam International ukaendelee na kazi
Asha
Sasa Chinga, jibu tuhuma za kuwa godoro na Kubwa Jinga, ni kweli ulifukuzwa kutokana na udini wako? Kwa hiyo haya mnaandika kutokana na chuki zenu binafsi?
Nakuheshimu sana. naomba kaa kando. Mzanzibar Gani hajui kuandika Abdallah anaweka Abdala sijawahi kuona bara na visiwani. unajiabisha mkuu.kuna sehemu umesema unakaa kwa JOHA hakuna kitu hicho ni Jokha kama kweli Mzanzibar. naona chadema mnayapenda majina ya kike huku nyinyi ni wanaume kuna nini huko?
Sasa mi si msemaji rasmi, nimeamua kuondoa ili nisionekane msemaji rasmi. Mi ni mwanachama tu.
What a shame, I thought they would appreciate the efforts you have been putting here, basi angalau wangekupa kacheo ka Msemaji wa CHADEMA JF bse that is what I have always thought you were.Im sure hili agizo halikutoka kwa mheshimiwa!!!;-)
Chinga,
Mara nyingi umekuwa ukinishambulia kwa kila aina ya vijembe, matusi, kejeli n.k Ukisema uongo mkubwa juu yangu na kujaribu kwa kila aina kuniprovoke kwa madai yasiyo na msingi, yaliyojaa chuki, wivu, kisirani na umbeya wa hali ya juu ambayo ni wewe pekee hapa duniani unayeweza kuyathibitisha.
Nimekaa kimya mara zote kwa sababu sipendi mambo haya ya matusi. Lakini leo umefikia kilele hicho na uvumilivu wangu umekoma. Naomba madai yote uliyoyatoa juu yangu uyathibitishe.
a. Kwamba nimepewa dola 2000 na Mbowe kuanzisha website ya KLHNews
b. Kwamba mimi ni Madela wa Madilu, Koba, Mwafrika wa Kike na Bi. Senti 50
c. Kwamba mimi sina kibali cha kuishi Marekani au Uraia wa Marekani
d. Kwamba mimi ni mhusika wa madawa ya kulevya.
e. Na madai yako mengine yote ambayo umeyatoa juu yangu na hasa kudai kuwa nimekutukana kwanza, useme lini na wapi?
Nitashukuru ukifanya hivyo.
M. M.