CHADEMA imeshindwa kuitumia vizuri nafasi yake kama chama kikuu cha upinzani kwa manufaa ya taifa.
Hali ilianza kuonekana tangu awali baada ya uchaguzi mkuu ambapo CHADEMA ilikataa kushikisha vyama vingine kwenye uongozi wa upinzani Bungeni. Uamuzi huu wa cHADEMA uliwasikitisha wapenda mabadiliko wengi.
Hii ni tofauti na chama cha wananchi CUF ambacho kiliishirikisha chadema kwenye uongozi wa upinzani Bungeni katika Bunge liliopita. Manufaa yake kwa taifa tumeyaona, Bunge la tisa liliweza kusimamia hoja nzito za kitaifa na kuitetemesha serikali mpaka Waziri Mkuu akajiuzuru. Bunge hili la 10 lina wabunge wengi zaidi wa upinzani lakini hakuna mafanikio yoyote katika kujenga hoja!
Zaidi ya hilo, mara kadhaa CHADEMA wamekuwa wakikimbia mijadala kwa mtindo wa kususa ambao haujawahi kuleta manufaa yoyote. Jambo kama la kususia hotuba ya Mkuu wa Nchi halikuwahi kutokea Bungeni wakati CUF ilipokuwa chama kikuu cha upinzani kwenye bunge la 9.
Kadri siku zinavyoenda wananchi wanazidi kushuhudia jinsi CHADEMA inavyoshindwa kuwakilisha maslahi ya taifa Bungeni. Jambo linalosikitisha zaidi ni kwamba siku hizi wabunge wa CHADEMA wakiongea taarifa pekee inayoweza kutolewa ni kwamba wamemchana kiongozi fulani.
Anayeongoza katika tabia hii ya kuchana ni Sugu ambaye jana ameelezewa kuwa alimchana mbunge wa Iramba Mashariki. Huo ndio ulikuwa mchango wake kwenye bajeti ya Waziri Mkuu!!!
Kwa kweli inasikitisha pale input ya speech ya mbunge katika kuchangia bajeti ya Waziri Mkuu inapokuwa ni kumchana kiongozi! Mambo haya hayakuwepo Bungeni wakati CUF ilipokuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni. Hamad Rashid wa CUF alikuwa maridadi zaidi katika kusimamia shughuli na hoja za upinzani Bungeni kuliko anavyofanya kiongozi wa upinzani wa Bunge hili la 10.
Picha inayowekwa na CHADEMA ni kwamba upinzani ni vurugu. Wananchi wastaarabu wanaanza kuchukizwa na tabia za uvunjifu wa kanuni na kumkosea heshima Spika zinazofanywa na wabunge wa chadema. Hamad Rashid wa CUF hakuruhusu hili, lakini kiongozi wa sasa wa upinzani Bungeni anaona vurugu na kubishana na Spika kama burudani.
Nikumbushe tu kuwa taarifa zilizopo zinaonyesha hakuna mbunge hata mmoja wa CHADEMA aliyeweza kutekeleza ahadi zake alizotoa kwa wananchi jimboni. Kwahiyo wananchi wanaweza kuwa na imani na wabunge wa CHADEMA iwapo wataona angalau Bungeni wana michango yenye tija.
Kwavile jimboni wabunge wa chadema hawatekelezi ahadi na Bungeni wanaenda kuchanana wananchi watakuwa hawana sababu ya kuchagua CHADEMA. Hasahasa ikizingatiwa kuwa chadema kimekuwa ni chama kinachoainisha matatizo bila kutoa jinsi yoyote ya utatuzi.
Vilevile CUF watakuwa na sababu ya kuwaambia wananchi kuwa CHADEMA wameharibu image ya upinzani Bungeni - jambo ambalo ni kweli. Jambo hilo litaiwezesha CUF kuchukua kura nyingi za wapenda upinzani ambazo zingeweza kuwa za CHADEMA katika majimbo ya Tanznia Bara. Kwa vigezo hivyohivyo CHADEMA itaendelea kukosa kura za Zanzibar.
Bottomline: CHADEMA imeligeuza Bunge kuwa jukwaa la kampeni. CUF walipokuwa wanaongoza upinzani Bungeni walisimamia hoja kwa maslahi ya taifa. Tabia ya vurugu na kumkosea heshima Spika inayofanywa na CHADEMA ni mtaji wa kisiasa kwa CUF.
Ushauri: CHADEMA ijiepushe na tabia za mipasho mbele ya TBC mkiwa Bungeni. Sugu apewe mafunzo maaluma ya kuchagua maneno ya kuongea Bungeni itafaa zaidi iwapo hotuba zake zitapitiwa na Mnyika kabla hajazisoma.

