CHADEMA waifungulia CUF njia…

CHADEMA waifungulia CUF njia…

Nadhani UNAJIFUNZA SIASA... Haujui kuwa CUF ndio iliyoanza kuwa CHAMA CHA UPINZANI cha kwanza Halafu CHADEMA 2015 ndio Mara yake ya KWANZA?

HIVI Unaandika HOJA HIZI kiushabiki au KIUNAFIKI???

Ni bayana kuwa hujaelewa kilichoandikwa. Soma ukiwa umetulia...
 
CUF unaijua au unaisikia? Unajua mgomo wa CUF kuingia bungeni?
By the way....haina haja ya kuwasemea vibaya CUF kwa sababu wao ni wapinzani although CCM wanataka kutumia divide and rule....kama wajerumani walivyowatumia wabena kupigana na wahehe...
Asanteni kwa mawazo mazuri wapambe wa CCM...You really deserve a night allowance for this late post....and making other members staying up.
 
Hawana jipya hao CCM B hata ukiwapigia debe. Wataendelea kuzoa kura kule visiwani tu Tanganyika hawataambua kitu.
 
Haya mama kazi uliyotumwa umeikamilisha, kakojoe ukalale mwenzio anakusubiri ukawajibike kwa ulichokula

Sawa kabisa ulichomsema ila hebu tukae chini tujiulize kweli uwezo wa Hamad Rashid na Mheshimiwa Mbowe wapi na wapi?

Mbowe sio mwanasiasa, nahisi ni hekima za baba mkwe tuu zinazotusumbua pale bungeni,i kulikuwa na sababu gani ya yeye kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni wakati majembe yapo??

Kilichosemwa kwenye thread kina ukweli na unatuuma ila tuu itabidi tusiuonyeshe hadharani.
 
Mtu yeyote akiangalia hii video ataona kuwa chadema inafanya bunge kama genge la magumzo!!!

Ipo inayoonyesha madada (special seats) CCM wakizomea wakati wapinzani wakitoka nje yaaani....oooooooooh then haaooooooo baadae CCM CCM CCM CCM.
Hawa wamegeuza bunge kituo cha daladala in 12/04/2013....
 
Sawa kabisa ulichomsema ila hebu tukae chini tujiulize kweli uwezo wa Hamad Rashid na Mheshimiwa Mbowe wapi na wapi?

Mbowe sio mwanasiasa, nahisi ni hekima za baba mkwe tuu zinazotusumbua pale bungeni,i kulikuwa na sababu gani ya yeye kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni wakati majembe yapo??

Kilichosemwa kwenye thread kina ukweli na unatuuma ila tuu itabidi tusiuonyeshe hadharani.

Hamad Rashid huyu mbunge wa mahakama....? au unamzungumzia yupi?
 
Ni bayana kuwa hujaelewa kilichoandikwa. Soma ukiwa umetulia...

Nimesema Ukweli HOJA yako ni ya KIUSHABIKI na KIUNAFIKI... CUF wakati walipokuwa Wapinzani Mara nyingi Walikuwa hawayaongelei na Kufumbua UTUMBO na ULAJI na UFISADI wa SERIKALI tawala kama Sasa hivi; Na kama sikosei CUF haikutaka kushirikiana na VYAMA vingine ndio Maana CHADEMA hakikushirikiana nacho kwenye UONGOZI Upinzani...

Ukiangalia wakati HAMAD akikwa kiongozi ni MASUALA gani alikuwa anaongelea kuhusu kuhamasisha Masuala ya Tanganyika? Hakuna hata MOJA na Sasa hivi CUF ina NGUVU zaidi iko na ina share na serikali ya CCM huko Zanzibar na PEMBA...

Kwahiyo Uelewa wa Mr. Hamad kwa Matatizo ya watu wa Tanganyika ni MDOGO ukilinganisha na Watanganyika wenyewe
Kwa UFUPI ni hivi Wabunge wote Bara hakuna hata MMOJA atakayetekeleza AHADI zao kwa Wananchi wao; Wewe ukiangalia PESA zote haujui zinakwenda wapi... Unasikia Watu wana pesa USWISI; Kuna MIKATABA inasainiwa USIKU haujui NCHI inapata asilimia ngapi; kuna issue ya NGORONGORO Wanaendeleze rafiki wa KIARABU wanawanyang'anya ARDHI Wamasai... wewe hauoni kuwa ni KOSA Sasa ina Maana Mr. Nchemba amekamilisha matakwa yake kwa wananchi wa JIMBO lake?

Au tu wewe ni BIAS? HATE is TAUGHT LOVE comes Naturally... Don't burn bridges by Hate!!! Speak the truth!!!
 
Ukiangalia wakati HAMAD akikwa kiongozi ni MASUALA gani alikuwa anaongelea kuhusu kuhamasisha Masuala ya Tanganyika? Hakuna hata MOJA na Sasa hivi CUF ina NGUVU zaidi iko na ina share na serikali ya CCM huko Zanzibar na PEMBA...

Hamad Rashid mara nyingi tu ameshazungumzia masuala yanayohusu Tanzania Bara.

Umeshawahi kusikia Mbowe anazungumzia swala la Pemba?
 
CHADEMA imechoka kiasi kwamba Mh. Sugu anachangia pumba bungeni na Mh. Nassari yeye hajui umuhimu wa Nyuki, kwa kweli 2015 CUF njia nyeupe kwao ya kuwa chama kikuu cha upinzani.

Sumu unatumika vibaya sana, Ni kipofu pekee ndiye hataweza kazi za hawa makamanda wa CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Chama kinachoshindwa kuplay role ya chama kikuu cha upinzani Bungeni ni dhahiri kuwa hakwezi kusimamia dola...
 
Back
Top Bottom