CHADEMA waipigia kura CCM

............. Hivi Halmashauri ya Moshi Vijijini iko Kilimajnaro...???? Peoplesssssssssssssssssssss..............
 
.............hivi moshi vijijini iko uchagani kilimanjaro......... M4c peopleeeeeees
 

Hizi ni dalili za kuendelea kwa utawala wa CCM!
 
Bingooooooooooooooooooooooooooooo!
 
You are a GT. Tunataka data za idadi ya madiwani na vyama vyao, tusijadili hovyo hovyo tu. Umechambua superb
 
after all kura ni za siri wamejuaje kuwa CHADEMA walipigia CCM ??

Mkuu naona ngumu kumeza Chadema walimuondoa mgombea wao kwa makusudi wagombea wakabakia wawili CCM na TLP jiulize kura za Chadema zilikwenda wapi? Na kwa nini Chadema walimtoa mgombea wao?
 
............. Hivi Halmashauri ya Moshi Vijijini iko Kilimajnaro...???? Peoplesssssssssssssssssssss..............

Kama Makao Makuu ya Chadema yanaipigia kura CCM unategemea nini sehemu zingine.
 
hatujawekewa wazi chanzo hasa cha mvutano wao. Hivyo kinachoendelea hapa ni porojo zaidi
 
yupo kwenye payroll ya Nape lazima apige debe yupo kazini mwenzio ndio kula yake!

Wewe upo kwenye payroll ya Dr Slaa usisahu kuongeza viroba vya Vodka na Valeur.
 

Acha kuleta porojo tunaongelea mambo ya Moshi wewe unaleta stori za Kenya...jibu swali kwa nini mgombea wa Chadema Alex Umbela alitangaza kujitoa na kumuachia mgombea wa CCM kushinda na Chadema kumpigia kura mgombea wa CCM na kumtosa mpinzani mwezenu kutoka TLP.
 
hatujawekewa wazi chanzo hasa cha mvutano wao. Hivyo kinachoendelea hapa ni porojo zaidi

Mkuu hutaki kabisa kukubali mapenzi mabaya ndio hivyo tena mnalazimisha ndoa.
 
Kusema ukweli CDM imeonyesha uzaifu afadhali wangeamua kutompigia yoyote. Na kwanini huyo bwana wa CDM alijitoa si afadhali angegombea?au aliona kina nikirefu hatashinda?
 
Kusema ukweli CDM imeonyesha uzaifu afadhali wangeamua kutompigia yoyote. Na kwanini huyo bwana wa CDM alijitoa si afadhali angegombea?au aliona kina nikirefu hatashinda?

Hakuna udhaifu mkuu ni kutafuta ndoa kwa nguvu tu.
 

poor reasoning,bila shaka na ww utakuwa unataka upate nafac ya kutoa maoni ya kuunda katiba mpya if yes then that is terrible ndo mana bado nchi ni ombaomba
 
Siyo Nchi tu hata Vyama vy Siasa. Tutaongea yote mwishoni changia Chama kwa ulaji wa wachache
 

Mkuu kwani itikadi ya CDM na TLP ni tofauti? Ila sijasema kuungana na kuwa chama kimoja bali kushirikiana katika kuondoa chama tawala madarakani.

Raila unayemsema hivi sasa anataka kushirikiana na adui yake mkubwa bwana Ruto ili wapate ushindi!
 
We are poorly informed on the background. Kikubwa tusiwe kama Gadaffi ndo maana alikufa. Ukisikia watu hawakutaki achia mzigo. Kuna watu are very rigid, they don't like to change.

Mpaka 2015 ndo mtaanza kukimbilia kwenye mitaro. It will be about to impossible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…