Hizi hulka za kuombeana kufa sio za kitanzania. Inasikitisha kuona siku za karibuni vijana wa bavicha mmeingiwa na shetani anayewachochea muwe na hulka za namna hii katika siasa!!!
Ushauri: Kama lengo ni kujenga nchi, hakuna sababu ya kuombeana vifo. Tamaa ya madaraka itawafanya maadui wa nchi yetu wawatumie kuiharibu nchi. Kuweni makini vijana wa bavicha.
Hivi CUF wameacha kuagiza makontena ya Visu?
TIMU YA MAKOPOLO ILIKUWA CCM kumsapoti JK kwa misingi ya UDINI karibu sasa inarudi CUF 2015!..CHADEMA imeshindwa kuitumia vizuri nafasi yake kama chama kikuu cha upinzani kwa manufaa ya taifa.

ndege wote walie akilia bundi uchuro mwigulu alipowachana mbowe na slaa uliziba masikio eeeh!
jogoo hafi kwa utitiri
Hamad Rashid aliuongoza vizuri zaidi upinzani Bungeni.
Hamad Rashid aliongoza vizuri upinzani Bungeni kuliko Mbowe...
Ni vema kusoma thread na kuelewa kabla ya kujibu.
Usiwe kama Sugu.
Hizi hulka za kuombeana kufa sio za kitanzania. Inasikitisha kuona siku za karibuni vijana wa bavicha mmeingiwa na shetani anayewachochea muwe na hulka za namna hii katika siasa!!!
Ushauri: Kama lengo ni kujenga nchi, hakuna sababu ya kuombeana vifo. Tamaa ya madaraka itawafanya maadui wa nchi yetu wawatumie kuiharibu nchi. Kuweni makini vijana wa bavicha.
CHADEMA imechoka kiasi kwamba Mh. Sugu anachangia pumba bungeni na Mh. Nassari yeye hajui umuhimu wa Nyuki, kwa kweli 2015 CUF njia nyeupe kwao ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
Kwahiyo kufanya vurugu bungeni ndio jambo linalofaa?
Mtu yeyote akiangalia hii video ataona kuwa chadema inafanya bunge kama genge la magumzo!!!
Sawa kabisa ulichomsema ila hebu tukae chini tujiulize kweli uwezo wa Hamad Rashid na Mheshimiwa Mbowe wapi na wapi?
Mbowe sio mwanasiasa, nahisi ni hekima za baba mkwe tuu zinazotusumbua pale bungeni,i kulikuwa na sababu gani ya yeye kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni wakati majembe yapo??
Kilichosemwa kwenye thread kina ukweli na unatuuma ila tuu itabidi tusiuonyeshe hadharani.
Hamad Rashid mara nyingi tu ameshazungumzia masuala yanayohusu Tanzania Bara.
Umeshawahi kusikia Mbowe anazungumzia swala la Pemba?
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kupiga kura yake kuipeleka CHADEMA ikulu kwa sababu zifuatazao
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ifai-hata-kidogo-kuwa-chama-cha-upinzani.html
Chama kinachoshindwa kuplay role ya chama kikuu cha upinzani Bungeni ni dhahiri kuwa hakwezi kusimamia dola...

Mawazo yako yanavumiliwa kadri yanavyostahili.
Hata hiyo hoja ni jinsi vurugu za chadema bungeni zinavyoipa mwanya CUF kisiasa...
Chama cha kuchana viongozi wa serikali kweli kinaongozwa na wala ganja wengi.
Suguuu sura kaa chuma
Anzisha mada yako kuhusu CUF. Hapa tunaijadili CHADEMA. Inaonekana shule ulikuwa unafeli sana wewe kwa ajili ya kushindwa ku concentrate kwenye kitu kimoja :smile-big:
Mkuu umechambua hoja kwa umakini mkubwa Chadema inaelekea walipo UMD.
Chadema ikiwa peke yake ni vurugu tupu kama unavyoona. Mijadala ya kitaifa inafeuzwa ngonjera!!!
.....Wewe unapaswa kufa kabisa.
Watanzania wengi wanakuombea ufe....
wengi tunakuombea usiku na mchana ufe tujue tumedondosha msaliti mmoja