Chadema wakamata Waziri Nagu akigawa Rushwa

Sendeka alisema mtu anayetoa rushwa hafai. Na wananchi wasikipigie chama kinachotoa rushwa.
 
Uzi wa kizush.yan watz sijui wamepandkzwa pepo la uongo.jitu zma linaleta maada hapa bila kujua details.FUKISH
 
Mbunge wa Karatu Israel Natse akiwa na mamia ya wananchi wa kata ya Bashanet wamemkata Waziri Mary Nagu akigawa rushwa usiku wa manane.

Waziri huyo alikuwa akigawa rushwa huku akiwa amejifungia kwenye nyumba moja.Lengo lake ni ili CCM iweze kushinda katika kata hiyo.

Mamia ya watu waliizingira nyumba hiyo na kutaka kuichoma moto mpaka alipookolewa na polisi alfajiri leo.

Kukamatwa huko kulifanikishwa na askari polisi wadogo waliowatonya Chadema na kufanikiwa kuwakamata.

Mgombea wa Chadema Lawrance Tara ana nafasi kubwa ya kushinda.

Kwa nini sheria isichukue mkondo wake au TAKUKURU hawana meno hapo?
 
Back
Top Bottom